Jesus Mlokozi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 2,690
- 21,122
Ukiwa unajadili uwe na references wamesoma UrusiHapa Kaka naomba tu nikukatalie.Elimu ya Russia ile ya wote waliotoka Russia wanakuja wakiwa walevi wa kupindukia wa Vodka na hawana cha maana walichotuletea.Nina uhakika hata wewe hapo huwezi kubali mtoto wako akasome Russia.Tuendelee tu kujifurahisha hapa kwa comment.
Kumbe mobilization haiwahusu watoto wa Viongozi wa juu... kama wa Putin wa Madveve na wengineo Yani ni akina sisi tu..... alafu Pro Russia ata hamtuambii..... Mapro Russia nyie watu wa bad sana
Mkuu Kwa akili hii hata upewe Duka kubwa kiasi gani litafilisika,Sasa wakicut production wanamkomoa Nani ? ,US Hana shida tena wanakuwa wamempa laverage ya kuzalisha mafuta Kwa wingi ,ikumbukwe USA ndio producer mkubwa WA mafuta duniani , sasa na Ile technology yake ya Fracking ingawa ni expensive Ila BEI ya mafuta kw soko la dunia ikiwa juu si ni Sawa na kumpiga chura teke Maana anaweza zalisha akawauzia EU in the mean time yeye ana reserve kubwa ya mafuta kwake ana release na kuuza kw soko lake la ndani ili kuondoa inflation
Vyanzo vipya vya mafuta na nishati itapatikana ikiwemo nguvu au nyullia plants.Uholanzi waliachq kuchimba mafuta yao.kutokana na nchi kama.Urusi kuuza mafuta yao kwa bei rahisi .Sasa wameanza kufufuaMkuu kuna solution gani ya fossil fue
l utakayoipata ndani ya two
EU na wao wamekuwa ombaomba...
Nitajie mtu ambaye amesoma Marekani na elimu yake ikaleta manufaa kwa Tanganyika?Hapa Kaka naomba tu nikukatalie.Elimu ya Russia ile ya wote waliotoka Russia wanakuja wakiwa walevi wa kupindukia wa Vodka na hawana cha maana walichotuletea.Nina uhakika hata wewe hapo huwezi kubali mtoto wako akasome Russia.Tuendelee tu kujifurahisha hapa kwa comment.
Naona unafurahia jinsi shemeji yako anavyozilimizia hasira za kupanda kwa bei ya kiwese kitandani kwakwe , wakati umelala kwenye kochi sebuleni....[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
OPEC+ does not succumb to US pressure, and now the UAE intends to support Russia and Saudi Arabia in their plans to reduce oil production.
This is reported by the Financial Times.
Earlier, CNN reported that the US considers such a plan a "complete disaster" and a "hostile act." The Biden administration is putting pressure on OPEC+ countries to prevent a reduction in oil production.
Subscribe to @Sputnik
View attachment 2378140
Ndio nipo sebleni kwa shemeji yangu nimeshika remote nasubiri chapati za maji na rost maini nipate msosi nikawashe kiyoyozi nilale [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we umelala store mda huu unawaza kumkimbia mwenye nyumba alfajiri [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]Naona unafurahia jinsi shemeji yako anavyozilimizia hasira za kupanda kwa bei ya kiwese kitandani kwakwe , wakati umelala kwenye kochi sebuleni....
Urusi yazidi kuumwagilia moyo wangu
Cc: MK254, vunjo, Proved, Nyamizi, let the caged bird sings, Tsh
View attachment 2378048
Bila kumsahau LukuviUkiwa unajadili uwe na references wamesoma Urusi
1. Dr. Dorothy Onesphoro Gwajima
2.Dr. Charles Stephen Kimei
3.Dr. Pindi Hazara Chana
Nakupatia hawa wachache. Nakuletea wengine
Vichekesho mmeanza sasaWanasema tu ,Hii vita imekuja wakati sahihi .After two years mtashangaa Ulaya itakuja na solution na ndipo hizo nchi zitakapoanza kulia.Hulka ya binadamu akishajua tatizo hulitatua na kuachana na cha mwanzo.
Ni huo ndio ukweli hakuna kipanga aliyepelekwa Russia. Makapi yenye uwezo mdogo wa akili ndiyo yalikuwa yanadampiwa huko.Hapa Kaka naomba tu nikukatalie.Elimu ya Russia ile ya wote waliotoka Russia wanakuja wakiwa walevi wa kupindukia wa Vodka na hawana cha maana walichotuletea.Nina uhakika hata wewe hapo huwezi kubali mtoto wako akasome Russia.Tuendelee tu kujifurahisha hapa kwa comment.
Rudi shuleniFunny Thought [emoji1787]
Nasikia Kim kapitisha Ballistics kwenye anga la Japan, nao South Korea na US's warplanes wanafanyaa bombing exercise kama majibu ya kitendo hicho.
View attachment 2376921
Kwenye map ukiitazama North Korea na sehem Japan ilipo unaona wazi kabisa Kim hana hata ile nukta ya uoga. Hilo ballistic limetoka North Korea hapo kulia limevuka sea of japan na Japan yenyewe likaenda dondoka upande wa pili kwenye Pacific Ocean.
Sasa...
"Vipi kama viongozi wa BRICS wangekua ni Patrushev awe kule Brazil, Medvedev upande wa Russia, Kadyrov wamkabidhi India, Kim mashavu asimame hapo China kama mbadala wa Xi Jinping na Mimi hapa niende South tukiwashe dhidi ya hawa mapimbi wa collectives "small culture" [emoji1787][emoji1787][emoji1787]...
Ase tungeshuhudia mengi mno ya kizazi hiki...
Nawaza tu [emoji188][emoji188][emoji188]
Kiwango cha wanajeshi wa Urusi kujisalimisha kwa vikosi vya Ukraine kimeongezeka sana kipindi hiki. Warusi wameonekana wakinyanyua bendera nyeupe kama ishara ya kusalimu amri [emoji848]
This Video Of Russians Surrendering To Ukrainian Troops Is Intense
This increasingly common scene is likely to be repeated even more frequently as thousands of Russian conscripts deploy to Ukraine.www.thedrive.com