Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kinachoniogopesha.toka mwanzo rusiski alikua anapigana vita vya kistaarab sana.only on frontier line ila sasa kaamua kushusha mabom kiev. Hii itapelekea dunia nzima kupiga kelele hali ni mbaya kiev jaman
 
US hii inayotuma HIMARS na bilioni za dola kuelekea Ukraine? Imekuwaje Tena??
Hio mizigo huchukua muda kufika Ukraine.

Marekani au NATO wakisema wanatoa silaha zaidi ni kwamba wale watengenezaji silaha (manufacturers) hupewa orders na mzigo huanza production maana kule kwenye maghala mzigo umeisha.

Hivyo silaha hadi kukamilika production na kuwa tayari kwa safari yaweza kufika January, isipokuwa kwa sasa ndo zatumika tactics za mabomu na kujaribu kuharibu miundombinu.

Hivyo sasa hivi Russia wametega kuona mzigo wafika lini ili wamalizane nao.
 
🤣🤣🤣



Kadyrov: 👉 “Zelensky complains about arrivals in Kyiv and other cities.
And what did you, sucker-Zelensky, think: you can, but others can’t?

That is, for eight years it was possible to bomb civilians, destroy the infrastructure of the cities of the LDNR, cover a nuclear power plant with shells, blow up bridges, fire at important objects, but when it came to your head, suddenly it became impossible for anyone?

We warned you, Zelensky, that Russia hasn’t really started yet, so stop complaining like some cheap stuff, but better, run before it arrives. Run, Zelensky, run without looking back towards the West. Now I am 100% satisfied with the SMO”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…