Sio habari za kuamini ni habari za kujua au kutokujua!kama unaamini hakuna jenerali wa urusi aliekufa ukraine sawa hamna tabu
Habari njema kama hizi, huwa naongezeka na kilo 😁😁Hahah watu kama ndio habari zao ningependa kuzisikia,yaani Ni kazi kazi.
Bisha sasaSio habari za kuamini ni habari za kujua au kutokujua!
Generali wa urusi aliyefia vitani Ukraine ni yupi!? Ushahidi wa habari yako!? Kwanza unaposema generali unamaanisha nini!?
Propaganda mfu.
We Mona unajaza utopolo wako hapa hauna carent news unajaza ma google screenshot
Mkuu shida iko wapi? Km hakuna jenerali wa kirusi aliefia vitan sawa, pia km ni propaganda mfu sawa pia. Vyovyote vile we unavyoona kuwa sahihi au si sahihi ni sawa pia,Sio habari za kuamini ni habari za kujua au kutokujua!
Generali wa urusi aliyefia vitani Ukraine ni yupi!? Ushahidi wa habari yako!? Kwanza unaposema generali unamaanisha nini!?
Propaganda mfu.
Anataka taarifa rasmi ya jeshi la urusi kuwa jenerali wake alikufa, usiumize akili yako mkuu
Sio habari za kuamini ni habari za kujua au kutokujua!
Generali wa urusi aliyefia vitani Ukraine ni yupi!? Ushahidi wa habari yako!? Kwanza unaposema generali unamaanisha nini!?
Propaganda mfu.
As of 11 July 2022, Ukrainian sources claimed that 14 Russian generals had been killed during the invasion. Although some claims were rebutted, the loss of even two general officers is rare. The scale of these losses is unprecedented since World War II.
Tatizo sio kukubali kwangu au kukataa. Wewe toa ushahidi wa madai yako kwamba majenerali wa urusi wengi wamefia vitani Ukraine. Huwezi kuja hapa na habari zako unazotunga kichwani alaf unajiwekea defensive mechanism kwamba tukikubali au kukataa ni sawa. Thats nonsense.Mkuu shida iko wapi? Km hakuna jenerali wa kirusi aliefia vitan sawa, pia km ni propaganda mfu sawa pia. Vyovyote vile we unavyoona kuwa sahihi au si sahihi ni sawa pia,
Punguza kimbelembele cha kudandia mijadala usiyoilelewa pimbi wewe , ulitaka ni weke matacle yako ?We Mona unajaza utopolo wako hapa hauna carent news unajaza ma google screenshot
Huyo naye ni kiazi ,yaani Jeshi la Russia wakubali kuadmit in humiliation ya loss ya general WA jeshi ,hivi anajua aibu ya kupoteza general WA jeshi kwenye battle front ?Anataka taarifa rasmi ya jeshi la urusi kuwa jenerali wake alikufa, usiumize akili yako mkuu
Hizo habari zimeshakuwa discussed sn hapa, Seventh Russian General Killed In Ukraine War, Highlighting Heavy Toll Among Russians, Ukraine: The Russian generals and commanders killed in action, source ziko nyingi tu za habari hio labda km untk ushahidi wa kutoka kremlin huo sina, ila km nlivyokwambia take easy maana ht tukiandika wamekufa au hawajafa haibadilishi chochoteTatizo sio kukubali kwangu au kukataa. Wewe toa ushahidi wa madai yako kwamba majenerali wa urusi wengi wamefia vitani Ukraine. Huwezi kuja hapa na habari zako unazotunga kichwani alaf unajiwekea defensive mechanism kwamba tukikubali au kukataa ni sawa. Thats nonsense.
Kama huna evidence ya kutetea habari zako usizilete hapa. Na ukizileta tutaita ni propaganda na nonsense.
Labda antk mukhtasari wa vikao vya kremlinHuyo naye ni kiazi ,yaani Jeshi la Russia wakubali kuadmit in humiliation ya loss ya general WA jeshi ,hivi anajua aibu ya kupoteza general WA jeshi kwenye battle front ?
Mmarekani amepigana vita Iraq na Afghanistan miaka 21+ hajawahi poteza general hata mmoja Mrusi ndani ya miezi 7 kapoteza lundo .
