Mkuu kuna watu wanafikia hatua ya kufanya mwisho ustaarabu unauweka pembeni,lakini siyo kwako Mkuu [emoji3][emoji3]I was inattentive of your insulting capacity..... addressing a fully fledged individual as a preschooler....Hahaha. Akielewa atakereka [emoji38]
Naelewa boss, sikutegemea tu 🙂 🙂.Mkuu kuna watu wanafikia hatua ya kufanya mwisho ustaarabu unauweka pembeni,lakini siyo kwako Mkuu [emoji3][emoji3]
Ni wapi Mag3 amekufanya hadi utumie lugha ya mauzi? Hivi umesoma majibizano yake na yule Idiot toddler anaejita Mulokozi.Namjua vizuri tu lkn kwa hapa amenishangaza. Ilibidi niclick id yake kuona kama ndio yeye isije ikawa ni Mag3 mwingine. Kumbe ndio yeye!
Unaweza kuomba urejeshewe heshima yako uliyowahiitoa bure.
Inawezekana kama unavyomtetea kuwa analazimika kujibu kuendana na anaowajibu au inawezekana amepuyanga kweli. Kwamba kwa sababu ni Mag3 ndio hawezi kupuyanga!? That is appealing to authority. Simply a logical fallacy!
Umri ni namba tu. Haina maana mkubwa ndio akisema always kapatia. Na pia Mkubwa hatukani. Hasa hasa kutukanana na wadogo.
Mnaojiona wakubwa jf Kuweni mfano kwa sisi wadogo. Mtalaumu vipi kizazi cha sasa kukosa adabu wakati matusi na utovu wa nidhamu mnatufundisha wenyewe!?
Next time I will behave [emoji3][emoji3]Naelewa boss, sikutegemea tu 🙂 🙂.
Haha sure. Humu tunawaona vijana wenye elimu za makaratasi na kuna id zinazochukulia mambo simple sababu ya proficiency, najua ww haupo kwenye kundi la kwanza japo ni kijana. Fake id zinasitiri mengi.Next time I will behave [emoji3][emoji3]
Mkishindwa kujibu hoja mnaita wengine idiot. Wewe ni mpumbavu fulani wala hunipi tabu.Ni wapi Mag3 amekufanya hadi utumie lugha ya mauzi? Hivi umesoma majibizano yake na yule Idiot toddler anaejita Mulokozi.Mnapotaka kujifunza kwa walio wazidi kwa uelewa njooni na hoja za maana na siyo kuleta utoto utoto kwenye mijadala yenye kujenga afya ya akili.Sijui ni nani kawadanganyeni mnavyoflood comments zisizo na kichwa wala miguu mnapojibiwa kwa hoja nzito mnaishia kuleta lugha za kipuuzi.I miss my old Jambo Forums kwa kweli.
Jambo jema ni kukubali kujifunza kutoka kwa wengine . Huwezi kujua kila jambo na usichukulie weñzio kuwa underate . Si sawa kudhani mtu fulani yupo SAWA KILA angle au hayuko SAWA kila wakatiHaha sure. Humu tunawaona vijana wenye elimu za makaratasi na kuna id zinazochukulia mambo simple sababu ya proficiency, najua ww haupo kwenye kundi la kwanza japo ni kijana. Fake id zinasitiri mengi.
Moto unawaka huko Twitter. Zelensky amechafukwa.
View attachment 2376461
[emoji298][emoji298][emoji298]Of course, all Teslas will be sent to the front tomorrow. Oh no[emoji298][emoji298][emoji298]
Gays uwaga wako short-tempered Sana.Moto unawaka huko Twitter. Zelensky amechafukwa.
View attachment 2376461
[emoji298][emoji298][emoji298]Of course, all Teslas will be sent to the front tomorrow. Oh no[emoji298][emoji298][emoji298]
Na unapotaka kujifunza pia ujue na lugha ya kutumia ili ujibiwe kwa hoja zitakazokusaidia kujifunza na siyo ku provoke watu ovyo ovyo utadhani unagombea medali ya kujaza comments zisizo na maana yoyote.(Hapa sijamaanisha ni wewe though,nimejibu kulingana na mwendelezo wa hoja)Jambo jema ni kukubali kujifunza kutoka kwa wengine . Huwezi kujua kila jambo na usichukulie weñzio kuwa underate . Si sawa kudhani mtu fulani yupo SAWA KILA angle au hayuko SAWA kila wakati
Russia ataendelea kusumbuliwa sana na Ukraine kama Ukraine ataendelea kupokea misaada ya silaha na mafunzo toka kwa marekani na marafiki zake.Personal Analysis 🤗
Niko open kupokea mawazo ya wengine pia.
