Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ukraine making gains in Kherson: Russian-installed official​

Ukrainian forces have made some breakthroughs in the southern Kherson region and taken control of some settlements, a Russian-installed official said on Monday.
“It’s tense, let’s put it that way,” Vladimir Saldo, the Russian-installed head of Ukraine’s Kherson region, said on state television.
Russia formally annexed four Ukrainian territories last week, including the Kherson region.

Imagine wewe unakaa huko far east unaitwa ukawafie vibaraka wa Putin
 
Poland wana kisasi na Ujerumani kwa muda mrefu.

Wanasahau mkataba walowekeana mwaka 1991 yaani treaty of good neighbourship.

Story ya Poland ipo complex kwani ilikaliwa na Ujerumani na ilokuwa USSR upande wa East.

Benki zote zilokuwepo Poland ni za Ujerumani na faida yaenda huko.

Na ni Ujermani ndo waloisaidia Poland kujiunga na EU na NATO.

Ujerumani mashariki ndiko alikuwepo "supremo" Vladimir Putin akifanya kazi zake za kijasusi.

Sasa hapo kwenye demand ya Poland kuna mawili

1. Ni chama cha siasa za mlengo wa kulia kutafuta umaarufu na kura kuelekea uchaguzi mkuu ujao.

2. Ni hatua ya serikali ya sasa kuepusha (distruction) kutoka kwa wananchi kwamba serikali inahangaika na mfumuko wa bei ambao uko kwenye asilimia 16 na pia bei ya juu ya nishati na mafuta.
 
Unahitaji kutuaminisha zaidi yaani hiyo silaha inaharibu miundombinu na vyombo vya usafiri nchi nzima hàdi bodaboda. TUACHE kuabudu. Silaha kali kuliko zote so far ni nuke.
.
Nuke ina madhara kwenye haki ya hewa na viumbe hai mimea na wanyama. Inafanya ardhi KUPOTEZA uwezo wa kuzalisha inaharibu vyanzo vya maji . Naona hatuko serious kuizungumzia nuke Ndio maana tunaleta mbwembwe
 
Hapo umeelewaka sasa

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Hivi tunachobishania hapa ni Nini?Kweli na akili zako timamu unaweza kusema Emp ni more deadly kuliko nuclear?
Huko Japan,vizazi vingapi wamezaliwa na vilema?Nenda kawaulize waliosurvive radiation walipitia katika hali gani!

Ingekuwa ni Emp imepigwa huko Japan,wangepata hasara gani zaidi ya kurepair tu vifaa vya electronic na kurudi kwenye maisha ya kawaida!
Eti vyombo vya usafiri vyote,hivi vyombo vya usafiri kama kagari kangu hapa kanategemea electronic devices???Hebu niambia kuanzia kuwasha gari na kuweka GIA mpaka gari inaondoka ni electronic device gani inatumika?

Mfumo wa umeme ni kwenye distribution tu ndio hapo unakutana na electronic devicesdevices,Sasa zikifa si tunaunganisha tu manually as an emergency wakati mifumo inarekebishwa! Huko hospitali wakati umeme haupo, Kuna back up generators!

Usitake kufananisha Nuclear na vitu vya kipuuzi! Ukipiga Emp,ni vifaa ambavyo vinatumika Kawa wakati Huo ndio vinaathirika!So ni maintenance tu inafanyika!

Hata simu yangu hii,kama nimeizima,haiwezi kuathiriwa na Emp!
Acheni nuclear iitwe hivyo,unaambiwa ndani ya radius fulani kila kitu kinakuwa mvuke,ukitoka kidogo ni vumbi,ukitoka zaidi ndio labda meno na mifupa inaweza kupatikana,nje zaidi ni vipande vipande! Nje zaidi ni Vifo na majeraha makubwa,nje zaidi ni athari za radiation!

Unafananisha na Emp ambayo inapigwa na baada ya masaa maintenance tayari na maisha yanaendelea! Kukuongezea maarifa,nuclear bombs zinatengeneza pia Emp upon detonation!
Acha ushabiki maandazi!
 
Umekula michembe.
Hebu niambie katika miaka mitano kutoka 2017 hadi 2022, thamani ya Ruble ya Urusi dhidi ya Dola ya Marekani imepanda kwa asilimia ngapi?


