We Huna akili Ukraine ni member WA NATO ?Mmeshupaza shingo SI asogeee asogeee... Wakati wenyewe wanakwambia kabisa kipigo Kwa Ukraine ni sawa na kupigwa Kwa NATO wewe unashupaza shingo.
Hao ndo wanaojiita werevu..,hawajui kutengeneza hata spea hata ya baiskeli,achilia mbali baiskeli yenyewe, [emoji16]Mmeelevuka nyie wapumbav mnajisaidia vichakani , washenzi mnaojengewa vyoo kila siku , zaidi ya jusu ya budget yenu ni grants na mikopo toka Western countries , umevimbiwa maharage na kisimu chako cha Tecno unaandika rubbish hapa , ng'ombe kweli
pumbav
Taja hayo mataifa
Hali tete kwa puttin sasa ni dunia inataka kumtandika
Watch
•••
[IMG alt="mtarimbo"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/304/304018.jpg?1515288018[/IMG]
mtarimbo
JF-Expert Member
Zaidi ya mataifa 50 ya ulaya yamekutana nchini ujerumani kujadili namna ya kuipa silaha na kuhakikisha ukraine anashinda kwenye uvamizi wa dictetor putin.wote wameanzimia kutoa michango ya silaha ,fedha,mafunzo,madawa,silaha za kujilinda na makombora.
Hii ni baada ya dicteta putin kushambulia miji yenye makazi ya watu na kifanya mauwaji.
Putin akitoboa mwaka huu mtanambia
Aljazeera leo:
More than 50 Western countries have met in Brussels to pledge more weapons for Ukraine, especially air defence systems, after Russia launched its most intense missile barrage since the war began.
At Wednesday’s meeting of the Ukraine Defense Contact Group, US Secretary of Defense Lloyd Austin said Russia’s latest attacks had laid bare its “malice and cruelty” since invading Ukraine on February 24.
Quote Reply
Report Edit
BoldItalicMore options…
Insert linkInsert imageMore options…
UndoMore options…
Preview
Font sizeText colorFont familyListAlignment
Paragraph formatStrike-throughUnderlineInline spoilerInline code
- Align left
- Align center
- Align right
- Justify text
SmiliesQuoteInsert videoMediaInsert tableInsert horizontal lineSpoilerCodeSubscriptSuperscript
RedoToggle BB codeRemove formattingDrafts
Write your reply...
Post reply
Attach files
Similar Discussions
Share
- [IMG alt="Bams"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/s/28/28702.jpg?1421497843[/IMG]
Warusi wazidi kumpinga Putin. Marekani watoa onyo kali kwa Urusi
- Started by Bams
- Sep 26, 2022
- Replies: 31
International Forum- [IMG alt="JanguKamaJangu"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/s/661/661059.jpg?1644571463[/IMG]
Marekani: Urusi ikitumia Nyuklia tutaingilia kati moja kwa moja
- Started by JanguKamaJangu
- Sep 25, 2022
- Replies: 44
International Forum- [IMG alt="TODAYS"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/s/224/224207.jpg?1398976843[/IMG]
Zelensky aonya kuwa Dunia inapaswa kuwa tayari kwa uwezekano wa Urusi kutumika silaha za nyuklia
- Started by TODAYS
- Apr 18, 2022
- Replies: 48
International Forum- [IMG alt="MK254"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/s/142/142457.jpg?1593673825[/IMG]
Kiongozi wa Chechnya aponda na kukosoa majeshi ya Urusi kwa wao kukimbia uwanja wa mapambano
- Started by MK254
- Sep 12, 2022
- Replies: 35
International Forum- [IMG alt="Nkobe"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/s/126/126268.jpg?1412884911[/IMG]
Kuuawa kwa majenerali wa Urusi na vita kuchukua muda mrefu ni ishara kuwa jeshi hilo halina uwezo unaosemwa
- Started by Nkobe
- Mar 22, 2022
- Replies: 204
International Forum
0 Reactions
Reply
View attachment 2385382
The UN is nothing but a snake in the house.It's another guarantor of global tyranny,anarchy and genocide which should be shunned.Only the stupid can believe that it's an Organization for global peace and order.Umoja wa mataifa kwa kauli moja wasema " Kura za Urusi ni fekiii "
Kura alizopiga Mrusi hivi majuzi kuyanyakua majimbo ya Ukraine sasa ni rasmi kwamba hayatambuliki kisheria... hayo si yangu bali ni maamuzi ya Umoja wa Mataifa.
