Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ombwe la kichwani. Psychology inatuambia tusiwe na maneno mengi ili kuficha watu kujua IQ zetu kirahisi. Yaani kama ulichokiandika hapa ni rahisi kujua kiwango chako. Ukute mwenyewe umejipindaa na ku edit mara 3 ukiamini ni madini 😀🤣🤣
 
🤣🤣🤣😂😂😂😂😂🤣😂
 

Kuonyesha dharau kwa wenzio pia ni moja wapo ya dalili za kuwa na IQ ndogo
 
Mkuu usijihangaishe hiyo account ni fake it run by russia bot iliyoungwanishwa kwenye AI computer.
 
😎😎😎



⚠️ Medvedev - Next is Odessa

“Ukraine’s NATO application is nothing but Kiev’s request to hasten the start of World War 3.”

"The Genocide of 9 million Russians was averted. Next up is Odessa, the Russian city with a large Russian population."

- Dmitry Medvedev, Deputy Chairman of the Security Council of Russia

😂 That Medvedev has rebranded this way is so beyond hilarious and this graphic. Russians must be laughing harder still.
 
Watu wameshachoka vitisho vya Yule Babu mfupi kutishia Nyuklia

[emoji298]️ Reuters: Most Americans think US should keep supporting Ukraine, despite Russia's nuclear threats.

A recent poll shows 73% of U.S. citizens agreed for their country to continue to support Ukraine, despite Russia's threats to use nuclear weapons, Reuters reported.

It's 15% up compared to the previous similar poll in August.

According to Reuters, President Joe Biden's administration has provided over $16.8 billion of security assistance to Ukraine since Russia started its all-out invasion on Feb. 24.
 
Kumekuchaaa

[emoji298]️ European Parliament: EU should give Ukraine more tanks, fast-track its membership.

The EU countries willing to deliver Leopard II tanks to Ukraine will be reimbursed from the European Peace Facility, said European Parliament President Roberta Metsola, according to France 24.

Metsola has also called for Ukraine's "accelerated" entry into the EU.

"We have a country that has shown us its intention, and overwhelming willingness to join, and surpassing expectations and meeting goals that other countries would have taken months or years," she said.
 
Weka hoja zako kama Una akili , pimbi wewe , Iq uwe nayo wewe mwenye akili fupi na kufikiri Kwa kutumia matacle ?kama mkia WA mbuzi , ungekuwa na Iq kubwa ungejibu hoja na si kufanya personal attacks .
 
Iranian drones are becoming very dangerous for Ukraine. Ukrainian Ambassador to the UK Vadym Prystaiko told Sky News. According to him, the Armed Forces of Ukraine are trying to "find an antidote" against this type of Russian weapon.
 
Zelensky warned that the country could cut off electricity supplies to Europe in the near future According to him, Ukraine supplies Europe with cheap electricity, but "at some point" it will stop this in order to pass the winter period. "We won't have enough volume to heat our homes. And that time is coming," he said.
 
Hii vita itaisha Kiev sio Kremia muvumiliane bandugu .Russia katikisa chini ANAPIGA kichwa . Nawaombeni msigombane . Mnaweza KUTUKANANA mpaka 2025? Jeshi la Russia litaanza kazi November .

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app

1954 wewe ulisema by the end of this week tutayashuhudia ambayo hatukuwahi tarajia,mwenzio hapana anasema Jeshi la Russia litaanza kazi November,sasa tufuate lipi? Tusubiri mwisho wa week hii au tusogeze hadi November?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…