Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwa hiyo Ile ya Lyman ambapo wanajeshi wa Russia walivyokua wamezidiwa wakaomba waondoke wakakatàliwa mateka wakawa wengi ni mbinu ya kivita ndugu mwanajeshi
 
Karibu mkuu, tulimiss nondo zako

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Tazama wanavyo chapwa wanakimbialia mashimo kama panya buku aisee ni hatari sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

 

wamebaki kuokoteza viscreenshot vya comment maana ground maji yamezid unga tayar.
 
Tazama hapa walivyochapika aisee jamaa hii vita haiwezi tena kudadeki[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Putin kiboko Leo anaangusha bonge la happy birthday party yake huko Russia. "What a psychological torture" kwa Ukraine na wale wanaoshabikia Nazis! Atawamaliza kwa frustration na streses...ha ha haaaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…