Narumu yetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 2,448
- 5,146
Tusaidie na silaha za nuclear za Russia ziko wapi!Kwenye porojo zako zote umesahau kuweka hii ya zaidi ya 50% ya silaha za nuclear za US zinabebwa na nyambizi zilizotawanyika kote duniani. Itabidi Russia wakianza kushambulia West kwa nuclear wazikusanye na submarines zote za West sehemu moja wazimalize kabla wao hawajamalizwa.
Sawa na baba yako akiwa mpumuliwajiPunga lingine hili apa!
The last kick of dying horse [emoji237][emoji237][emoji237][emoji237]Breaking news:Keiv inapelekewa moto!
Tuliwaambia humu,msijelalama mkipelekewa moto!The last kick of dying horse [emoji237][emoji237][emoji237][emoji237]
[emoji12][emoji12]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ndio,mwamba kajibu!Kyiv under heavy strikes
Hayo mashambulizi ya Kiev ni kupoteza pesa na resources, Kiev ilishashindikana.., wanajaribu kufuta aibu ya kipigo Cha Crimea Cha Crimea [emoji2][emoji1787]Tuliwaambia humu,msijelalama mkipelekewa moto!
Zelensky anakumbushwa kuishi kwenye handaki!Hayo mashambulizi ya Kiev ni kupoteza pesa na resources, Kiev ilishashindikana.., wanajaribu kufuta aibu ya kipigo Cha Crimea Cha Crimea [emoji2][emoji1787]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hilo ndo tatizo la urusi, anapoteza resources nyingi kwa vitu hambavyo havina impact katika malengo yake..,hapo ukiangalia Wala hakuna Cha maana alichoharibu kwenye hayo mashambulizi,,sana sana utasikia kashambulia majengo ya makazi na kuua raia kadhaa.., wakati wenzake wanachakaza ammunition depot..,command post.., silaha za thamani na strategic areas..,huku asikari wake wakiuwawa kama kumbikumbi [emoji16]Zelensky anakumbushwa kuishi kwenye handaki!
Hii inaitwa ukimwaga mboga,namwaga ugali!
Si tuliwambia kichaa wa bombers na missiles kapewa kijiti na hiyo ni intro tu, Jamaa yule hanaga usamalia kwenye OP na ukiona amekabidhiwa mission jua ndo inaelekea kumalizika.Kyiv under heavy strikes