Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
Asante Kwa maelezo yaliyoshiba,huyo jamaa sikjui kama atarudi!Anyway hata hivyo mnajitahidi, mtu hajui halafu analazimisha anajua. EMP bomb (Electro-Magnetic Pulse) hii inaua electronics device zote zilizo in radius of detonation.
The top destructive bomb ni Nuclear mbishi wa hili jambo ni mpumbavu. Temperatures ya nuclear explosion inaweza reach those in the interior of the sun, about 100,000,000Β° Celsius, na ku-produce a brilliant fireball baada ya kua detonated. Yah anukuu vizuri hizo ni Celsius Mil 100 Sasa wapige hesabu sie body letu linahimili 35 to 40Β°C hiyo level unabakiza nini?
Hizi refractory metals (zile ambazo zina melting point above 1,900Β°C), mfano kama Tungsten ambayo ni among top ina Melting Point ya 3,420Β°C ikikumbwa na hilo dude tunapata nn kama sio mvuke?
Hapo ni kwenye explosion after detonation hatujazungumzia madhara ya radio actives zinazotokana na huo mzigo. Nimeona Umempa mfano mzuri wa Hiroshima vizazi na vizazi vinazaliwa na matatizo.
Kwa kukumbusha, zile just two bombs ziliondoka na Casualties takribani za watu 255,000. Huku katika hao 120k to 226k wakikadiriwa kufa papo hapo. Madhara ya vizazi vilivyofatia kwa wenye akili hawana haja ya kuhadithiwa.
Lile bomb lilikuwa na 25 kilo tons za TNT compared na hizi zilizopo leo, za sasa zipo more powerful takriban 3,300 zaidi ya lile la Hiroshima na Nagasaki. 100Mega tons za TNT kama zilizo kwenye Tsar Bomba ni destructives than we can imagine, Nakosa hata maneno ya kuongea.
Halafu leo pimbi anakwambia unabonyeza tu kitufe shwaini shubamiti π©π©π©.
Kama yale maji yanayo kua contaminated kwenye machimbo ya dhahabu yako very dangerous vipi radiation zinazotokana na nuclear?
Baada ya WWII, simkumbuki jina ni nani ila alinukuliwa enzi hizo akisema kua "Sijui vita ya WWIII itapiganwa kwa silaha zipi isipokua na hakika vita ya WWIV itapiganwa kwa mawe na vijiti"
Sasa wa kuleta ushabiki wa kindergarten aendelee!
Upuuzi mwingi sana ase, eti EMP ni deadly kuliko Nuclear, WTF kwenye mind za hawa watu? EMP sio radio active na up to date hakuna known side effects kwa human zaidi ya ku'disable temporary au permanently electronics devices kutokana na Intensity yake.
Na EMP inaweza kua detonated chumbani isikufanye kitu zaidi ya kuharibu electronics devices. Tuna ushamba wa kise*** sana waswahili na hata kusema basi tujaribu kujifunza kabla ya kuwekeana hoja hatutaki.
Zaidi totoane tongo tongo kidogo, kuna NEMP na EMP.
NEMP, Nuclear Electro-Magnetic Pulse. Hii hutokea as a result of Nuclear bomb detonation. Ina destructive character kama za normal EMP isipokua hii ni product ya Nuclear bomb.
Then kuna normal EMP, Electro-Magnetic Pulse ambayo ndio hiyo tumeizungumzia. Ni non radio active na ina athiri sana electronic devices zote. EMP inaogopwa kwa character yake hiyo ya kuharibu ama ku' distort electronics hasa tukizingatia almost all modern equipment zina'rely kwenye electronics ili ziweje kufanya kazi.
Linazima Gari hasa hizi modern cars ambazo zina rely too much kwenye electronics, Gari za Zaman hapa zitapeta tu π€£ modern military vehicles and equipments, electrical grid n.k ikiwa na maana kama strong EMP bomb ikiachiwa hasa mahala kulipo na "critical infrastructures" jamii ya eneo hilo itarudi zama za Stone age. Ila sio madhara kiafya kwa watu.
And this is my teacher[emoji110]Anyway hata hivyo mnajitahidi, mtu hajui halafu analazimisha anajua. EMP bomb (Electro-Magnetic Pulse) hii inaua electronics device zote zilizo in radius of detonation.
The top destructive bomb ni Nuclear mbishi wa hili jambo ni mpumbavu. Temperatures ya nuclear explosion inaweza reach those in the interior of the sun, about 100,000,000Β° Celsius, na ku-produce a brilliant fireball baada ya kua detonated. Yah anukuu vizuri hizo ni Celsius Mil 100 Sasa wapige hesabu sie body letu linahimili 35 to 40Β°C hiyo level unabakiza nini?
