Muulize mjapani alifikaje harbourAcheni kuwa mnatazama video YouTube mnafanya conclusion kwenye battleground. Ndio yule yule aliyekuja kusema Su-57, T-14 Armata na S-500. Silaha ziko kwenye testing wewe unasema matumizi. Mbona hata US anazo hypersonic missiles on testing au kisa hazioneshi YouTube?
Kwanza hakuna nilikosema makombora ya Russia yatashindwa kufika mainland US. Nimesema Mrusi gani atafika US, taja kwa njia ipi na kupitia wapi au chombo gani
Maana yake mkuu marekani kwa siku za karibuni ni umbwa asie na meno. Ni anguko fulani la kiutawala.Kuna Mambo mawili yametokea kwenye utawala was Joe Biden.
Kwanza, kuruhusu Taliban kuchukua madaraka Afghanistan baada ya kuondoa majeshi yake huko, masaa kadhaa kabla ya Taliban kuchukua nchi...
Wewe unataka mpaka usikie watu wanakufa hovyohovyo ndo uamini kuwa Ukraine kazidiwa tayari.Bado kuna elements za uhai wa Ukrainian air defence capabilities pamoja na airstrikes za mwanzo asubuhi ya jana. Milipuko imetokea mjini Kyiv usiku huu, Western intelligence communities zinaendelea kutoa accurate data na briefings ila CNN ilisema kutakuwa na attack mjini Kyiv possibly artillery or missiles at 03:00 local time na sioni kama imetokea. Huwa siwaamini CNN moja kwa moja.
Ministry of Defence inasema losses kwa Russia ni 30 tanks, 130 armoured combat vehicles, 6 helicopters, na ndege 7. Ukraine imekwishapoteza wanajeshi 137
nipo hapa mkuu nawafautalia wachambuz wa vitaa hii hapa jf taratibuUgumu wako
Ugumu wangu
Hatari sana, natamani nikawasaidie Wakrene basi tu sina ubavunipo hapa mkuu nawafautalia wachambuz wa vitaa hii hapa jf taratibu
Kwa hiyo wewe us kuwa un ndo raha yako. Hata wewe ni shabiki kama wengine. Ndo maana un hainaga msemo kwa mengine ila leo mimi na wewe ndio tumlaumu putin. Nilichojifunza kwenye hii vita watu wote ni wanafiki kila mtu analalama pindi upande wake ukizidiwa. Ila safari hii USA kakaliwa na russia. Najua utasema USA hahusiki.Tatizo lenu ushabiki wa simba na yanga ndio mnauleta kwenye mambo ya msingi kama haya!!hivi kwa akili zako, akili alizo nazo putin ndio wawe nazo viongozi wa NATO, wakiongozwa na USA, nini kitatokea duniani?...
vumilia tuHatari sana, natamani nikawasaidie Wakrene basi tu sina ubavu
Umeandika as if Russia ni BurundiAcheni kuwa mnatazama video YouTube mnafanya conclusion kwenye battleground. Ndio yule yule aliyekuja kusema Su-57, T-14 Armata na S-500. Silaha ziko kwenye testing wewe unasema matumizi. Mbona hata US anazo hypersonic missiles on testing au kisa hazioneshi YouTube?
Kwanza hakuna nilikosema makombora ya Russia yatashindwa kufika mainland US. Nimesema Mrusi gani atafika US, taja kwa njia ipi na kupitia wapi au chombo gani
Tusubirie vita ikianza mbona mnapenda kila kitu kukifanya simba na yanga.Acheni kuwa mnatazama video YouTube mnafanya conclusion kwenye battleground. Ndio yule yule aliyekuja kusema Su-57, T-14 Armata na S-500. Silaha ziko kwenye testing wewe unasema matumizi. Mbona hata US anazo hypersonic missiles on testing au kisa hazioneshi YouTube?
Kwanza hakuna nilikosema makombora ya Russia yatashindwa kufika mainland US. Nimesema Mrusi gani atafika US, taja kwa njia ipi na kupitia wapi au chombo gani
Huyo achana nae anaugulia maumivuUnam- underrate sana Russia, nadhani movie za kimarekani zimekufanya uwe hivyo.
Yani Poland ilete ubabe kwa Russia?? Hivi hiyo nchi mnaichukuliaje kijeshi??
Uzuri ni kwamba wewe upo nyuma ya keyboard na wala hujui chochote kuhusu vita, wamarekani na wababe wenzie wanatambua Russia ni nani.
Angeogopa hivyo vikwazo asingefanya haya anayofanya sasaRussia kapigana na mdogo wake sijui jirani yake na kawekewa vikwazo atakavyopambana navyo kwa muda halafu mnamuona USA ndo kapoteza.
Inauma sanavumilia tu
Kwani kuishabikia ndo kumefanya iwepo? Wewe utakuwa na tatizo la kutokubaliana na uhalisia,kuishabikia au kutoishaibikia hakutaondoa uhalisia wa uwepo wa Vita hiyoYaani inasikitisha kuona watanzania wanashabikia hii vita. Hivi mnajua maana ya vita kweli? Mnadhani watakaoathirika ni hao tu, na sisi tutakuwa salama?
Urusi na Ukraine, ili kuelewa chanzo cha mgogoro wao vizuri ni muhimu kujua kidogo historia ya nyuma kuhusu uhusiano baina yao...
Kwa hiyo mkuu,Assessment niliyofanya mpaka sasa kwa Russian landing forces, their military gears, troops, tectics nakuhakikishia Russia hana uwezo wa kuvamia Marekani. Labda hiyo Marekani uwe unaisema iliyochorwa kwenye kikaratasi chumbani ...
Kumbe umeliona hili Mzee! Najaribu kutafuta habari hapa naona nyingi zinazungumzia upande wa Ukraine kafanya hivi kafanya vile. Najaribu kutafuta za Urusi nashindwa kabisa.Vyanzo vyako vya habari ni vipi?..
Vyombo vyongi vya habari viko biased..either vipo upande wa Ukraine au vipo upande wa Russia.
Kupata reliable news info. ni kazi.
Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
Hata kama ni military man ni wa majeshi haya mawili yaani USA na russia wengi humu tuna mahaba.Kwa hiyo mkuu....
Unaamini mpaka wewe mmatumbi umeweza kufanya huu uchambuzi wako unaamini kabisa Russians hawalijui hili so wameingia kichwa kichwa? Mkuu hata kama wewe ni military man, sidhani kama uko more informed kuhusu military capabilities za hizo pande mbili. Hakuna nchi ya wenye akili ambao wanaweza kuachia taarifa zao za kiulinzi na kijeshi so open this much labda kuwe na infiltration ya kiwango cha juu mno. Otherwise hii hadithi yako haina tofauti na masimulizi ya Simba na Yanga.