Mrengwa wa kulia
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 1,145
- 3,765
Wasalimie ujiji hapo.Huwa sijibizani na watu wa aina Yako!Siku njema!
Na issue ya daraja la Crimea imeleta hasira kwa Warusi wengi nchini mwao. Wanasikilizia serikali itatoa tamko gani baada ya tume ya uchunguzi kukamilisha uchunguzi wao.Kweli kabisa Urusi iachane na masuala ya kupigana vita kindugu ndugu - Putins armed forces should start going BIG or pack up and GO HOME, period.
Baada ya kushindwa kulilipua daraja kwa makombora ya himars jamaa kwa hasiri kaenda kujiripua na gari la mafuta ha ha ha ha
Carpet bombing sio solution ,solution ni Russia kuondoka Ukraine na kuachia territories za Ukraine inazozishikilia ,Hakuna nchi yeyote ambayo iliwahi shinda war of invasion , USA kapiga Sana ruthless carpet bombings Kule Vietnam lakini at the end alishindwa kudominate territory na akaondoka .
Na hizo carpet bombings hawezi Fanya Maana Russia ni so poor kwenye aerial dominance hapo Ukraine , lundo la ndege zake zinabondwa kila siku , na carpet bombing unahitaji ndege kubwa ambazo ni rahisi Sana kutunguliwa hata akitumia fighter jets nazo zinabondwa vile vile
Mtazamo ni tofauti, Hizi sio timu za mpira. Urusi akifanya vyema nasema kafanya vyema na kutoa sababu, akikosea nasema kwa hili kakosea same to Ukraine. Ila anyways, ww chagua tu huo upande.Ukishaingia kwenye huu mjadala,na wewe yakupasa ujue hujadoliani na warusi Bali na watanzania wenzako na kila mtu ana upande aliochagua!
Mengine hayo ni mbwembwe zisizo na maana!
Huko kherson ukraine imeanza kukimbia maeneo walio dai kuyakomboaView attachment 2380737View attachment 2380738View attachment 2380739View attachment 2380740