Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

ZIMBABWE IRAN na VENEZUELA
Mbona wameshindwa kuiharibu RUSSIA navikwazo vyote 10000s
Kaonea hao madhaifu kama anaweza kuharibu chumi kihivyo azigeukie RUSSIA na UCHINA ziwe kama ZIMBABWE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gay you are correct
 
kuna kitu huwa watu wanabishana humu kuwa kama ni SMO mbona imechukua muda mrefu zaidi ya miezi 7 wakati ilitangazwa kuchukua saa 72!

Ishu ni kuwa moja ya lengo la Urusi ni kuwakomboa watu wa Donbass ambao ni asili/wazungumzaji wa kirusi,ndio maana wameenda taratibu ili kwa kuzingatia lengo hilo wasiwadhuru watu waliowalenga kuwakomboa coz muda mwingi Operation imefanyika eneo hilo.

kingine naamini warusi watajiwithdraw maeneo mengine ambayo wapo front zaidi kwa kuwa wameshakamilisha kwa asilimia kubwa kuhusu Donbass na kuwekeza nguvu nyingi kuilinda Donbass baada ya maeneo hayo kujiunga rasmi na Russia Federation.

Hayo mengine ni vita vya kiuchumi ndio yaliobaki kila nchi inajaribu kucheza karata zake hasa USA ila kwa vita ya kijeshi Urusi imeshashinda.
 
N
Safii, ni kuwachorea Tsunami tu nakufyeka wapuuzi
 
Mkuu alichofanikiwa marekani ni kupachika vibaraka wake kila nchi ya ulaya hivyo viongozi wengi wa Sasa Ni vibaraka na niwatekelezaji wa sera za marekan,na kuhakikisha Ulaya inapolomoka kiuchumi ili iendelee kumtegemea yeye,
Mmeshindwa nini weka mamruki wa Kirusi au Kichina au Kiiran au Cuba?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Sasa mbona huko Donbass ndo maeneo yanakombolewa?! Tena yale ambayo Putin alitangaza kujiunga na Urusi!!!!
 
I'm sure, He's not Kremlin agent ila naona ana mapenzi na nchi yake!

πŸ‘‡



πŸ‡ΊπŸ‡Έ πŸ‡ΊπŸ‡¦ πŸ‡·πŸ‡Ί "Globalists Are Marching Us Relentlessly Toward Nuclear Armageddon," Warns Former Senator

Retired Virginia State Senator and retired Marine Col. Richard Black addressed members of the US Congress in an open letter on Tuesday about "globalists are marching us relentlessly toward this nuclear Armageddon."

Baadhi ya maelezo kaandika kua πŸ‘‰ "There would have been no war had we not overthrown the democratically-elected government of Ukraine by violently ousting President Yanukovych in 2014. We promoted war by flooding Ukraine with massive arms shipments afterwards,"

"The US could have achieved peace by simply pressing Ukraine to implement the 2014 Minsk Peace Agreements which it had signed, establishing a clear framework for settling outstanding issues peacefully. Ukraine promised to implement the Minsk agreements, but chose instead to make war on the Donbass for the next seven years,"

Those two paragraphs wachache tunazijua toka awali na wengine ving'ast wa west badala ya kujikita walau kujaribu kuangalia chanzo cha mgogoro wamekazana kuita fashist andunje putin huku wakiendelea kujishibisha narrative inayowekwa na the real culprits wa huu mzozo!

But ukweli utaendelea kua pale pale.
 
Kwamba hata Russia kukiri kwamba wanajeshi wake wameondoka Lyman kuhofia kuzingirwa na majeshi ya Ukraine bado huamini?

Huoni bendera za Ukraine zikipepea huko jiji la Lyman ambalo Urusi alilitumia kama jiji la kimkakati kusafirisha zana za kivita pamoja na chakula.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…