Kuwa mkorofi siyo guarantee kuwa mission zako zitafanikiwa. Huenda mafanikio ya putin yanatokana na hizo busara unazosema anazo.Halafu wanasema eti Putin Ni mkorofi?Aisee Western na mapunga muombeeni Sana Maisha marefu Putin ili aendelee na busara zake,vichaa Kama Kaydrov wangekua Ni rais wa Russia sa hivi Ukraine ingekua inanukia Uranium iliyorutubishwa tu.
Fuso la mashudu kutoka Dodoma [emoji16]Mkuu, kama Putin alitegemea energy crisis kushinda vita mwambie amenoa... Ulaya ilikuwepo miaka mingi kabla hata yeye hajaanza kuchimba hiyo gesi na mafuta.
yaani liite hata fuso la Nyanya, cha msingi Putin hana pa kuchomokea !! ni suala la muda tu.Fuso la mashudu kutoka Dodoma [emoji16]
Putini ana hali ngumu sana, hiyo miji 4 sasa atakuwa nayo kwenye makaratasi yake tu na sheria zake za kikundi chake cha bunge kilichoidhinisha sheria juzi, ni aibu kwa super power tuliyekuwa tukiambiwa kwa maneno ya mdomo na zile nuclear zake zimefuia
Alisema atakayeshambuli miji 4 kashambulia Urusi na atajibiwa kwa kuishambulia Urusi sasa ni wazi Putin kaishiwa na maneno na hana cha kufanya tena
By then ukraine watakuwa wameshajiimarisha.on future itabak kama Taiwan. utaskia donbass ni sehemu ya Russia. na Russia itaichukua siku yoyote ikiona inafaa kuichukua hata kwa nguv za kijeshi
Shukran MKUU ila US hawajitambui asee naona wanaanza kulialia hapaHii ipo kisiasa na kiuchumi zaidi.
Maana yake ni kwamba wanamuachia USA soko aweze kuzalisha mafuta ayaingize sokoni yeye. Kwamba akitaka kuzalisha kwaajili ya kufidia pengo lililoachwa itamfanya azalishe zaidi kwamba reserve yake itaisha kwa muda mfupi.
Na akitaka kuendelea na uzalishaji uleule maana yake marafiki zake itabidi warudi mezani kujadiliana na Russia. Hapo ndipo Russia atawakamatia kuwa waondoe vikwazo vyote ili uzalishaji uongezwe.
Wakishupaza Shingo huko Ulaya maana yake viwanda vitahitaji mafuta ya bei ya juu na kwamba products zao zitakuwa expensive. Huku Russia na Soud Arabia wakiendelea kupeleka India na China mafuta. Kwahiyo bidhaa za ulaya zitakuwa ghali sana huku bidhaa za India na China zikiwa cheap.
1. India itakuwa hub ya pharmaceutical
2. China ikiwa hub technology.
Naomba na wenzangu waweze kuendelea.....
Hivi ilikuwaje wakaenda vamia nchi bila kuwa na air dorminance? Hawakuona alichofanya US kwenye Vita ya Iraq 2003mMarekani ilifanya mobilization mwaka 1941 wanajeshi wakawa tiyari mwaka 1943. Na hapo walikuwa na kila kitu sio kama hawa ambao hata vitu basic wanapungukiwa. Kuandaa battlegroups sio kazi rahisi hata kidogo, kwa utaratibu wa Soviet Union ilikuwa rahisi kwa kuwa doctrine yao ilikuwa ni kuwa na maofisa wengi na battlegroups nyingi za kambi nyingi empty, ikitokea vita wanaita vijana wanajaza hizo nafasi mafunzo yanafanyika. Baada ya USSR kuanguka Russia alikosa hela ya kuendelea na utaratibu huo expensive. Kwa sasa kuandaa mobilized men wawe tiyari kwa miezi miwili haina matokeo mazuri. Tusiongee sana tutaona matokeo frontline.
Sasa kama special forces VDV walipigwa pale Battle of Hostomel, wakaja Spetnaz group gani hapo juzijuzi wakapigwa. Hawa wengine ndio itakuaje.
Shukran MKUUBwana Utam kama alivyogusia hapo Jesus Mlokozi, Kupunguza uzalishaji ni kupunguza supply ambayo in turn inapelekea bei kua juu amid higher demand iliyopo hivi sasa.
So this is all about business, na kitendo hicho tunaweza kukiita kama ni "Price control".
Kwa jinsi walivyouawa kizembe vile hostomel, sidhani kama wataheshimikaHawa VDV na Spetnaz ndio hawa inasemekana ni zaidi ya seals na Delta kwa mafunzo na vifaa wanavyotumia vya teknolojia ya kisasa?
