Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sawa kutoa mtazamo wako ni haki yako tusubili tu , lakin kumbuka Urus ya Sasa ni pamoja na maeneo ambayo ameyatangaza uko Ukrein, ila bado vita kwenye maeneo tajwa inaendelea ,unaposema waukraine hawawezi rudia tena, unamanisha nini , wakati wanaendelea na mapambano kwenye maeneo tajwa
 
UN Secretary General António Guterres is "deeply shocked" by Russia's biggest airstrikes since the start of the war in Ukraine,
Huyu toka ajichanganye kutekeleza ahadi yake ya kusambaza chakula kutoka Ukraine kwenda kwenye mataifa yenye uhaba wa chakula duniani badala yake akabeba chakula chote kwenda West tayari alishapoteza ushawishi wa misingi ya kusimamia UN. Pia alisema maneno yasiyoeleweka juu ya Referendum iliyopita akiwa amevuka mipaka ya kazi yake ya ukatibu Mkuu wa UN.

Anatakiwa ajisahihishe. Wakati wananchi wa Donbass wanapigwa mabomu na Azov nazi, na wakati wananchi wa Odessa wanachomwa moto na askari wa Ukraine, hakuwa shocked lakini kuharibu miundo mbinu ya maji, umeme, na mawasiliano huko Ukraine ili ku'nazify' ndilo limemshtua saana!. Nadhani Mzee Gute ajipime kama anatosha kweli kwenye nafasi yake hii.
 
Massive Russian attacks in progress inside Ukraine.Zelenskys' office hit by missiles.



You can also get the information in the following link.


 




RUSSIA DRIVES TWO NUCLEAR MISSILES AND TANKS IN FRONT OF U.S. EMBASSY IN MOSCOW; Citizens Chant: "NUKE Washington" After Crimea Bridge Attacked​



 
Maeneo aliyoyachukua sasa vita vinapiganwa frontiline, jeshi kwa jeshj, bomu kwa bomu... lakini ukraine atapoanza kufanya 'ugaidi' wa kuacha vita na kwenda kulipua miundombinu au watu wasiokua kwenye vita ilo litakua kosa.

Sasa daraja la cremea unalipiga la nini? Kwani urusi hakuona madaraja pale Ukraine? Tofautisha vitendo vya kigaidi na vita.

Ila nakuambia ukweli Ukraine akirudia tena..... naomb niweke akiba ya maneno.
Nb: subir uone kama Nato wana msaada wowote.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Khaa! Ni majimbo matatu tu ndiyo hayakuguswa na kadhia ya leo!

Kwa ramani ilivyo, ni halali West kuwaagiza raia wake waondoke.
Faida gani aliyoipata baada ya mashambulizi hayo? [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Kwakweli Putin kuitwa mwendawazimu ni haki kabisa.

Wenzake wanakomboa miji huko yeye anapiga makazi ya raia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…