Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?


Slava Ukraine [emoji23]
 
[emoji779]️Germany Forecasts Recession, Inflation in 2023

“We are currently experiencing a serious energy crisis, which threatens to become an economic and social crisis," Economy Minister Robert Habeck said, as he unveiled the official autumn economic forecasts.

Subscribe to RT
 
Imekuingia
This is vulgar language you are using here.....
But on the other side Kwani wewe hujaona mipicha inayoonesha baadbi ya Waukraine wanipiga picha za maigizo kwamba wamejeruhiwa na missiles za Russia na picha hizo hizo zikatokea front page kwenye magazeti kadhaa ya West na hata baadhi ya TV?!?!
 
Una shida yaan zile missile hazikumjerui mtu bas itakua ni barut
 
Japanese Space Rocket Launch Failure

Japan’s Epsilon-6 rocket, carrying eight private and public satellites, malfunctioned just after liftoff from the Uchinoura Space Center, marking the country’s first rocket-launch failure in nearly 20 years.

The country’s space agency sent a self-destruct signal minutes after launch when the rocket deviated from its trajectory.

Subscribe to RT
 
Ndugu yangu huyu bwana yoda his/her(may be gender neutral i suppose) brain is so fucked up beyond repair
 

According to the Daily Mail, Putin gave his coat to keep the leader of Abu Dhabi warm... while trying to freeze millions across Europe.
Let's remember Viktor Orbán's proposal. We hope that Europe will not insist on a new package of sanctions, but negotiate with Russia, instead of blaming it for the future "freeze".
 
Warusi 700,000 wameikimbia Russia mpaka sasa, wanakanyagana kwenye mipaka ya Finland, Georgia, Estonia na Latvia kuingia EU.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Yaan ukimbie URUSI uende LATVIA? Umewahi kufika ULAYA kwanza?? Maana ungeweza hata kuwaza kwa kutumia akili. Hizo nchi zote hakuna wa kuifikia URUSI kwa usalama na amani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…