Na vilevile kuna uwezekano wa wewe kuwa na uwezo mdogo Sana wa akili.Naona uwezo wako wa kuelewa pengine una shida ?
Nimekuambia
1.Kila jukwaa Lina viwango vyake
Kuna majukwaa ya porojo na blah blah lakini sio hili this jf for Gt
2.Kila habari Ina chanzo chake cha uhakika
Leta habari na chanzo cha uhakika, sio mtu anakaa anaandika anasema ,Trumph said
3. Wasilisha kitu ambacho wewe mwenyewe unakielewa
Sio unacopy kitu hukielewi na huwezi kufafanua,
Kremlin wamefanya kimya kimya kama US walivyolipua Nord StreamKana tamko lolote russia wametoa kuhusu ku jamm device?
Naomba links za hii habari. Very interesting
===
Kremlin wamefanya kimya kimya kama US walivyolipua Nord StreamView attachment 2380340View attachment 2380341
Glows spotted in Russia. What happens? Moscow keeps silent VIDEO/PHOTO
Latest Serbia news in English, latest Kosovo news in English, Serbian economy news, Serbian business news, Serbian politics news, Balkan regional news in Englishwww.google.com
kichapo wapi? putin anawaonea huruma tu hao ukraine akianza kazi msilalamikeIla pro rusia mna moyo aisee pamoja na kichapo chote hamuondok jukwaani ,pumzikeni basi hata kidogo
Ngoja niichek nitume tenaLink yako haifanyi kazi bro
Upo kamandq?kichapo wapi? putin anawaonea huruma tu hao ukraine akianza kazi msilalamike
Mkuu Toka lini hujuma zikawa na matamkoKwa hiyo hamna tamko zaid ya hizo picha?
Kwa hiyo hamna tamko zaid ya hizo picha?
We jamaa una akili kichwani?? Yaan URUSI akose sare za majira ya baridi?? Wakati ana kambi kule northen Pole ambako kuna baridi kuliko sehemu yoyote duniani??
Kumbe we jamaa ni [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]