Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

1. Hayo ni maisha yako binafsi.

2. Jana tulikuwa tunaongelea currency nikashangaa umepotea ghafla, ulipotelea wapi.

3. Unatakiwa uijue dunia kuwa huwezi ukajua kila kitu. Kwahiyo unatakiwa uwe tayari kujifunza kwa wengine. Ukishupaza shingo utaonekana mwendawazimu.

4. Usijione kuwa eti wewe umri wako ni mkubwa. Hizi ni tabia za kishezi na za kijima. Inaonekana namna gani ulivyo mshamba. Humu JF tunatumia fake names na huwezi kujua umri wa mtu unayejadiliana naye. Sisi wengine tunaweza kuwa wazazi wako. So uwe na heshima.

5. Unaongelea unachukia utawala wa kiimra. Mbona unaonesha wazi wazi kuwa ndiye unayependa utawala huo!? Hao unaowatetea akina Ukraine, USA, UK nk ndio wenye utawala wa kiimra. Wanatetea ushoga na kulazimisha nchi zingine zifanye hivyo. Je, na wewe unatetea ushoga!?.

Nimekueleza kwenye critical discussion wewe hufui dafu. Zaidi sana unachoweza ni kuandika hekaya kama zinazoandikwa kwenye magazeti ya Shigongo na majarida ya SANI.

Njoo na mawazo ya kisomi kama mimi, yenye evidences na references siyo kuandika matamanio yako ambayo hayana uhalisia.

Ukija kwania ya kujadili with evidences mimi nipo tayari kukufundisha bure kabisa.
 
Russia yupo kwenye total war sema tu wanajeshi wake hawana morale ya vita japo Ukraine ni wachache wakipewa pesa na vifaa zaidi ataweza kumuondoa Russia kwenye ardhi yake yote na Russia atayumba sana kiuchumi na itamchukua muda mrefu kukaaa sawa
 
Ile total war unaiamua wewe au Urusi.
Mara ya mwisho kula samaki aina ya changu ilikuwa lini!?
 
Breaking News!!!

Igor Murashov, the general director of the Zaporizhzhya NPP, admitted that he had passed information to Kyiv about what was happening at the plant. He stressed that he was aware that the shelling was coming from the Ukrainian troops.

Murashov also admitted that he forbade the team from publishing an appeal to the UN and the IAEA demanding that they stop the shelling. He did this because such appeals could "hurt the state interests of Ukraine."
 
1. Hafanyi Uchaguzi huru nchini mwake

2.Wapinzani wake kisiasa wanaishia jela kwa kesi za michongo, wanauwawa vifo vya ajabu ajabu mara nyingi ikiwa ni kuanguka maghorofani, kunywa chai zenye polonium au kupigwa risasi

3.Mahakama na Bunge vina kazi ya kupiga muhuri tu anayotaka kufanya kama vile alivyoamua kufanya ujanja kugombea muhula wa tatu na kuibadilisha kabisa katiba ya Urusi akawa rais wa milele
Bunge na mahakama za Urusi viko mfukoni kwake/hakuna uhuru wa mihimili Russia

5.Amajiweka yeye na Oligarchs wake kuwa juu ya sheria,

6.Vyombo vya habari amevigeuza spika zake na vile vyenye mawazo tofauti na yeye vinafungiwa.

7.Hakuna "checks and balances" katika utawala wake, maamuzi kama haya ya kuivamia Ukraine ni ya kwake mwenyewe binafsi na sio rahisi kuyapinga ukabaki salama.
Na kwa nini unamuita Putin dictator....???
 
Russia yupo kwenye total war sema tu wanajeshi wake hawana morale ya vita japo Ukraine ni wachache wakipewa pesa na vifaa zaidi ataweza kumuondoa Russia kwenye ardhi yake yote na Russia atayumba sana kiuchumi na itamchukua muda mrefu kukaaa sawa
Kuna watu wanaamini kwamba Putin hatayumba kiuchumi sababu Urusi ni tajiri; wacha tuone muda ni kiranja mzuri.
 
🇷🇺The Federation Council Committee on Constitutional Legislation and State Building at the meeting supported and recommended that the chamber approve the constitutional laws on the admission of the DPR, LPR, as well as the Kherson and Zaporozhye regions into Russia.
 
Russia yupo kwenye total war sema tu wanajeshi wake hawana morale ya vita japo Ukraine ni wachache wakipewa pesa na vifaa zaidi ataweza kumuondoa Russia kwenye ardhi yake yote na Russia atayumba sana kiuchumi na itamchukua muda mrefu kukaaa sawa
Total war URUSI hawezi peleka Askari kiasi hiko mbele, wako more adavanced na makombora ya masafa ya kati na Mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…