Ile carrier yao wameshaitumia tangu huu mzozo uanze ?
fracking technology ambayo ni expensive ila anayo yeye tuMarekani hahitaji kutumia reserve kuuza mafuta hivyo hawezi ishiwa reserve. Reserve ni kwa ajili yake tu, uzalishaji kwenye rigs zake ndio hutegemea demand kwenye soko la dunia. Na bado hazalishi sana kuuza mpaka vita hii ilipoanza ndio akaanza kuongeza mauzo nje. Marekani kwa sasa ndio mzalishaji mkubwa wa mafuta duniani na anaweza toa hata mapipa milioni 15 kwa siku ila uzalishaji wake huwa ni wa gharama kubwa kuliko nchi kama Saudi Arabia ambayo mafuta yake hayatumii nguvu kuyapata wala kuyasafisha.
Ili Marekani azalishe sana anahitaji kujiandaa kwa mitambo na aingie gharama ambazo zinakuwa breakeven kwa miezi au miaka kadhaa. Hivyo ni risk kwake kuongeza uzalishaji kila bei ya mafuta inavyopanda. Yani huwezi mwambia Bakhressa ajenge kiwanda cha unga kingine kisa msimu huu mahindi yamezalishwa mara tatu yake, msimu ukiisha itakuaje atakuwa karudisha gharama za uwekezaji, au kuna demand itakuwepo baada ya huu msimu?
Na Marekani wakati mwingine anatumia fracking technology ambayo ni expensive ila anayo yeye tu ili nchi za kiherehere kama Saudi zikimbania mafuta asikome. Sasa OPEC+ kwa kawaida yao hucheza na soko la dunia, hawataki bei ya mafuta ishuke hivyo hulazimisha wazalishe kidogo kutengeneza uhitaji ili bei ipande. Wakizalisha sana wanatengeneza ziada ambayo itashusha bei. Ila kuna nchi kama Iran na Venezuela zinaweza ingia mikataba kinyume nao, na kulingana na taarifa hiyo ni kwamba Russia na Saudi tu ndio wamekubaliana labda wasubiri mkutano mwingine wa OPEC+ maana wao ndio wana kauli kubwa.
Wala India haiwezi kuwa hub leo au kesho. Viwanda hawajengi tu kisa kuna crisis mwaka mmoja, kuna uncertainties nyingi zinazingatiwa na lazima India iwe na conducive environment kuliko nchi nyingine. Mafuta ya dezo ya msimu mmoja hayawezi wafanya kina Pfizer na Moderna wakajenge factories India. Hata hii China wazungu na Wamarekani wanapenda sana wahame ila wataenda wapi? Nchi zinazokaribia ni India, Vietnam na Mexico ila hazina competent labour, usafirishaji wa uhakika na gharama nafuu (China ndio inaongoza duniani), internal market, n.k. Hapo kwa kiasi fulani China anafaidika yeye tu.
Uzalishaji wa Ulaya utapungua na hii ni crisis wanapitia ila wakitoka hapa Russia asahau kuwauzia gesi na mafuta. India na China zitaendelea kununua at discounted prices zipige hela, waliokuwa na vikwazo kama Venezuela na Iran watapewa fungulia mbwa wazalishe mafuta mengi, lobbying zitafanyika mafuta yawepo tu huwezi sumbua EU na Marekani kwenye nishati wakakosa namna ya kukuzunguka. Oil crisis ya early 1970s ilikuwa kubwa zaidi ya hii ila Marekani alivyotoka hapo alibadilisha mifumo mingi duniani.
Mambo sio mepesi ila ni magumu
Tusiongee sana tutaona matokeo frontline.Marekani ilifanya mobilization mwaka 1941 wanajeshi wakawa tiyari mwaka 1943. Na hapo walikuwa na kila kitu sio kama hawa ambao hata vitu basic wanapungukiwa. Kuandaa battlegroups sio kazi rahisi hata kidogo, kwa utaratibu wa Soviet Union ilikuwa rahisi kwa kuwa doctrine yao ilikuwa ni kuwa na maofisa wengi na battlegroups nyingi za kambi nyingi empty, ikitokea vita wanaita vijana wanajaza hizo nafasi mafunzo yanafanyika. Baada ya USSR kuanguka Russia alikosa hela ya kuendelea na utaratibu huo expensive. Kwa sasa kuandaa mobilized men wawe tiyari kwa miezi miwili haina matokeo mazuri. Tusiongee sana tutaona matokeo frontline.
Sasa kama special forces VDV walipigwa pale Battle of Hostomel, wakaja Spetnaz group gani hapo juzijuzi wakapigwa. Hawa wengine ndio itakuaje.