Russia ni jeshi la kipuuz ,halina infantrymen kwenye battle front ndio Maana wanawalazimisha hao mageneral kuingia battle front kama infantry men na huko wanapasuliwa vichwa na snipers WA Ukraine .
Jeshi ambalo liko desperate karecruit watu WA ovyo walevi WA mitaani na wafungwa Hilo ni jeshi au migambo ,that speaks alot about misorganisation na lack of man power
Kama wewe Una akili si ugoogle majina na vyeo vya hao mageneral uone kama wapo hai na vifo vyao vilitokea vipi ?As of 11 July 2022, Ukrainian sources claimed that 14 Russian generals had been killed during the invasion. Although some claims were rebutted, the loss of even two general officers is rare. The scale of these losses is unprecedented since World War II.
[emoji16][emoji16][emoji16]
Mwehu huyo achana nayeLabda antk mukhtasari wa vikao vya kremlin
Ushahidi upi zaidi ya media tunazoziquote? Au ww untk ushahidi wa kutoka wapi zaidi ya media??? Au ww mwenzetu huwa unatuwekea ushahidi gani zaidi ya kuquote media au website mbalimbali?Tatizo sio kukubali kwangu au kukataa. Wewe toa ushahidi wa madai yako kwamba majenerali wa urusi wengi wamefia vitani Ukraine. Huwezi kuja hapa na habari zako unazotunga kichwani alaf unajiwekea defensive mechanism kwamba tukikubali au kukataa ni sawa. Thats nonsense.
Kama huna evidence ya kutetea habari zako usizilete hapa. Na ukizileta tutaita ni propaganda na nonsense.
Huyo mjomba ndo bingwa wa kuzingira na kufunga njia zote za kimkakati za adui kuingia na kutoka eneo la mapambano. Lazima adui aombe usuruhishi maana hamna supply ya siraha, chakula wala madawa huyu jamaa akikuweka mtu kati. FSA na ISIS wanamjua vizuri.Hola hola 😂
triga
BUSH BIN LADEN
Ebana eeh hatimae nimeipata CV yake jamaa... Kumbe ni balaa na nusu! I guess ndio maana US wameamua ku'rise alert kwenye majeshi yao.
👉 About Surovikin.
Surovikin is in charge not of the Air Force, but of the Aerospace Forces. That is, not aviation, but interspecific (this is important!)
A fundamentally new, strategic type of troops. Surovikin has a scientific degree - and his articles, which in a small number have been made available to the public - are about INTER-SPECIES interaction. That is, how to link different types of troops into a single whole and achieve a synergistic effect.
It was under him that 95% of the territory of Syria was recaptured
He built a fire system in such a way that he beat them on the way. Others didn't succeed.
He is one of the best military leaders in Russia. Or maybe even the best. The only thing that can be said for sure is that he always tries to protect his soldiers
The soldiers love him precisely for this: his orders are reasonable, he does not throw them into a meat grinder.
It was Surovikin who managed to pass troops through the desert in Syria under American satellites unnoticed and go to the rear of the Americans.
Mkuuusiogope ni sawa unavyo bisha.
sisi ma pro rusia sifa yetu kubwa ni kukosa Ubongo kichwani.
kama tulivyo kubaliana katika kikao chetu.
taarifa ya kwanza tutakayo iamini ni screenshot kutoka kwenye comments za mashabiki wenzetu za telegram waliopo moscow.
pamoja na habari anazo zitoa Putin mwenyewe na tumsikie kabisa. na si vinginevyo.
Zilijadiliwa hapa na watu waliumbuka sana nashangaa mmelileta tena. Baada ya mejenerali waliotangazwa kuuawa kuanza kuonekana wakiwa hai na wengine kujulikana walikufa muda kbl ya operesheni kuanzishwa na hata hawakufia vitaniHizo habari zimeshakuwa discussed sn hapa, Seventh Russian General Killed In Ukraine War, Highlighting Heavy Toll Among Russians, Ukraine: The Russian generals and commanders killed in action, source ziko nyingi tu za habari hio labda km untk ushahidi wa kutoka kremlin huo sina, ila km nlivyokwambia take easy maana ht tukiandika wamekufa au hawajafa haibadilishi chochote