Jesus Mlokozi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 2,690
- 21,122
Kuna mjinga mmoja namwambia Nuke ikipigwa hairudiwi ni msiba wa Dunia . Bahati mbaya vijana hawana maarifa . Ikipigwa ni maafa Dunia nzima .
Vijana siku hizi movie za akina John Cena zimewaharibu. Hawataki kupata maarifa.Kuna mjinga mmoja namwambia Nuke ikipigwa hairudiwi ni msiba wa Dunia . Bahati mbaya vijana hawana maarifa . Ikipigwa ni maafa Dunia nzima .
T14 Armata hawezi kukubaliana na Hawa wataalamu halisi wa masuala ya kijeshi🔥🔥🔥
In Britain, they were afraid of Russian strikes from all sides.
Russia can strike the UK from different directions, including from space, Tony Radakin, the head of the country's General Staff, warned in an interview with the Telegraph.
According to him, Moscow has the ability to disable communication systems and satellites, which will effectively isolate the United Kingdom from the world.
"Russia has forces in space. Russia has a nuclear potential. Russia has a significant submarine fleet," Radakin said.
The Admiral believes that this scenario "poses a threat to the entire West", but it will provoke a "strong response" from NATO.
Earlier, an expert in international relations from the University of Leicester, Professor Andrew Futter said that Britain does not have the means to intercept and destroy Russian ballistic missiles, including the Kinzhal missile system.
Wakasome kidogo The Enola Guy jamaa baada ya kupiga Nuke Heroshima na Nagasaki alipooneshwa picha za alichofanya alijiua. SASA mizigo ya SASA ni mizito kuliko huo . Utapopigwa watu wataishia kuomboleza na kumlaumu aliye trigger hayo yatokee na sio kupiga nuke nyingine. Narudia Nuke haipigwi kama Himars.Vijana siku hizi movie za akina John Cena zimewaharibu. Hawataki kupata maarifa.
Habari kama hizi Kuna watu humu Huwa hawapendi kizisikia.View attachment 2375248
‼️NATO has sent an intelligence note to member countries warning about the mobilization of the Russian nuclear submarine K-329 Belgorod, which is carrying a Poseidon nuclear missile, also known as a Weapon of the Apocalypse, the Italian La Repubblica reported.
The only language they understand
Si muove il sottomarino Belgorod. Nato in allarme: "Test per il supersiluro Poseidon"
Sfugge ai radar Usa. E' capace di generare un'onda radioattiva che può cancellare metropoli come New York o Los Angeleswww.repubblica.it
Ukikataa ushoga hukumu yake ni kunyimwa misaada na kutengwa na Dunia ya mahayawani wanaojiita wastaarabu.
Inasikitisha mno, lakini kuna kingine chashangaza sana. Haya mataifa ya Europe viongozi wao wana nini? Mbona adui yao ni 'rafiki" yao na bahati mbaya sijui niseme nzuri huwa hajifichi anajiweka wazi na wao wanafanya kuhamisha lawama kwa asiehusika? Nini tatizo haswa?
Mfano kwe hii clip nyingine ni State Secretary Blinken, msikilize vizuri [emoji101][emoji101][emoji101]
View attachment 2375174
Kwamba "It’s a tremendous opportunity to once and for all remove the dependence on Russian energy" zaidi anaenda mbali anasema hiyo itakuwa ni fursa kwa US companies katika kufanya biashara.
Yet bado wanawekwa bussy kupigana proxy war with Russia, Kweli?
Vile US alivyo na roho mbaya hajali kama Germany itakuwa out of competition kwenye soko kutokana na cost kubwa za uzalishaji wao wanalenga faida gani wao kama wao wanaipata.
Namnukuu tena Kissinger, "It's dangerous to be US's enemy but to be her friend is fatal".
Hivyo ndio United Shit States anavyo monopolise everything wajinga wasio elewa mambo yanaendaje wanaona kama kila kitu kinazaliwa na kubarikiwa kwa hao demons [emoji84][emoji84][emoji84] na bila wao hakuna kinachofanyika.
Mkuu alichofanikiwa marekani ni kupachika vibaraka wake kila nchi ya ulaya hivyo viongozi wengi wa Sasa Ni vibaraka na niwatekelezaji wa sera za marekan,na kuhakikisha Ulaya inapolomoka kiuchumi ili iendelee kumtegemea yeye,
RUSSIA anaupiga wakutosha kwakweli[emoji16][emoji23][emoji16]View attachment 2375048
[emoji298][emoji298][emoji298] Russian flags at a rally in support of the leader of the military coup and the new president of Burkina Faso, Captain Ibrahim Traore (pictured in the center).
The country is emerging from French influence and is ready to turn towards Moscow[emoji298][emoji298][emoji298]
Sasa wewe unataka capability gani zaidi ya hicho inachokifanya??Ni taifa gani duniani hapa lingeweza kuhimili hiyo vuta nikuvute na mataifa yote makubwa duniani, na ikaendelea tu....Ni mataifa mangapi duniani hapa yanaweza kunyakuwa ardhi ya mwingine tena Barani Ulaya...na likasurvive tu licha ya kelele zote..??
Mnyonge mnyongeni, lkn haki yake mpeni...Russia anauwezo ambayo mataifa machache duniani yanao...
Bro naona umempa heshima 😊, wao wanamuita Enola "gay" Tibbets. Sasa ain't sure ipi ni correct kati ya Enola Guy ama Enola Gay.Wakasome kidogo The Enola Guy
🤣🤣🤣Nagasaki alipooneshwa picha za alichofanya alijiua.
Wakati hilo kombora liko njiani zile Vanguard submarines za UK zenye Makombora mazito ya nuclear Trident ICBM zitakua zinavurumisha Makombora kwenda Moscow,baada ya muda mfupi Moscow nayo inakua kifusi.
Unataka kuongoea nini unaijua Poland-Lithuania Commonwealth?Zimetajwa hizo kwa sababu
1. Ni slavic wenzao inakuwaje wanawasaidia Anglo-Saxaphon. Anglo Saxophone lengo lao ni kuwamaliza Salvic.
2. Estonia, Latvia and Lithuania walikuwa sehemu ya Russia Empire kabla ya Usoviet.