Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Tulia hovyohivyo baba wa dunia mzee Putin ameshikilia muda na mawazo ya maLGBTQ
 
Kwa hiyo Marekani ndio anapigana na Urusi?
Kwa hiyo unakubali kua Urusi anapigana na west wote?
Nimeuliza tu lkn usinipopoe.
 
Hv inakuwaje watu wanabishana na huyu kipanya! How comes jaman! Hv loket ndo mdudu gani mazeee
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2383949
Sasa wamethibitisha maneno aliyosema Vladimir juzi kati wakati wa referendum kua Urusi inapigana na west na ulaya yote.
Ulaya Wakatoa tamko kua hawako vitani na Urusi.
Sasa kwa kauli hiyo ya Katibu Mkuu wa NATO ya kuongeza uzalishaji wa silaha kwa ulaya na kauli yake Ile nyingine kua kushinda kwa Urusi katika vita hii,ni kushindwa kwa NATO.hawatakubali halisi hii.
Hii ni kauli rasmi kua Urusi anapigana na NATO.
Kauli hii ukienda mbele inaonesha kua NATO wamingiwa na hofu kuwa Urusi inashinda,hivyo watahakikisha aibu hii haitokei
Hata hivyo huwezi kuzuia kimbunga kwa viganja.
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Kazi inaenda kunoga
Jump to content


NewsWorldEurope

Russia-Ukraine war – live: Putin’s troops enter Belarus amid nuclear escalation warning

Former Nato commander urges West to prepare for ‘worst case’ scenario of war

Arpan Rai,Liam James,Maryam Zakir-Hussain,Lamiat Sabin

6 minutes ago

Comments

[https://www][https://www]

Moment Russian missile hits pedestrian bridge in Kyiv

Sign up to our free breaking news emails

SIGN UP

I would like to be emailed about offers, events and updates from The Independent. Read our privacy notice

Russian troops are “entering Belarus by the trainload”, according to reports, after Moscow ally Alexander Lukashenko ordered his forces on a joint deployment to Ukraine’s northern border in what Minsk called a defensive measure.

Jason Jay Smart, reporter for the Kyiv Post, said a Belarusian source told him hours after Mr Lukashenko’s statement that “Russian soldiers are entering Belarus by the trainload. They’re traveling in cattle cars – just a huge quantity.”

Meanwhile, a former Nato commander urged the alliance to prepare for the war in Ukraine to spread further into Europe as well as nuclear escalation.

Richard Shirreff, Nato’s former deputy supreme allied commander Europe, said: “The chilling factor here is the nuclear one and some form of nuclear escalation,” he said in an appearance at the Cheltenham Literature Festival.

“What we have not seen is Nato recognising that it has got to be prepared for the worst case and the worst case is war with Russia,” he said.

she said.
 

Ungewa tag wale wapiga nyeto
 

Ukiichunguza vzr hio picha utagundua ni photoshop
 
Elensky anakataliwa kila sehemu

Bado hajastuka tuuu[emoji16][emoji23][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amini usiamini vlodimiry Zelensky amekua Mwenyekiti wa NATO.
Anaamrisha TU.;

"Ongezeni makombora",wanongeza.

"Tuleteeni makombora ya kudungua makombora",wanapeleka.

"Ongezeni misaada ya fedha",wanongeza.

"Washeni satellite zenu",wanawasha.

Kwa kifupi Zelensky anaiongoza NATO Sasa hivi.

Isipokua maombi yake mawili yamegonga mwamba.

"Wekeni no fly zone"☠️💀🦴,
😯Wakamtolea macho TU.

"Pigeni kwenye vikosi vya nyukilia",🦴💀☠️wakaitana chemba,wakamuona jamaa zuzu Nini?wakaona anataka kuwaingiza kwenye vichaka vya🦂🦂🦂🦂🦂🪱🐝🐯🦁
 
Estonia, Lithuania na Latvia, hizi mbwa zina kiherehere balaa......
lithuania tokea alipopigwa mkwala katika ishu ya kuzuia msafara wa russia kuingia kalingard ametulia kama maji ya mtungini.

Alianzaga Poland ghafla akatulia baada ya Russia kusema SMO itahamia Poland baada ya Ukraine [emoji23][emoji23]
 
Mashariki tu huko mwa Ukraine kwenyewe miezi sasa hajaweza kupakalisha anapokea kichapo tu, majeshi ya ardhini ndio huwa yanakamata miji au nchi, sio makombora holela.
 
Kabla dikteta Putin hajaanza uharibifu wake Ukraine ilikuwa nzuri kiasi cha Waafrika kujazana huko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…