Dmitry medved was the presidence between 2008 to 2012 while his PM wa vvp.Putin was de factor president of Russia from 2008 to 2012.
Realize the concepts of de facto and de jure Presidency. You are a de facto when you are firstly de jure and you execute power in accordance to the position and constitution otherwise a de jure meaning you get in to the position legally but some one else with influence execute power or you execute your power according to his wishes.....Dmitry medved was the presidence between 2008 to 2012 while his PM wa vvp.
Wewe kweli uko brain washed..mbona unaongea vitu kinyumenyume...Ni lini Iraq ilisema kuwa ina silaha za maangamizi??USA ndo walikua wanalazimisha kuwa Iraq ina silaha za maangamizi...na hadi UN wakadanganya...Unakumbuka aibu baada ta hapo...hakuna silaha za maangamizi na ikagundulika CIA walidanganyaHivi nyie watu sijui mnafikiria kwa kutumia kiungo gani cha mwili. Kwamba hizo silaha za nukes anazo Urusi peke yake siyo?
Kuna mataifa yanazo lakini huwezi kusikia wakijigamba kuzitumia lakini ni mwendawazimu pekee anayejigamba kuzitumia as if anazo peke yake.
Yale yale ya Saddam Hussein kujigamba ana silaha za maangamizi hivyo alimtishia USA asithubutu kuivamia vinginevyo dunia ingeshuhudia maafa makubwa.
Kilichotokea kinaeleweka kwa kila mtu hadi kufikia mbabe uchwara Saddam Hussein kunyongwa hadharani.
Yaani andiko lote hilo umeishia mashoga. No offence ushoga ni chukizo na hairusiwi kabisa lakin ujue huko kwao ni minor issue.Ungekua unaelewa mana ya Neo nazi usingeuliza hili swali
Manazi mambo leo wamebakia na misingi yao mikuu ya kuua ua watu wasiokua na hatia kama wanavyofanya kina elensky
Ila kuua mashoga waliisha acha wanawaona mashoga kama watu wamaana sana ndio maana elensky akawatambua punde baada ya SVO
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeelewa mzee au unakoment tu !!?Yaani andiko lote hilo umeishia mashoga. No offence ushoga ni chukizo na hairusiwi kabisa lakin ujue huko kwao ni minor issue.
Hawako bize nao kabisa. Wako bize na uchumi na vita inayoendelea.
Ndio maana hawalizungumzii. Wenyewe wanalichukulia poa
Ungekua unaelewa mana ya Neo nazi usingeuliza hili swali
Manazi mambo leo wamebakia na misingi yao mikuu ya kuua ua watu wasiokua na hatia kama wanavyofanya kina elensky
Ila kuua mashoga waliisha acha wanawaona mashoga kama watu wamaana sana ndio maana elensky akawatambua punde baada ya SVO
Sent using Jamii Forums mobile app
Boss nisamehe kwa majibu marefu, ukiona yanakuchosha achana nayo yapuuze:Hii ulimwengu wakisasa kustaarabika hua nashangaa sna
Walio staarabika ndio hawa hawa ama wengine
Huu ulimwengu tulio nao umeendelea ila kwa % kubwa umepoteza ustaarabu
Nandio maana leo kwenye ulimwengu mnaosema umestaarabika anatokea mtu anasimama kabisa kutetea ushoga
Ulimwengu huu unatakiwa ufunzwe ustaarabu
Sent using Jamii Forums mobile app
Swali dogo tu nikuulize,miji ya Mombasa na Unguja ina mashoga wengi sana na miji hii kwa 95% inakaliwa na watu wa Dini moja.Unataka kuniambia hiyo miji na yenyewe ni Pro West?Umeelewa mzee au unakoment tu !!?
