Zelensky ni mshamba anawaingiza ili wauwawe iwe ni kosa la kivita kuuwa wananchi ambao sio wanajeshi katika vita baadae russia apate kesi
Aisee kumbe kuwa mwanamke ni bahati kubwa kwa sasa huko Ukraine.
Kwa namna huyo jamaa (aliyejibadili) anavyolalamika ni ishara kuwa hao raia wa kiume wengi wao wanalazimishwa tu na serikali yao kubaki nchini na kupambana na majeshi ya Russia, sio stori za uzalendo kwa ujumla wao kama inavyodaiwa.
View attachment 2139709