LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Acheni kuwa mnatazama video YouTube mnafanya conclusion kwenye battleground. Ndio yule yule aliyekuja kusema Su-57, T-14 Armata na S-500. Silaha ziko kwenye testing wewe unasema matumizi. Mbona hata US anazo hypersonic missiles on testing au kisa hazioneshi YouTube?

Kwanza hakuna nilikosema makombora ya Russia yatashindwa kufika mainland US. Nimesema Mrusi gani atafika US, taja kwa njia ipi na kupitia wapi au chombo gani
Muulize mjapani alifikaje harbour
 
Kuna Mambo mawili yametokea kwenye utawala was Joe Biden.

Kwanza, kuruhusu Taliban kuchukua madaraka Afghanistan baada ya kuondoa majeshi yake huko, masaa kadhaa kabla ya Taliban kuchukua nchi...
Maana yake mkuu marekani kwa siku za karibuni ni umbwa asie na meno. Ni anguko fulani la kiutawala.
 
Bado kuna elements za uhai wa Ukrainian air defence capabilities pamoja na airstrikes za mwanzo asubuhi ya jana. Milipuko imetokea mjini Kyiv usiku huu, Western intelligence communities zinaendelea kutoa accurate data na briefings ila CNN ilisema kutakuwa na attack mjini Kyiv possibly artillery or missiles at 03:00 local time na sioni kama imetokea. Huwa siwaamini CNN moja kwa moja.

Ministry of Defence inasema losses kwa Russia ni 30 tanks, 130 armoured combat vehicles, 6 helicopters, na ndege 7. Ukraine imekwishapoteza wanajeshi 137
Wewe unataka mpaka usikie watu wanakufa hovyohovyo ndo uamini kuwa Ukraine kazidiwa tayari.

Ukraine hana la kufanya mpaka sasa, pamoja na kwamba Russia kaingia bila kutumia nguvu kubwa kama ilivyotarajia.

Hivi kuna mtu bado anaamini kuwa Ukraine anaweza kufanya resistance??
 
Tatizo lenu ushabiki wa simba na yanga ndio mnauleta kwenye mambo ya msingi kama haya!!hivi kwa akili zako, akili alizo nazo putin ndio wawe nazo viongozi wa NATO, wakiongozwa na USA, nini kitatokea duniani?...
Kwa hiyo wewe us kuwa un ndo raha yako. Hata wewe ni shabiki kama wengine. Ndo maana un hainaga msemo kwa mengine ila leo mimi na wewe ndio tumlaumu putin. Nilichojifunza kwenye hii vita watu wote ni wanafiki kila mtu analalama pindi upande wake ukizidiwa. Ila safari hii USA kakaliwa na russia. Najua utasema USA hahusiki.
 
Acheni kuwa mnatazama video YouTube mnafanya conclusion kwenye battleground. Ndio yule yule aliyekuja kusema Su-57, T-14 Armata na S-500. Silaha ziko kwenye testing wewe unasema matumizi. Mbona hata US anazo hypersonic missiles on testing au kisa hazioneshi YouTube?

Kwanza hakuna nilikosema makombora ya Russia yatashindwa kufika mainland US. Nimesema Mrusi gani atafika US, taja kwa njia ipi na kupitia wapi au chombo gani
Umeandika as if Russia ni Burundi
 
Acheni kuwa mnatazama video YouTube mnafanya conclusion kwenye battleground. Ndio yule yule aliyekuja kusema Su-57, T-14 Armata na S-500. Silaha ziko kwenye testing wewe unasema matumizi. Mbona hata US anazo hypersonic missiles on testing au kisa hazioneshi YouTube?

Kwanza hakuna nilikosema makombora ya Russia yatashindwa kufika mainland US. Nimesema Mrusi gani atafika US, taja kwa njia ipi na kupitia wapi au chombo gani
Tusubirie vita ikianza mbona mnapenda kila kitu kukifanya simba na yanga.
 
Unam- underrate sana Russia, nadhani movie za kimarekani zimekufanya uwe hivyo.

