Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
kwa nini usijibu hoja yake.Sijui kama unauelewa wa kisayansi. Nadhani uko 30 yrs below. Samahani lakini
Wanakwambia wanaandaa final onslaught wakati wako na retreat. Special operation gani ina mobilization.Hiyo ni total war au bado ni special operation ?
T14 Armata
Duh!.. kwani Mzee Putin ana mpango wa kujiuzulu?We would start speculating who is going to be the next president of Russia..
Wanakwambia wanaandaa final onslaught wakati wako na retreat. Special operation gani ina mobilization.
Wamezoea uongo hawa mpaka tunawataniaView attachment 2377280
Kivipi mkuu, fafanua.Hii mobilization ya Urus mbona kama inaogopwa??
Si ungebaki hukohuko ukawa mobilized kuliko kukausha koo humu ndani na hauko katika kulamba asali sanasana unajitahidi kila siku na uwezo wa kwenda choo....Leteni mjadala hapa tujadiliane. Sasa hivi mnajificha kweli. Issue za Jambo Forum miaka ya 2006 kipindi hicho nasoma PHD(National Research University Higher School of Economics) Urusi utaniambia nini wewe.
Ujuaji mwingi huku hamjui kitu. Mimi nimekaa Russia naijua
View attachment 2376812
Aibu naona Mimi.., urusi kanitia aibu Kwa kweli.., pamoja na kumpamba kila siku kwa article ndeefu hapa jamiiforums lakini bado kaniangusha[emoji17][emoji17]Hahahaha
Colonel Pavlo Fedosenko, Hero of Ukraine, Defender of Kharkiv, commander of the 92nd Mechanized Brigade is driving modern russian T-90A tank captured by the #UAarmy.
russian lend-lease continues.