Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

For the future we plan as a Russia to stop all gas exports to Europe for more than one year and our economy will run without any negative consequences...we need to boost some other countries economy to stand against Western hegemony~ Medvedev

That is a strategic thought. And the West will regret their choices. When other countries shall be having stable economies, they may be able to stand the nonsense forced on them by the arrogant West.
 
Sisi tusiojua chimbuko au chanzo cha mgogoro huu ndio wahanga wakubwa sana wa Propaganda za kimagharibi zinazofanywa kupitia media mbalimbali mbali kama mitandao ya kijamii au vyombo kama aljazeera BBC CCN etc..
Ukisikiliza vizuri hizi media utagundua kuwa zinareport upande mmoja kama muhanga wa mgogoro(Ukraine) na upande wapili ni alieshindwa mapigano(Urusi) kitu ambacho sio kweli kwa jicho la haraka haraka

Kikubwa tunapaswa kujua sababu ya Urusi kuivamia Ukraine mwaka huu ni kutotekelezwa kwa 'The Minsk Agreement' ambapo lengo kuu la mkataba huo ulikuwa ni kusitisha mapigano kati ya wapiganaji wenye kuungwa mkono na Urusi wali Miji ya Donbas na majeshi ya serikali ya Ukraine(Kyiv) na ukizingati hiyo miji iliwekwa kama buffer zone ya future confrontation katika ya Urusi na maadui zake so Urusi kama sehem ya makubaliano alikuwana wajibu wakuwajibisha Kyiev kwa uvamizi kwasabab ya kushindwa kusimamia kile walichokubaliana Putin alikuwa pia mtazomo wa serikali yenye mfungamano na Nationalists wenye chuki kali dhidi ya Urusi ilionekana kutamani kuwa sehem ya NATO hivyo Urusi kama sehem ya Greates 5 powers hawakuwa na jinsi zaidi ya kuivamia kwamtindo huo wakimkakati huku lengo likiwa kuyanyakuwa majimbo yasiozidi mawili ila kwa bahati nzuri sasa wamepata faida ya majimbo mengine zaidi

Mwisho kabisa ningependa kumalizia kwakusema👇🏽

The Comedian doesn't know the country he is fighting with. No right thinking leader of a country fights with US, UK, China, France or Russia in conventional warfare and get away with it.

They set the International rules because of thier superior military power,
....They will pound your country to the last minute and test thier new ballistic missiles with no one coming to your rescue.

These P5 are the International Police and International Judge in International Politics. You fight them at your peril.
 
Debt-to-GDP ratios:

Russia - 19%
UK - 96%
EU - 100%
America - 137%

Sri Lanka collapsed at 117%.

Rising interests rates are lethal to western governments, while the Russian state can thumb its nose at them.
Anayewakopesha hizo pesa ni nani..??......ukijibu hilo swali na ukafahamu uchumi wa dunia unaongozwa na nani , utakuwa na jibu na utafuta hayo maigizo yako...
 
Anayewakopesha hizo pesa ni nani..??......ukijibu hilo swali na ukafahamu uchumi wa dunia unaongozwa na nani , utakuwa na jibu na utafuta hayo maigizo yako...

Anayewakopesha hizo pesa ni nani..??......ukijibu hilo swali na ukafahamu uchumi wa dunia unaongozwa na nani , utakuwa na jibu na utafuta hayo maigizo yako...
Inaonekana haujajua hii ishu ya international/ Sovereign debt inaoperate vipi
 
VIDEO.
Wanajeshi wa ukraine [emoji1255] wakirudisha Washing machine iliyoibiwa na askari wa Russia [emoji635]

Urusi anazidi kuweka visingizio tu Ili kuwapoteza maboya.., sijui anasubiri nini kuchukua hatua wakati ""aridhi iliyo kwenye mipaka yake"" inazidi kupelekewa moto [emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Vijana wanakamatwa kwa wingi huku Putin achana na hii vita

Warusi ndo wanasurrender Sasa badala ya Ukraine [emoji16]
JamiiForums628798688.jpg


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji1099][emoji635]The EU leadership invited a high-ranking Russian diplomat to Brussels because of the past referendums on the admission of the Donetsk and Lugansk People's Republics, as well as the Kherson and Zaporozhye regions to the Russian Federation, AFP reported.

IMG_6872.jpg


Msikilizeni Elona ana ushauri kwa Russia
 
Umesahau uliniita mwanao? Akili zangu ukiwekewa kichwani hutanyanyuka. Eti anayltic answers. Wewe analysis gani umefanya kama si copy and paste za wenzio. Jibu swali langu...
1977: Tsh. 1 sawa na Yen 100
2022:
Yen 1 sawa na Tsh. 40
Nipe analytical answer.
Mkuu kama kuna kitu nimekuja kugundua kuna watu wamevamia hii forum bila kujua ni baada ya kuona ile comment ya huyu bwana mdogo.Msamehe bure he/she is an Idiot toddler.
 
Hawa wajinga wasio na akili wanafikiri wanajibizana na vijana wadogo wasio na uelewa wa vitu vitatu muhimu...yaliyopita, yanayoendelea na yajayo.

Huyo anayejiita JESUS Mulokozi bila shaka ni kijana mdogo sana ambaye kwa kutojua ana copy/paste tu propaganda za Urusi na kuzimwaga humu.

Kwa ufahamisho tu tupo tuliokuwepo during The Cuban Missile Crisis of October 1962.

Rais wa Marekani John Fitzerald Kennedy alipompa onyo kali kiongozi wa Urusi Nikita Khrushchev akimtaka kuondoa silaha zake kisiwani Cuba.

Zilikuwa ni siku tatu zilizojawa na hofu kubwa kwa dunia kuanzia agizo lilipotolewa tarehe 26/10/1962 hadi 28/10/1962 silaha hizo zilipoondolewa.

Wengine tulikuwepo nyakati hizo na tulikuwa na uwezo wa kufuatilia yanayojiri.

Kabla hata ya kutia kidole kwenye kitufe cha nyuklia, tayari wenzako washajua na hutapata hata huo muda wa kubonyeza na Putin anajua hilo.
Unajisifia ukubwa lakini kinywa kimejaa matusi badala ya maneno ya hekima!? Ukubwa gani sasa huo

Mitusi mingiii ni dalili za kuishiwa hoja [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Unajisifia ukubwa lakini kinywa kimejaa matusi badala ya maneno ya hekima!? Ukubwa gani sasa huo

Mitusi mingiii ni dalili za kuishiwa hoja [emoji16][emoji16][emoji16]
Humjui Mag3 hanaga huo upuuzi.Nenda Jamii Intelligence ndiyo utamjua vizuri.Kwa hapa wakati mwingine analazimika kujibu kutokana na upuuzi wa wanaotaka mjadala nae wakati wakiwa na pumzi ndogo ya kujenga hoja.
 
Back
Top Bottom