View attachment 2385512
The United Nations General Assembly has voted to condemn Russia’s “attempted illegal annexation” of four partially occupied regions in Ukraine and urged countries not to recognise the move.
In Wednesday’s vote, three-quarters of the 193-member General Assembly — 143 countries — backed a resolution that also reaffirmed the sovereignty, independence, unity and territorial integrity of Ukraine within its internationally recognised borders.
Kwahiyo wakikataa ina impact gani? Si hata hoja ya US kuivamia Iraq UN walikataa ila US akavamiaNchi wanachama wa U.N wapiga kura kuyakataa majimbo aliyojichukulia dicteta putin ikiwemo crimea.
Mwisho wa putin unakaribia
View attachment 2385385
SawaUmoja wa mataifa kwa kauli moja wasema " Kura za Urusi ni fekiii "
Kura alizopiga Mrusi hivi majuzi kuyanyakua majimbo ya Ukraine sasa ni rasmi kwamba hayatambuliki kisheria... hayo si yangu bali ni maamuzi ya Umoja wa Mataifa.
View attachment 2385512
The United Nations General Assembly has voted to condemn Russia’s “attempted illegal annexation” of four partially occupied regions in Ukraine and urged countries not to recognise the move.
In Wednesday’s vote, three-quarters of the 193-member General Assembly — 143 countries — backed a resolution that also reaffirmed the sovereignty, independence, unity and territorial integrity of Ukraine within its internationally recognised borders.
Hasira za chokoraa wa Kibera hizi.Mmeelevuka nyie wapumbav mnajisaidia vichakani , washenzi mnaojengewa vyoo kila siku , zaidi ya nusu ya budget yenu ni grants na mikopo toka Western countries , umevimbiwa maharage na kisimu chako cha Tecno unaandika rubbish hapa ,
ng'ombe kweli
Juzi Tu hapa treasury ya nchi yenu ilikuwa kwenye blink ya kufilisika mpaka mama yenu akaenda kulialia IMF kuomba mikopo kila siku US kusawazisha mambo baada ya Yule mwendawazimu mropokaji kuharibu mahusiano awamu iliyopita .
Natamani siku moja wawalime total ban ya kuwapa hizo grants na hivyo vimikopo vinavyowatia kiburi mf*rwe na starvation Kwanza ndio akili ziwakae vizuri Maana madogo wengi humu huwa mnaandika humu as if akili zenu zipo katikati makalio yenu nyie pimbi .
Waulizeni wazee wenu waliowahi ishi miaka ya 1970 wawaambie cha Moto walichopitia .
pumbav
Putin yuko zake Astana huko...akiattend mkutano wa CICA....Dunia inaendelea mbele, hiyo UN hata US aliitupilia mbali akaingia vitani, hao UN wameshindwa kumaliza mgigoro wa Israel-Palestina, Syria,Libya..Umoja wa mataifa kwa kauli moja wasema " Kura za Urusi ni fekiii "
Kura alizopiga Mrusi hivi majuzi kuyanyakua majimbo ya Ukraine sasa ni rasmi kwamba hayatambuliki kisheria... hayo si yangu bali ni maamuzi ya Umoja wa Mataifa.
View attachment 2385512
The United Nations General Assembly has voted to condemn Russia’s “attempted illegal annexation” of four partially occupied regions in Ukraine and urged countries not to recognise the move.
In Wednesday’s vote, three-quarters of the 193-member General Assembly — 143 countries — backed a resolution that also reaffirmed the sovereignty, independence, unity and territorial integrity of Ukraine within its internationally recognised borders.
