Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hbd mwamba ila pia Hbd kwangu. Kumbe tumezaliwa siku 1 ndo maana namkubali sanaπŸ˜€πŸ˜€
 

Kwa kweli hii SMO ya Russia ime reveal uwezo wa watu kufikiri na kufanya uchambuzi wa mambo, hadi wale waliokua wanajiita GT hapa wameonekana kumbe weupe tu mahaba yao juu ya NATO yanafanya kubeba kila taarifa ya kuokoteza inayowapa faraja bila hata kufikirisha akili zao
 
Putin ''MI PEKE YANGU, NYI WOTE''!
 
Vile vile kuhusu "Grain deal", wamepost hiki (chini hapo), someni pote ila kila mtakapo ona neno Afrika muweke kituo mfikirie mara mbili. "Their true color".

Bila kusahau walizipiga sanctions feltilizers kutoka Russia zika'kwama kwenye bandari zao. Putin alipo tangaza kuzigawa bure barani Afrika wakaona sijui tutafaidi sana wakaamua kuziondolea vikwazo wakaziingiza nchini mwao.

Then wakiwa na jambo lao la kupiga kura kwenye baraza la UN watakuja kutaka support yenu wakitaka muwe upande wao... TUJITEGEMEE hii inafanana na kile ulichokisema asubuhi!

[emoji116]

The "grain deal", promoted by the Ukrainian authorities as a solution to world hunger, is leaving the agenda. The term of the Istanbul agreements expires in November and the export of wheat under the contracts of Western lobbyists is almost completed.

The "grain deal" did not become a "cure" for world hunger - most of the Ukrainian wheat went to Europe, and not to African countries, for example. On the other hand, the Office of the President "raised" a lot of money on the export of wheat.

Thus, according to UN data, 65 out of 88 ships with Ukrainian grain went to Western countries, and 70% of the exported is fodder corn and other fodder.

But, according to insider information, Bankova launched an interesting scheme - large batches of expensive wheat from Ukrainian storage facilities go abroad under the guise of fodder grain, and functionaries of the President's Office earn on the colossal difference in price.

What will happen next is a big question, since Ukraine has sold out most of the future harvest, and there is virtually no wheat left in the state reserve.
 
Hbd mwamba ila pia Hbd kwangu. Kumbe tumezaliwa siku 1 ndo maana namkubali sanaπŸ˜€πŸ˜€
Ha ha hatare, Happy B day to you Bro!

Huu mwezi October kumbe upo notable kwa walio wengi tunao fanana, to mention but few...
πŸ’₯Nianze na mie mwenyewe October 1.
πŸ’₯Mbabe wa Chechnya, Kadyrov October 5.
πŸ’₯ Prezda wa wapenda usawa, V Putin October 7.
πŸ’₯ Bro wa hiari, mkorofi wa kimya kimya Galip Vrl ilikuwa jana October 10.
πŸ’₯ Then leo wewe BUSH BIN LADEN na the General Armageddon Surovikin mpo ndani ya October 11.

#OctoberBornSpecies πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Noma sana bro!

Kuna ujinga na upumbavu sasa huo sijui tuuweke kundi lipi. Kama dishwashers na refrigerators zingeweza kurepair military equipments vizuri kila kona watu si wangemiliki Iskanders na Samart 2 πŸ˜€? Wala kusingekua na haja ya kuweka budget of billions kwa ajili hiyo.

Lakini hata hivyo cheap mind attract alike, wenye ufanano wa fikra waliona ni neno haswa na hadi kesho wana amini hivyo.
 


KH-101 Missiles are over Ukrainian airspace now

Facts​

Russian/NATO DesignationKH-101/102
VariantsKH-101 (Conventional Warhead) KH-102 (Nuclear Warhead)
Mobility and RoleAir-to-Surface Long Range Cruise Missile
Designer/ProducerMKB Raduga
Range4500 – 5500 km
Warhead Type and WeightConventional (KH-101); Nuclear (KH-102)
YieldKH-101 400 kg conventional warhead
KH-102 450 kT nuclear warhead
Guidance System/AccuracyInertial; TERCOM; TV Terminal guidance; GLONASS SatNav
Reported accuracy within 5-6 m CEP
Cruise Altitude30-70m above ground
PropellantTRDD-50A Turbofan, max speed of 900 km/h
IOC/Retirement2012/Operational
Status/Number of UnitsOperational/Unknown
Launch VehiclesTu-95MS (Turboprop Strategic Bomber) Tu-160 (Supersonic Strategic Bomber) Su-34 (Strike Fighter)
 
Ukraine wataliogopa hilo daraja kama ukoma 😁😁😁
 


On October 9, a Ukrainian Nazi fighter, ex-commander of the Nazi regiment Azov, shared a video from the town of Kupyansk in the Kharkov region. He attempted to blame Russian servicemen in killing civilians but failed and revealed the crime of Ukrainian Nazis.

On October 10, Ukrainian propagandist made another attempt to whitewash himself and shared another part of the video. Stupid Ukrainian Nazi forget to learn how to edit a fake video before.

===
Wapumbavu sana hawa Ukraine. Utauaje raia wenzako ili usingizie adui !!! Tukisema hawa Ukraine hawana utu muwe mnatuelewa.
 
Kuna watu humu jf hawana akili ingawa nao wanajita GT πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ hili sakata limefunua nyeti zao
 
Niongeza na mimi aise 15
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…