Na hapa chini ni dhidi ya Euro...
​

Ni kwamba tamani ya Euro inajirudia pale pale ilipokuwepo. Ni kweli ilishuka sana Russia ilipoivamia Ukraine mapema mwaka huu lakini pamoja na yote hapo ndipo pahala pake na haitapanda zaidi ya hapo sana sana sasa njia ni moja tu kushuka.

Na kwa wiki imekuwa hivi...
​


Najaribu tu kukusaidia uelewe kuwa Europe kwa sasa inajipanga na muda si mrefu hiyo Ruble yao itakuwa kama takataka...watch this space!
 
Unajaribu kujitutumua lakini wapi?
Nakushauri nenda kapate elimu kidogo kwenye masuala ya Currency.
Nikupatie mfano kidogo
Ksh ni kubwa kuliko Japanese Yen. Je umejifunza nini hapo?



Unajitutumua tu kuongea siasa. Mambo ya kitaalamu achana nayo wewe nu mbumbumbu
 
Kumbe wewe ni mtoto kiasi hicho. Kuna wakati shilingi moja ya Tanzania ilikuwa sawa na Yen 100! Lakini hivi sasa Yen moja ndio sawa na shilingi za Tanzania 40. Sijui hii unaitafsiri vipi! Kwa nini ulikimbilia kuitaja Kenya na si Tanzania? Au wewe ni Mkenya?
 
Kumbe wewe ni mtoto kiasi hicho. Kuna wakati shilingi moja ya Tanzania ilikuwa sawa na Yen 100! Lakini hivi sasa Yen moja ni sawa na shilingi za Tanzania 40. Sijui unaitafsiri vipi! Kwa nini ulitaja Kenya na si Tanzania? Au wewe ni Mkenya?
Acha kuniita mimi mtoto. Huo ni uzembe wa kutumia akili.

Nimekuambia ujifunze masuala ya currency. Usilete blah blah hapa.
Vilevile nimkuambie ulete analytical answers. Kwanini Japanese Yen inapitwa na Kenyan Shiling?

Jibu swali.
 
Nikushukuru maana nikitaka kuandika nashindwa pa kuanzia .Tunaangamia KWA kukosa maarifa . Kama atarudi tena kubishana usimjibu muache tu Ndio uwezo wake umeishia hapo
 
Acha kuniita mimi mtoto. Huo ni uzembe wa kutumia akili.
Nimekuambia ujifunze masuala ya currency. Usilete blah blah hapa.
Vilevile nimkuambie ulete analytical answers. Kwanini Japanese Yen inapitwa na Kenyan Shiling?
Jibu swali.
Umesahau uliniita mwanao? Akili zangu ukiwekewa kichwani hutanyanyuka. Eti anayltic answers. Wewe analysis gani umefanya kama si copy and paste za wenzio. Jibu swali langu...
1977: Tsh. 1 sawa na Yen 100
2022:
Yen 1 sawa na Tsh. 40
Nipe analytical answer.
 
NATO na washirika wake wameweka msimamo wao wazi, kwamba iwapo itatokea fashsti anayejiita Putin.., ikitokea akarukwa na akili akarusha ata punje ya nyukria huko Ukraine..,basi vikosi vya urusi vitasagwasagwa hapo hapo Ukraine, ikiwemo Crimea.

Sasa hapo hapo fashisti Putin atachagua,ashambulie nchi mojawapo mwanachama wa NATO,Ili achakazwe mpaka Moscow au aendelee kujitutumua tu hapohapo Ukraine

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mag3 leo ninataka nikutoe tongotongo. Na uache ushamba wako.
Indonesia Currency ipo chini ukilinganisha na Kenya. Lakini hebu check stats za kiuchumi kati ta Indonesia na Kenya




Indonesia ni ya 17 dunia kwa GDP (Nominal) ni $1.29 trillion(2022)
Huku kenya ikiwa ni ya 65 ikiwa na $116.641 billion(2022)
 
Kwa hiyo hapa umefanya analysis...don't make me laugh out loud watu wanishangae. Niko ndani ya basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…