Personal Analysis 🤗
Niko open kupokea mawazo ya wengine pia.
Ni kwamba kuna kitu nilikuwa nakiwaza, tukiangalia toka kutangazwa kwa referendum progress za kuchukua maeneo zaidi upande wa wa jeshi la Urusi na LPR/DPR people's militia ni kama umepungua hivi.
Na kitu ambacho tunakiona ni kama jeshi la Ukraine limeingia baadhi ya maeneo ambayo yapo ndani ya maeneo mapya ya Russia Federation. So swali langu likawa what's going on... Nini Russia anawaza? As we know ngumu sana ku'predict kila "move" wanayofanya hadi pale tukio litokee ndio twajua hivi na vile.
So, here my personal analysis au niseme thoughts zinazokuja akilini mwangu...
Najaribu kuvaa uhusika wa Upande wa Russia. Kwa yanayo endelea lau ningekuwa mie ningekua na plan zipi!
Turejee nyuma kidogo katika kuwaleta karibu na hiki nachokiwaza.
Wakati Russia anaingia Ukraine alitangaza hii kua ni SMO. Operation maana ake ikawa inamlazim kutumia limited force, limited equipments, to the extents of limiting military targets.
In context of SMO, kuna maswali mengi mie na wengine tumekua tukijiuliza mbona Russia hafanyi hivi mbona Russia hafanyi vile. Vitu ambavyo kwa baadhi wamekua wanavitafsiri kama Udhaifu hasa harakati zote zikipambwa na media katika mwonekano huo.
Lakini yote hayo kwa jicho pana binafsi naweza kusema ni kitanzi alichojiwekea mwenyewe. Hapa nikiwa na maama ya Frameworks of Special Military Operation.
Huko nadhani tumeelewana sasa turudi kwenye point yangu...!
Toka last week, kinchoendelea kwa Russia ni kama vile anataka kubadili mwelekeo wa kile ambacho wengi wanakiona. Its like soon tutashuhudia Russia akijivua ukimya aliofunika mikononi mwake mda mrefu.
Ni kwa mara ya kwanza majuzi kati tumeona Russia akizipiga critical infrastructure za Ukraine kisha akatulia kimyaaa. Then akatangaza referendum kufanyika katika hayo maeneo ma 4.
Ukiunganisha dot ya referendum na wao ku-withdrawal kutoka kwenye maeneo yaliopo kwenye mikoa yao mpya hiyo kwa jicho la ziada naona ni kama "bait" anayotengenezewa Ukraine. Inakuwa like let them in upate sababu ya kumpiga.
Referendum ikiwa ina imply kua hizo regions zitakuwa in Russia Federation na uwepo wa jeshi la Ukraine eneo hilo ukiwa una maanisha uvamizi katika ardhi ya Russia. So inakuwa kama 'trump' card kwa Russia ku'declare Kiev regime kama terrorist organization hivyo kubadili course ya SMO na kua defensive operation of Russian Territory ambayo Russia according to their constitution watajipa haki ya kutumia their full potential, their full power.
Huku zile limits walizo kua wamejiwekea awali kwa jina la SMO zikitoweka.
I guess soon tutaona deployment of modern equipments maeneo hayo na fighting gonna be fierce zaidi ya mwanzo.
Ni mtazamo wangu tu hadi kufikia Jmos nitarudi kuji-prove wrong ama right kwa kile kitakacho tokea.
Siku zote mda huwa ni mwalim mzuri.