Ushoga hauwezi kua suala dogo hata iweje
Nikheri mkawa hamna uchumi uloimarika kuliko kuuona ushoga minor
Nyie ndio mnaofanya haya mambo yaonekane kama yakawaida
Mwisho hio koment nilijibu swali la Yoda
Sent using Jamii Forums mobile app
Serikali moja ya binadamu ni agenda ya ushetaniBoss nisamehe kwa majibu marefu, ukiona yanakuchosha achana nayo yapuuze:
Ushoga sio jambo jipya kihistoria. Unasababisha kukuchallange kwa hoja kuwe kugumu sababu unautumia ukijua kabisa hata wenye maoni tofauti itabidi watulie sababu umeshatanguliza ushoga kama silaha na atakaye kuchallange inakuwa kama anausapoti.
Tukiweka hitilafu ya ushoga pembeni, dunia ya leo imestaarabika. Asiye na nguvu anaweza simama akajitetea na akasikilizwa au kusaidiwa.
Tunapoelekea ubabe wa kijeshi baina ya nchi huenda ukapoteza ushawishi, ubabe wa kiuchumi na kiteknolojia ndio utashika kasi. Demand and Supply zitakuwa ndo msingi wa mwenye nguvu. Mwenye bidhaa inayohitajika na kutatua tatizo la wahitaji ndiye atakayekuwa na nguvu.
Siku dunia ikishuhudia tishio la kutawaliwa na viumbe kutoka sayari nyingine itaharakisha uwepo wa serikali moja ya wanadamu.View attachment 2374721
(Hii ipo kinadharia zaidi).
Ila ikatokea sababu yoyote binadamu wakawa na mwingiliano kwa kiwango cha kushindwa kutofautisha mrusi na mkenya kama ilivyo ngumu kutofautisha mchaga na msukuma ukipishana nao kariakoo basi dunia itakuwa na serikali moja isiyo na mipaka ya nchi. Imagine wazungu, wahindi, waafrika wana uraia kila sehemu kwa idadi kubwa kiasi kwamba kupishana na mtanzania mweupe ni kawaida au watu wenye mababu kutoka upareni wawe wapo kila sehemu huko Urusi na historia yao imefutika.
Ikifikia hapo uwezekano pamoja na ukuaji wa teknolojia, uwezekano wa uwepo wa serikali moja ni mkubwa, Nchi zitakuwa kama mikoa na hapo ushawishi wa kijeshi wa mtindo wa sasa hautakuwepo. Tunaweza tusishuhudie sisi au wajukuu ila huenda huko mbele hili likatokea. Sijui, ila huenda.
Katika hadithi za kiimani kuna hii scenario ndani ya biblia View attachment 2374702
Yanasemwa mengi kiimani lakini ukitazama nje ya imani huo mchanganuo wa sanamu katika kipande cha miguu unauhalisia na tunapoelekea, binadamu kuchangamana, kuoana na dunia kuwa kama kijiji kimoja.
Boss Hiyo ni kiimani.Serikali moja ya binadamu ni agenda ya ushetani
Ukifuatilia kila kitu kinafanyika duniani ni Kwa Sababu ya kiimani.wewe unaamini dunia inamigogoro Kwa sababu ya kutokuwa na serikali moja?wewe unaamini serikali moja inaletwa ili kupambana na Alien?amini usiamini serikali moja inaletwa ili kuwatawala wanadamu vizuri na ukitawaliwa utafuata wanachosema wao hutakuwa huru.yaani Kwa kifupi huwezi kumtenganisha binadamu na Imani(Mungu).Boss Hiyo ni kiimani.
Kuthibitisha kwa fact bila kuhusisha imani ni ngumu maana hata neno shetani nje ya imani tafsiri yake kijamii ni mtu mwenye matendo mabaya, anaweza kuwa ww au mm ila katika imani ni kiumbe halisi.
Najaribu kutoingiza mjadala katika imani kwa 100%.
Mkuu mnavyozamaga topeni ,hizo siyo DNA za ushoga?Umeelewa mzee au unakoment tu !!?
