kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
We jamaa unaonekana mpumbavu kweli.., mashambulizi ya siku mbili ndo unaaamini urusi kashinda tayari..,sio?Vp lkn umeanza kuwaelewa URUSI?? Bado una amini hawana uwezo wa kumaliza hiyo VITA pale wakiamua kweli waingie mzigoni??
Huyu babu kaona anakufa, anataka afe na wengiHuyu babu anaharibu amani ya dunia. Laiti Trump angebaki kuwa raisi wa USA hii vita isingekuwepo
Ushaidi upo unaonekana kwa jinsi anavyochezea kichapo huko front line..,Wewe umejuaje unautaalamu wa kijeshi?au zelisky kakuambia
Hawa wanaojiita pro Putin wanajikanyaga tu..,ukiwachunguza kwa makini hawana hoja yoyote ya maana,First Mimi sii pro NATO kaka....
Turudi kwenye mjadala
Kwa muktadha wako ni kwamba Ukraine ilikua na most powerful army kuliko UK ,France,German n.k kabla ya SMO?
As of the second half of October 10, Russian forces were able to stabilize the frontline in Kherson region along the Lubimovka-Centralnoe-Novopetrovka-Snigirevka-Borozenskoe-Novaya Kamenka line. Nonetheless, fighting with regular attempts of Kiev’s forces to advance with separate groups of infantry supported by heavy military equipment continues along the entire contact line. All the recent attacks of this kind were successfully repelled by Russian forces and the Kiev regime suffered serious losses in troops and equipment. The settlements of Dudachani and Davidov Brod are among the main hot points.Dumb bombs.
Nyie ngojeni dawa inakuja, sisi twaendelea kuchukua maeneo tu
Video PlayerThe Russian military released a video showing the destruction of a military convoy of Kyiv’s forces.
“Airborne Troops detected a convoy of AFU vehicles and launched an attack with artillery and anti-tank missile systems to neutralise enemy manpower and armoured equipment.
6 tanks and more than 10 other armoured vehicles and motor vehicles, including foreign-manufactured ones, have been destroyed,” the Russian Defense Ministry said in a statement.
Ni Ujinga kufikiri Putin ataishinda Dunia, ku violet sheria za kimataifa kuhusu usalama ni kujipalia makaa, kutamba kwamba katika vita hii hajafanya chochote cha kushangaza ni dalili ya vitisho vya woga.