Jesus Mlokozi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 2,690
- 21,122
Ukiona jirani unaepigana nae anatunisha kifua wakati mikono hana ujue hakuna kitu .Mpoganaji uwa haonueshi silaha alizokuwa nazo yaani hapa adui ameshqkushindq tayari kwa sabubu through higher range missiles unamalizwa.Maskini Putin amefilisika na hizi sijui.kaomba iran au turkey maana aliishiwa.mpaka akaenda kwa kim.Siku hizi mbili analia na Vikwazo.duuu mpaka anatia huruma mwenzie Zelensky haonyeshi anachotumia hata kama ni rungs but he is doing wellHatari. Mtu asogeze pua sasa
View attachment 2373704
Iskander launchers reportedly being transported to Kherson region
Hawa VDV na Spetnaz ndio hawa inasemekana ni zaidi ya seals na Delta kwa mafunzo na vifaa wanavyotumia vya teknolojia ya kisasa?Sasa kama special forces VDV walipigwa pale Battle of Hostomel, wakaja Spetnaz group gani hapo juzijuzi wakapigwa. Hawa wengine ndio itakuaje.
Ni wachache sana kati ya watu milioni 180[emoji298]️Forbes Russia: 700,000 people have left Russia since mobilization began.
Forbes Russia cited sources close to Russia's Presidential Administration. Russian dictator Vladimir Putin announced the mobilization of conscripts for the war against Ukraine on Sept. 21.
In early September Russia’s state statistics agency estimated that 419,000 people had left Russia since Jan. 1 - a figure that reflects massive emigration since the beginning of Russia's full-scale invasion of Ukraine on Feb. 24.
Alisikika muuza madafu mmoja toka ManorumangoRussia kutumia nuclear weapon itakuwa suicide kwake , wenzake wanazo za kutosha tuu na akianza tuu watahakikisha Russia yote inageuka majivu, sijui kama Russians wako tayari kumaliza Taifa lao kwa ajiri ya ufala wa Putin na akili zake za cold war era
Halafu wanasema eti Putin Ni mkorofi?Aisee Western na mapunga muombeeni Sana Maisha marefu Putin ili aendelee na busara zake,vichaa Kama Kaydrov wangekua Ni rais wa Russia sa hivi Ukraine ingekua inanukia Uranium iliyorutubishwa tu.[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2377610
Kadyrov said that in his personal opinion, "more drastic measures should be taken, right up to the declaration of martial law at the border areas and the use of low-yield nuclear weapons."
Ramzan Kadyrov, head of Russia's region of Chechnya, criticized Moscow and suggested the use of low-yield nuclear weapons in Ukraine following Russian losses on the battlefield.
In a post on Vkontakte, a Russian version of Facebook, Kadyrov criticized Colonel-General Alexander Lapin, who he said should be demoted to a Private, and other Russian military officials for abandoning the east Ukrainian town of Lyman on Saturday.
Kadyrov said that in his personal opinion, "more drastic measures should be taken, right up to the declaration of martial law at the border areas and the use of low-yield nuclear weapons."
A plethora of comments on the post supported Kadyrov's criticism of the military and complained of military corruption and incompetence, all while supporting Moscow's invasion of Ukraine as a whole.
Wanapigwa zaidi ya wale regulars. Ubaya wa special forces huwa wanakomaa hawakubali kushindwa na hupewa kazi ngumu ndio maana casualties kwao uwa kubwa. Sasa hawa special forces wa Russia matatizo wanapata yaleyale yanayowakumba wanajeshi wa kawaida, kama ni kukosa supplies wanakosa vilevile. Uwezo wao unapungua kama hawapati kile wanachostahili kupata. Wakati wa kawaida wanatimua mbio au kuretreat hawa special forces hujitahidi kutengeneza mazingira ya regulars wakija wakute mazingira mepesi. Na hutangulizwa wao, rejea amphibious landing kwenye Omaha beach au ya Iwo Jima walivyokufa Marines wengi.Hawa VDV na Spetnaz ndio hawa inasemekana ni zaidi ya seals na Delta kwa mafunzo na vifaa wanavyotumia vya teknolojia ya kisasa?
Ile carrier yao wameshaitumia tangu huu mzozo uanze ?