Ushoga hauwezi kua suala dogo hata iweje
Nikheri mkawa hamna uchumi uloimarika kuliko kuuona ushoga minor
Nyie ndio mnaofanya haya mambo yaonekane kama yakawaida
Mwisho hio koment nilijibu swali la Yoda
Sent using Jamii Forums mobile app
Serikali bila kujali ukubwa unayoitawala ni muunganiko wa binadamu, serikali ni binadamu hivyo upo sahihi kuhusu kumtawala binadamu.Ukifuatilia kila kitu kinafanyika duniani ni Kwa Sababu ya kiimani.wewe unaamini dunia inamigogoro Kwa sababu ya kutokuwa na serikali moja?wewe unaamini serikali moja inaletwa ili kupambana na Alien?amini usiamini serikali moja inaletwa ili kuwatawala wanadamu vizuri na ukitawaliwa utafuata wanachosema wao hutakuwa huru.yaani Kwa kifupi huwezi kumtenganisha binadamu na Imani(Mungu).
Yan hii mijitu kwa unafki namba 1 ,yan kama ulishawah kumla demu tigo au kutaman kumla demu tigo wewe na mashoga hamna tofauti,msituletee unafk hapa.Swali dogo tu nikuulize,miji ya Mombasa na Unguja ina mashoga wengi sana na miji hii kwa 95% inakaliwa na watu wa Dini moja.Unataka kuniambia hiyo miji na yenyewe ni Pro West?
Hivi wew unaumwa ety, huyo sadamu kila silaha zake alikua ananunua kutoka kwa nchi za Magharibi hasa marekani pamoja na washirika wake Kama ufaransa Sasa unafikiri angeweza kuwadhibiti yaani anayekuuzia silaha ashindwe kujua na udhaifu wa hizo silaha bila kusahau na sanction walizompiga ulifikiria angechomoka. Kilichomponza sadamu Hussein nikushindwa kujua unafiki wa marekani na washirika wake ya kwamba hawana rafiki wa kudumu Wala adui wa kudumu isipokuwa Wana maslahi tu.Hivi nyie watu sijui mnafikiria kwa kutumia kiungo gani cha mwili. Kwamba hizo silaha za nukes anazo Urusi peke yake siyo?
Kuna mataifa yanazo lakini huwezi kusikia wakijigamba kuzitumia lakini ni mwendawazimu pekee anayejigamba kuzitumia as if anazo peke yake.
Yale yale ya Saddam Hussein kujigamba ana silaha za maangamizi hivyo alimtishia USA asithubutu kuivamia vinginevyo dunia ingeshuhudia maafa makubwa.
Kilichotokea kinaeleweka kwa kila mtu hadi kufikia mbabe uchwara Saddam Hussein kunyongwa hadharani.
Ww ndio naona umekomaa na ushoga ushoga.Umeelewa mzee au unakoment tu !!?
Ushoga hauwezi kua suala dogo hata iweje
Nikheri mkawa hamna uchumi uloimarika kuliko kuuona ushoga minor
Nyie ndio mnaofanya haya mambo yaonekane kama yakawaida
Mwisho hio koment nilijibu swali la Yoda
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana najua unatafuta pa kupunguzia maumivu yenu pro USA/NATO/ukraine, lakin ndio hivyo Ukweli ni mchungu sikuzote hayo maeneo aliyojimegea Putin ndio bye bye Ukraine wayasahau kabisa na watamkumbuka sana rais Viktor yanukovich waliyemuondoa kwa figisu za western.unaongea utafkir belinggord sio sehemu ya russia ilipo shambuliwa na helicopta mbili za ki ukraine. unaongea utafkir crimea russia kashaiachia. maana inashambuliwa pia
Dada unao ushahidi wa Hilo uliloandika??!!?Swali dogo tu nikuulize,miji ya Mombasa na Unguja ina mashoga wengi sana na miji hii kwa 95% inakaliwa na watu wa Dini moja.Unataka kuniambia hiyo miji na yenyewe ni Pro West?
UongoAcha uongo,
Watu wenye itikadi za Manazi mambo leo wako nchi za Ulaya, US na Urusi yenyewe na bado wako kinyume kabisa na ushoga.
Mmekariri tu maneno ya Putin kama Kasuku wakati hamjui wata Wanazi ni watu wa aina gani.