Ni kwamba kuna kitu nilikuwa nakiwaza, tukiangalia toka kutangazwa kwa referendum progress za kuchukua maeneo zaidi upande wa wa jeshi la Urusi na LPR/DPR people's militia ni kama umepungua hivi.
Na kitu ambacho tunakiona ni kama jeshi la Ukraine limeingia baadhi ya maeneo ambayo yapo ndani ya maeneo mapya ya Russia Federation. So swali langu likawa what's going on... Nini Russia anawaza? As we know ngumu sana ku'predict kila "move" wanayofanya hadi pale tukio litokee ndio twajua hivi na vile.
So, here my personal analysis au niseme thoughts zinazokuja akilini mwangu...
Najaribu kuvaa uhusika wa Upande wa Russia. Kwa yanayo endelea lau ningekuwa mie ningekua na plan zipi!
Turejee nyuma kidogo katika kuwaleta karibu na hiki nachokiwaza.
Wakati Russia anaingia Ukraine alitangaza hii kua ni SMO. Operation maana ake ikawa inamlazim kutumia limited force, limited equipments, to the extents of limiting military targets.
In context of SMO, kuna maswali mengi mie na wengine tumekua tukijiuliza mbona Russia hafanyi hivi mbona Russia hafanyi vile. Vitu ambavyo kwa baadhi wamekua wanavitafsiri kama Udhaifu hasa harakati zote zikipambwa na media katika mwonekano huo.
Lakini yote hayo kwa jicho pana binafsi naweza kusema ni kitanzi alichojiwekea mwenyewe. Hapa nikiwa na maama ya Frameworks of Special Military Operation.
Huko nadhani tumeelewana sasa turudi kwenye point yangu...!
Toka last week, kinchoendelea kwa Russia ni kama vile anataka kubadili mwelekeo wa kile ambacho wengi wanakiona. Its like soon tutashuhudia Russia akijivua ukimya aliofunika mikononi mwake mda mrefu.
Ni kwa mara ya kwanza majuzi kati tumeona Russia akizipiga critical infrastructure za Ukraine kisha akatulia kimyaaa. Then akatangaza referendum kufanyika katika hayo maeneo ma 4.
Ukiunganisha dot ya referendum na wao ku-withdrawal kutoka kwenye maeneo yaliopo kwenye mikoa yao mpya hiyo kwa jicho la ziada naona ni kama "bait" anayotengenezewa Ukraine. Inakuwa like let them in upate sababu ya kumpiga.
Referendum ikiwa ina imply kua hizo regions zitakuwa in Russia Federation na uwepo wa jeshi la Ukraine eneo hilo ukiwa una maanisha uvamizi katika ardhi ya Russia. So inakuwa kama 'trump' card kwa Russia ku'declare Kiev regime kama terrorist organization hivyo kubadili course ya SMO na kua defensive operation of Russian Territory ambayo Russia according to their constitution watajipa haki ya kutumia their full potential, their full power.
Huku zile limits walizo kua wamejiwekea awali kwa jina la SMO zikitoweka.
I guess soon tutaona deployment of modern equipments maeneo hayo na fighting gonna be fierce zaidi ya mwanzo.
Ni mtazamo wangu tu hadi kufikia Jmos nitarudi kuji-prove wrong ama right kwa kile kitakacho tokea.
Siku zote mda huwa ni mwalim mzuri.
Upo sawa Msulibasi. Hatahivyo, sikuzote mwenye uzoefu akisoma concepts kutoka kwa a bibliophile atajua tu kuwa huyu hana uzoefu kuhusu hii concept, anatumia literary works ila hilo halizuii kujifunza kutoka kwake.Jambo jema ni kukubali kujifunza kutoka kwa wengine . Huwezi kujua kila jambo na usichukulie weñzio kuwa underate . Si sawa kudhani mtu fulani yupo SAWA KILA angle au hayuko SAWA kila wakati
Kwani hii sio Vita kamili?....Kwa maoni yangu Putin akitangaza vita kamili ndivyo hivyo hivyo marekani na jamaa zake watazidisha misaada ya silaha na mafunzo zaidi kwa waUkraine. Hii ngoma bado mbichi. Bora tubaki na SMO kuliko kutangaza vita. Maana aibu itakuwa kubwa zaidi.