Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Watu walivyokuwa wanashangilia zile sherehe za anexetion ungedhani labda hayo majimbo yasingerushiwa hata jiwe [emoji12]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wao wanahangaika na makaratasi wakati wanajeshi wao kwa front wanachezea kichapo cha panya road na jeshi la comedian[emoji23][emoji23][emoji23]
 
HSE ulikuwa branch ipi? Specialist pale si wana IS tu? Una phd ya IS Au ulikuwa unachukua postgraduate course?
 
HSE ulikuwa branch ipi? Specialist pale si wana IS tu? Una phd ya IS Au ulikuwa unachukua postgraduate course?

Doctoral School of International Relations and Regional Studies​

  1. Political issues of international relations, global and regional development
  2. Modern history
  3. History of international relations and foreign policy
 


🇺🇦❌🇷🇺Zelensky put into effect the decision of the National Security Council on the impossibility of holding negotiations with Putin

"To state the impossibility of holding negotiations with the President of the Russian Federation V.Putin," the document says...Maybe he likes Medvedev more...
 
Russia yupo kwenye total war sema tu wanajeshi wake hawana morale ya vita japo Ukraine ni wachache wakipewa pesa na vifaa zaidi ataweza kumuondoa Russia kwenye ardhi yake yote na Russia atayumba sana kiuchumi na itamchukua muda mrefu kukaaa sawa
Putin ataondolewa ikitokea maeneo aliyoteka yakarudishwa, vinginevyo atumie nukes

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Meanwhile his advisor kapost hii mambo...



Kwamba
"Especially these fucking young people who studied at their Kiev-Mohyla academies are f@cking b@yads who got their feminism from Canadian universities. They run around and say, "Did Arestovich say about a small culture?" We apparently have rich people who have luxury give up the Internet during the war. Let the fighters of the Armed Forces of Ukraine die, but the culture of cancellation will prevail, the main thing is that not a single starlink of this infection, which said something wrong, was not here"

Of course kila mtu ana lugha zake chafu ukimkuta kwenye chimbo lake lakini vipi kwa mshauri wa Raisi kuzungumza like that tena in publics bila kupepesa maandishi.

Pia nisisahau, kuna kitu hapo mmekiona "small culture", I bet waungwana mmeshaelewa kundi gani linatetewa.

We wish them all the best to hell.
 
Hapo nadhani ni mabwabwa ndio wanatetewa
 
Dmitry Medvedev
I thanked my comrades, heads of the ruling parties and states of Laos and Nicaragua, T. Sisoulith and D. Ortega, for the balanced position on Ukraine and awareness of the reasons behind Russia’s actions. They appraised Russia’s role in forming a new multipolar world order


 
Kinacho matter ni hoja sio tarehe ya kujiunga Jamiiforums. PhD humu ni nyingi na Kwa specialization tofautitofauti. Hizo ni degree confined katika eneo dogo sana .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…