Yani Poland ilete ubabe kwa Russia?? Hivi hiyo nchi mnaichukuliaje kijeshi??

Uzuri ni kwamba wewe upo nyuma ya keyboard na wala hujui chochote kuhusu vita, wamarekani na wababe wenzie wanatambua Russia ni nani.
Huyo achana nae anaugulia maumivu
 
Ila kuna watu humu viburi sana, wanachofanya sawa na kukuta mamba na shark wamekamatana vibaya then kuna mtu aseme shark anapigana na mamba. Hapo shark atakuwa analiwa na mamba na kurupushani ni za kujaribu kujikimbiza tu.

Ukrain hawezi kumzuia Russia hata kidogo. Na Ukrain hata akipewa msaada wa vilipuzi vizito hawezi kuvitumia kwa sababu anajua Urusi nae anaweza akatumia.
 
Yaani inasikitisha kuona watanzania wanashabikia hii vita. Hivi mnajua maana ya vita kweli? Mnadhani watakaoathirika ni hao tu, na sisi tutakuwa salama?
Kwani kuishabikia ndo kumefanya iwepo? Wewe utakuwa na tatizo la kutokubaliana na uhalisia,kuishabikia au kutoishaibikia hakutaondoa uhalisia wa uwepo wa Vita hiyo
 
Urusi na Ukraine, ili kuelewa chanzo cha mgogoro wao vizuri ni muhimu kujua kidogo historia ya nyuma kuhusu uhusiano baina yao...

Kwanini Ukraine anajivuta kufanya maamuzi ya kujiunga NATO?kwasababu kiusalama hayupo vizuri alitegemea siku Urusi akilianzisha yeye atakuaje?
 
Assessment niliyofanya mpaka sasa kwa Russian landing forces, their military gears, troops, tectics nakuhakikishia Russia hana uwezo wa kuvamia Marekani. Labda hiyo Marekani uwe unaisema iliyochorwa kwenye kikaratasi chumbani ...
Kwa hiyo mkuu,

Unaamini mpaka wewe mmatumbi umeweza kufanya huu uchambuzi wako unaamini kabisa Russians hawalijui hili so wameingia kichwa kichwa?

Mkuu hata kama wewe ni military man, sidhani kama uko more informed kuhusu military capabilities za hizo pande mbili. Hakuna nchi ya wenye akili ambao wanaweza kuachia taarifa zao za kiulinzi na kijeshi so open this much labda kuwe na infiltration ya kiwango cha juu mno. Otherwise hii hadithi yako haina tofauti na masimulizi ya Simba na Yanga.
 
Vyanzo vyako vya habari ni vipi?..
Vyombo vyongi vya habari viko biased..either vipo upande wa Ukraine au vipo upande wa Russia.
Kupata reliable news info. ni kazi.

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
Kumbe umeliona hili Mzee! Najaribu kutafuta habari hapa naona nyingi zinazungumzia upande wa Ukraine kafanya hivi kafanya vile. Najaribu kutafuta za Urusi nashindwa kabisa.

Halafu inabidi afahamu Urusi anachofanya ni kuvamia kambi kulipunguza nguvu jeshi wala haingii mtaa kwa mtaa kushambulia. Laiti angefanya hivyo tungezungumza mengine kabisa.
 
Kwa hiyo mkuu....
Unaamini mpaka wewe mmatumbi umeweza kufanya huu uchambuzi wako unaamini kabisa Russians hawalijui hili so wameingia kichwa kichwa? Mkuu hata kama wewe ni military man, sidhani kama uko more informed kuhusu military capabilities za hizo pande mbili. Hakuna nchi ya wenye akili ambao wanaweza kuachia taarifa zao za kiulinzi na kijeshi so open this much labda kuwe na infiltration ya kiwango cha juu mno. Otherwise hii hadithi yako haina tofauti na masimulizi ya Simba na Yanga.
Hata kama ni military man ni wa majeshi haya mawili yaani USA na russia wengi humu tuna mahaba.
 
Back
Top Bottom