Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Melezo yamejitosheleza Kabisa [emoji123]Duuuh,kweli hizi ndio akili mfu!Kama huna furaha kwenye maisha Yako ni wewe,wengine tumeridhika and we are happy!Pole sana kama unajiona msindikizaji kwenye haya maisha!
Kuna watu wana utajiri mkubwa ila hawana furaha,wanaishia kupata msongo wa mawazo na kujiua!Angalia nchi zinazoongoza Kwa suicide,ndio hizo ambazo wewe Unadhani unawasindikiza kwenye maisha!
Eti unadharau ugali,wakati Mimi hakuna chakula ninachokipenda Kwa lunch kama ugali,kanyama pembeni na mbogamboga bila kusahau pilipili na limao,nikishushia na maji baridi halafu narudi kutafuta Ili kesho Nile Tena ugali!
Sasa huo ndio uhuru wa habari na maoni?Russia Today na hayo ma Sputnik news yalikuwepo yakionyoshwa tele Ulaya na Marekani kabla ya uvamizi. Baada ya uvamizi yaliwekwa chini ya vikwazo kwa sababu yalikiwa yanaendesha vipindi vinavyomuhamisha Putin azidi kuishambulia Ukraine na ikiwezekana West kabisa.
Kwa kauli hiyo inaonyesha zele kuna baadhi ya misimamo siyo yake ila ndiyo hivyo kashatumia hela nyingi za mabeberu kwenye vita anaishi kama mateka waoTunawaambiaga Huyu Zelensky ni kichaa hamuelewi😆😆
⚡️🇺🇸🇺🇦US President Biden has warned Ukrainian President Zelensky that it will be difficult for him to continue asking Congress for money if he continues to be ungrateful. - Washington Post
Kuna speech ya Putin nadhani alichambua vizuri sana kuhusu hili, huku akielezea walichorepresent western power na walioenda kufanya ni regime change na matokeo yake Libya kuwa failed state with two government.
Putin: Suppose the West introduces a "price ceiling" for Russian oil.
But who can guarantee that the same ceiling will not be introduced in other areas later? Agricultural products, semiconductors, metallurgy. And not only in relation to Russia, but also to any other country in the world?
No one will give such a guarantee. This means that the West is destroying the world market.
Subscribe to @Sputnik
Sasa huo ndio uhuru wa habari na maoni?
Kumbuka msingi mmoja wapo wa Demokrasia ya Magharibi ni haki ya kupata habari, je? huoni hiyo haki imefinywa?
Na kama imefinywa unasemaje fox news ndio kielelezo Cha uwepo wa Demokrasia America?