LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Zelensky ni mshamba anawaingiza ili wauwawe iwe ni kosa la kivita kuuwa wananchi ambao sio wanajeshi katika vita baadae russia apate kesi
Aisee kumbe kuwa mwanamke ni bahati kubwa kwa sasa huko Ukraine.

Kwa namna huyo jamaa (aliyejibadili) anavyolalamika ni ishara kuwa hao raia wa kiume wengi wao wanalazimishwa tu na serikali yao kubaki nchini na kupambana na majeshi ya Russia, sio stori za uzalendo kwa ujumla wao kama inavyodaiwa.

View attachment 2139709
 
Usipofurahi na hili,utapata wapi tena furaha? Napunguza stress za Mayele maana Simba hatuna raha na the Gost of Jangwani
Kumbe wewe ni Utopolo,basi vita yetu haitokaa iishe kamwe,amini nakwambia 😂🏃‍♀️
 
Residents of the city of Irpin, Kiev region, are evacuated through the destroyed bridge.

It is located 21 km from the center of Kyiv, right after the checkpoint. Presumably, the Ukrainian military blew up the bridge to prevent the passage of Russian troops.
 
German TV channels ARD and ZDF temporarily stop broadcasting from their studios in Russia in connection with the adoption of a new law in the Russian Federation regarding the activities of the media, the WDR broadcasting company said in a statement.

SmartSelect_20220301-220358_Gallery.jpg
 
Russian tennis player Karen Khachanov removed the Russian flag from the description on his Instagram. The flag remained on the tennis player's Twitter page.

Earlier, the first racket of the world, Daniil Medvedev, also removed the Russian flag from the description of his Instagram (located after the words "professional tennis player").

Source: BazaView attachment 2139579
Safii sana,ikiwezekana ukane kabisa na Uraia wa Russia.
 
Usipokuwa na Akili ya Ziada Miaka ya leo umekwisha.😆
mwanasiasa mtu mbaya sana, putin anatangaza casualities then anaunganisha na kutangaza kiasi watacholipwa ndugu za marehemu but to them it's not about money but their loved ones, ukiacha national interests kuna personal ambitions kwa viongoz hawa wawili kila mmoja amekwenda too far but ndo hvyo tena kazi acha iendelee
 
Urusi inapiga makombora katika miji iliyotangaza kusitisha mapigano Ukraine
Uokoaji wa raia kutoka katika mji wa Mariupol umeahirishwa, kulingana na baraza la jiji laMariupol. Linasema Upande wa Urusi haujatekeleza usitishaji mapigano wa muda kama ilivyokubaliwa.

Linasema wakazi wanapaswa kutawanyika na kutafuta mahala pa kujificha na kwamba taarifa zaidi zitatolewa karibuni.

Dakika chache zilizopita meya wa mji huo aliiambia BBC kuwamji wa Mariupo ulikuwa ukipigwa makombora, na kuna ripoti kwamba mapigano yanaendela karibu na mwisho wa barabara ya kuwaokolea watu.

Meya Serhiy Orlov ameiambia BBC kuna ufyatuaji wa makombora unaoendelea katika Mariupol, na kwenye barabara ya uokoaji iliyokubaliwa, karibu na mji wa Orikhiv.

"Sio salama kwenda kwa barabara kwasababu ya haya mapigano," anasema.

Serikali ya Ukraine tayari inazungumza na maafisa wa Urusi kuhusu ukiukaji wa usitishaji mapigano, anasema na majadiliano yanaendelea.
My take: Mda wa kutoka raia umeisha waliokaidi ni maadunia kama waasi wanaomlinda muasi mkuu Zelensky
 
Urusi inapiga makombora katika miji iliyotangaza kusitisha mapigano Ukraine
Uokoaji wa raia kutoka katika mji wa Mariupol umeahirishwa, kulingana na baraza la jiji laMariupol. Linasema Upande wa Urusi haujatekeleza usitishaji mapigano wa muda kama ilivyokubaliwa.

Linasema wakazi wanapaswa kutawanyika na kutafuta mahala pa kujificha na kwamba taarifa zaidi zitatolewa karibuni.

Dakika chache zilizopita meya wa mji huo aliiambia BBC kuwamji wa Mariupo
hii ceasefire inatumika kwa pande husika kuregroup
 
Aisee kumbe kuwa mwanamke ni bahati kubwa kwa sasa huko Ukraine.

Kwa namna huyo jamaa (aliyejibadili) anavyolalamika ni ishara kuwa hao raia wa kiume wengi wao wanalazimishwa tu na serikali yao kubaki nchini na kupambana na majeshi ya Russia, sio stori za uzalendo kwa ujumla wao kama inavyodaiwa.

View attachment 2139709
Hao wasijifanye wajanja walibadili jinsia ili iwej? Ww Me unatoa zakari zako na kuweka za KE ili upakuliwe hata Mungu ameweka pazia kati yao
 
mwanasiasa mtu mbaya sana, putin anatangaza casualities then anaunganisha na kutangaza kiasi watacholipwa ndugu za marehemu but to them it's not about money but their loved ones, ukiacha national interests kuna personal ambitions kwa viongoz hawa wawili kila mmoja amekwenda too far but ndo hvyo tena kazi acha iendelee
Kuwa mwanajeshi sio kitu rahisi kama tunavyozania, Ni jambo la kujitoa no matter ni positive au negative, Kule tunasimama na Order No questions.

Wazazi wa wanajeshi mimi nazani wawe Walpole tu, hili swala sio kazi ya udereva wala uuza mikate hii ndio kazi yao.

Wa kulalamika ni wale waliongizwa kupigana vita ya Mwandawazjmu WA Ukraine kusababisha vifo vya vijana walioacha familia zao. Pia siasa ni kitu kibaya sana, Ni kuwa makini mno
 
Back
Top Bottom