Hivi tunachobishania hapa ni Nini?Kweli na akili zako timamu unaweza kusema Emp ni more deadly kuliko nuclear?
Huko Japan,vizazi vingapi wamezaliwa na vilema?Nenda kawaulize waliosurvive radiation walipitia katika hali gani!
Ingekuwa ni Emp imepigwa huko Japan,wangepata hasara gani zaidi ya kurepair tu vifaa vya electronic na kurudi kwenye maisha ya kawaida!
Eti vyombo vya usafiri vyote,hivi vyombo vya usafiri kama kagari kangu hapa kanategemea electronic devices???Hebu niambia kuanzia kuwasha gari na kuweka GIA mpaka gari inaondoka ni electronic device gani inatumika?
Mfumo wa umeme ni kwenye distribution tu ndio hapo unakutana na electronic devicesdevices,Sasa zikifa si tunaunganisha tu manually as an emergency wakati mifumo inarekebishwa!Huko hospitali wakati umeme haupo,Kuna back up generators!
Usitake kufananisha Nuclear na vitu vya kipuuzi!
Ukipiga Emp,ni vifaa ambavyo vinatumika Kawa wakati Huo ndio vinaathirika!So ni maintenance tu inafanyika!
Hata simu yangu hii,kama nimeizima,haiwezi kuathiriwa na Emp!
Acheni nuclear iitwe hivyo,unaambiwa ndani ya radius fulani kila kitu kinakuwa mvuke,ukitoka kidogo ni vumbi,ukitoka zaidi ndio labda meno na mifupa inaweza kupatikana,nje zaidi ni vipande vipande!Nje zaidi ni Vifo na majeraha makubwa,nje zaidi ni athari za radiation!
Unafananisha na Emp ambayo inapigwa na baada ya masaa maintenance tayari na maisha yanaendelea!
Kukuongezea maarifa,nuclear bombs zinatengeneza pia Emp upon detonation!
Acha ushabiki maandazi!
Anyway hata hivyo mnajitahidi, mtu hajui halafu analazimisha anajua. EMP bomb (Electro-Magnetic Pulse) hii inaua electronics device zote zilizo in radius of detonation.
The top destructive bomb ni Nuclear mbishi wa hili jambo ni mpumbavu. Temperatures ya nuclear explosion inaweza reach those in the interior of the sun, about
100,000,000° Celsius, na ku-produce a brilliant fireball baada ya kua detonated. Yah anukuu vizuri hizo ni
Celsius Mil 100 Sasa wapige hesabu sie body letu linahimili 35 to 40°C hiyo level unabakiza nini?
Hizi refractory metals (zile ambazo zina melting point above 1,900°C), mfano kama Tungsten ambayo ni among top ina Melting Point ya 3,420°C ikikumbwa na hilo dude tunapata nn kama sio mvuke?
Hapo ni kwenye explosion after detonation hatujazungumzia madhara ya radio actives zinazotokana na huo mzigo. Nimeona Umempa mfano mzuri wa Hiroshima vizazi na vizazi vinazaliwa na matatizo.
Kwa kukumbusha, zile just two bombs ziliondoka na Casualties takribani za watu 255,000. Huku katika hao 120k to 226k wakikadiriwa kufa papo hapo. Madhara ya vizazi vilivyofatia kwa wenye akili hawana haja ya kuhadithiwa.
Lile bomb lilikuwa na 25 kilo tons za TNT compared na hizi zilizopo leo, za sasa zipo more powerful takriban 3,300 zaidi ya lile la Hiroshima na Nagasaki. 100 Mega tons za TNT kama zilizo kwenye Tsar Bomba ni destructives than we can imagine, Nakosa hata maneno ya kuongea.
Halafu leo pimbi anakwambia unabonyeza tu kitufe shwaini shubamiti 💩💩💩.
Na si hivyo, after hiyo milipuko ikitokea haswa kwa mapigano ya hao wababe wawili, ule moshi utaenea angani na kutengeneza nuclear fog ambayo itazuia mionzi ya jua kufika ardhini. Means eneo lote hilo la global North litaingia katika Nuclear Winter ambayo in turn hakuna kiumbe kitakacho survive! Ndio maana wanaposema Vita ya nuclear haina mshindi watu wawe wanaelewa.
Kama yale maji yanayo kua contaminated kwenye machimbo ya dhahabu yako very dangerous vipi radiation zinazotokana na nuclear?
Baada ya WWII, simkumbuki jina ni nani ila alinukuliwa enzi hizo akisema kua
"Sijui vita ya WWIII itapiganwa kwa silaha zipi isipokua na hakika vita ya WWIV itapiganwa kwa mawe na vijiti"
Sasa wa kuleta ushabiki wa kindergarten aendelee!
Upuuzi mwingi sana ase, eti EMP ni deadly kuliko Nuclear, WTF kwenye mind za hawa watu? EMP sio radio active na up to date hakuna known side effects kwa human zaidi ya ku'disable temporary au permanently electronics devices kulingana na Intensity yake.
Na EMP inaweza kua detonated chumbani isikufanye kitu zaidi ya kuharibu electronics devices baaask. Dah Tuna ushamba wa kise*** sana waswahili na hata kusema basi tujaribu kujifunza kabla ya kuwekeana hoja hatutaki.
Zaidi tutoane tongo tongo kidogo, kuna NEMP na EMP.
NEMP, Nuclear Electro-Magnetic Pulse. Hii hutokea as a result of Nuclear bomb detonation. Ina destructive character kama za normal EMP isipokua hii ni product ya Nuclear bomb.
Then kuna normal EMP, Electro-Magnetic Pulse ambayo ndio hiyo tumeizungumzia. Ni non radio active na ina athiri sana electronic devices zote. EMP inaogopwa kwa character yake hiyo ya kuharibu ama ku' distort electronics hasa tukizingatia almost all modern equipment zina'rely kwenye electronics ili ziweze kufanya kazi.
EMP inazima Gari hasa hizi modern cars ambazo zina rely too much kwenye electronics, Gari za Zaman hapa zitapeta tu 🤣 modern military vehicles and equipments, electrical grid n.k I mean kila kitu kinachotegemea electronics kinakuwa takataka so kama strong EMP bomb ikiachiwa hasa mahala kulipo na "critical infrastructures" jamii ya eneo hilo itarudi zama za Stone age. Ila sio madhara kiafya kwa watu tofauti kabisa na Nukes.