Hizi refractory metals (zile ambazo zina melting point above 1,900Β°C), mfano kama Tungsten ambayo ni among top ina Melting Point ya 3,420Β°C ikikumbwa na hilo dude tunapata nn kama sio mvuke?
Hapo ni kwenye explosion after detonation hatujazungumzia madhara ya radio actives zinazotokana na huo mzigo. Nimeona Umempa mfano mzuri wa Hiroshima vizazi na vizazi vinazaliwa na matatizo.
Kwa kukumbusha, zile just two bombs ziliondoka na Casualties takribani za watu 255,000. Huku katika hao 120k to 226k wakikadiriwa kufa papo hapo. Madhara ya vizazi vilivyofatia kwa wenye akili hawana haja ya kuhadithiwa.
Lile bomb lilikuwa na 25 kilo tons za TNT compared na hizi zilizopo leo, za sasa zipo more powerful takriban 3,300 zaidi ya lile la Hiroshima na Nagasaki. 100Mega tons za TNT kama zilizo kwenye Tsar Bomba ni destructives than we can imagine, Nakosa hata maneno ya kuongea.
Halafu leo pimbi anakwambia unabonyeza tu kitufe shwaini shubamiti [emoji90][emoji90][emoji90].
Kama yale maji yanayo kua contaminated kwenye machimbo ya dhahabu yako very dangerous vipi radiation zinazotokana na nuclear?
Baada ya WWII, simkumbuki jina ni nani ila alinukuliwa enzi hizo akisema kua "Sijui vita ya WWIII itapiganwa kwa silaha zipi isipokua na hakika vita ya WWIV itapiganwa kwa mawe na vijiti"
Sasa wa kuleta ushabiki wa kindergarten aendelee!
Upuuzi mwingi sana ase, eti EMP ni deadly kuliko Nuclear, WTF kwenye mind za hawa watu? EMP sio radio active na up to date hakuna known side effects kwa human zaidi ya ku'disable temporary au permanently electronics devices kutokana na Intensity yake.
Na EMP inaweza kua detonated chumbani isikufanye kitu zaidi ya kuharibu electronics devices. Tuna ushamba wa kise*** sana waswahili na hata kusema basi tujaribu kujifunza kabla ya kuwekeana hoja hatutaki.
Zaidi totoane tongo tongo kidogo, kuna NEMP na EMP.
NEMP, Nuclear Electro-Magnetic Pulse. Hii hutokea as a result of Nuclear bomb detonation. Ina destructive character kama za normal EMP isipokua hii ni product ya Nuclear bomb.
Then kuna normal EMP, Electro-Magnetic Pulse ambayo ndio hiyo tumeizungumzia. Ni non radio active na ina athiri sana electronic devices zote. EMP inaogopwa kwa character yake hiyo ya kuharibu ama ku' distort electronics hasa tukizingatia almost all modern equipment zina'rely kwenye electronics ili ziweje kufanya kazi.
Linazima Gari hasa hizi modern cars ambazo zina rely too much kwenye electronics, Gari za Zaman hapa zitapeta tu [emoji1787] modern military vehicles and equipments, electrical grid n.k ikiwa na maana kama strong EMP bomb ikiachiwa hasa mahala kulipo na "critical infrastructures" jamii ya eneo hilo itarudi zama za Stone age. Ila sio madhara kiafya kwa watu.
Nikushukuru KWA knowledge hii.Nadhani Kijana atapita ajifunze . Mengine yanashangaza sana.Anyway hata hivyo mnajitahidi, mtu hajui halafu analazimisha anajua. EMP bomb (Electro-Magnetic Pulse) hii inaua electronics device zote zilizo in radius of detonation.

Inashangaza sana mkuu.., binafsi naona kadri Putin anavyotoa mikwara ndivyo anavyozidi kupuuzwa,Yani ndo tuseme zelenskyy haogopi kuchapwa nuke?
Khaaah imekuaje tena!!!!!Wale Pro USA msikilizeni babu yenuView attachment 2376162
Kichapo kinakubali...,watu wanaendelea kukomboa ardhi Yao,Sasa Kuna haja gani ya kuendelea kuweka vikwazo hambavyo vinatuumiza hata huku namtumbo,Wale Pro USA msikilizeni babu yenuView attachment 2376162
Basi USA ni wachumba asee duuh anawaongoza EU kwenye kuweka vikwazo AF yeye anajitoa mdogomdogo....basi bana shkamoo putinWale Pro USA msikilizeni babu yenuView attachment 2376162
Tulia dogo, ππππππ ishakuingia vyemaWewe mtoto mdogo, hayo mambo achana nayo yanakuzidi kimo! Kama unampenda Putin kanywe naye chai...ni ushauri tu!
Khaaah imekuaje tena!!!!!
Basi USA ni wachumba asee duuh anawaongoza EU kwenye kuweka vikwazo AF yeye anajitoa mdogomdogo....basi bana shkamoo putin