Dikiteta Putin atajua kuwa hajui mwaka huu..,kila mmoja anamkibia kama mgonjwa wa ukoma,
Huwezi ukajimegea nchi kilainilain tu eti kisa una nyukria [emoji848]..,Kuna mataifa yapatayo Tisa yenye silaha za nyukria..,Ina maana Kila mmoja akiamua kufuata huo mkondo kwa jirani yake dunia itakalika?
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
My friend hiyo kura siyo binding kisheria!!! Kwa hiyo haitambuliki. Russia alisema kura ipigwe kwa siri ili nchi ziwe huru West wakakataa kwa sababu wanajua Kuna vibaraka wao ambao wapo tayari kuwageuka. Upo, my friend? Au nimekuacha?Fashisti anazidi kupokea kichapo pande zote.., huku umoja wa mataifa..,huku front line..,hapa lazima mtu akili zimkae sawa,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hii habari kwa jinsi warusi wa buza wanavyoishambulia inaonekana imewatouch kweli [emoji16][emoji16]Umoja wa mataifa kwa kauli moja wasema " Kura za Urusi ni fekiii "
Kura alizopiga Mrusi hivi majuzi kuyanyakua majimbo ya Ukraine sasa ni rasmi kwamba hayatambuliki kisheria... hayo si yangu bali ni maamuzi ya Umoja wa Mataifa.
View attachment 2385512
The United Nations General Assembly has voted to condemn Russia’s “attempted illegal annexation” of four partially occupied regions in Ukraine and urged countries not to recognise the move.
In Wednesday’s vote, three-quarters of the 193-member General Assembly — 143 countries — backed a resolution that also reaffirmed the sovereignty, independence, unity and territorial integrity of Ukraine within its internationally recognised borders.
Hizo ni ndoto za alinacha, Russia ameshakuwa mdebwedo [emoji12]
Sikiliza huyo Col. Mstaafu wa jeshi la Marekani anasema toka mwaka 2014 USA na washirika wake walijiandaa kuivamia Russia, USA alipeleka silaha nyingi na mafunzo lukuki kwa wanajeshi wa Ukraine, Russia alikuwa anawachora tu. Sasa hivi Russia kabadili gear angani kwa kumweka kamanda katiri sana ambaye hana chembe ya huruma, anataka kumaliza mchezo. Hao wanajeshi wa kigeni toka Poland, ufaransa, UK na USA wanauwawa kila siku. Sasa hivi njia zote na kambi zote za jeshi la Ukraine ni mwendo wa kapeti bombing tu hakuna Cha msalia mtume. Njia zote za usafiri, majengo ya serikali vituo vya Police ni kulipuliwa tu. Wakimaliza hapo jeshi la ardhini linaenda kumaliza kazi na kisafisha, Col. Mstaafu anasema wanajeshi wa Ukraine watauwawa Sana kama hawatakimbia, wakati huo makombora ya masafa marefu yanakuwa yanazidi kuzoofisha silaha toka nje kuja mstari wa mbele upande wa Ukraine. Ndani ya mwezi huu vita itaisha na zelesiki atakimbia nchi au kuuwawa. Maana Makamu wa raisi wa Russia anasema wanataka kubadili raisi mwingine wa Ukraine.
Hahaaaaaa,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we jamaa Unawazimu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji189] kwamba Russia anaenda kumaliza vita au sio ?
Sikiliza huyo Col. Mstaafu wa jeshi la Marekani anasema toka mwaka 2014 USA na washirika wake walijiandaa kuivamia Russia, USA alipeleka silaha nyingi na mafunzo lukuki kwa wanajeshi wa Ukraine, Russia alikuwa anawachora tu. Sasa hivi Russia kabadili gear angani kwa kumweka kamanda katiri sana ambaye hana chembe ya huruma, anataka kumaliza mchezo. Hao wanajeshi wa kigeni toka Poland, ufaransa, UK na USA wanauwawa kila siku. Sasa hivi njia zote na kambi zote za jeshi la Ukraine ni mwendo wa kapeti bombing tu hakuna Cha msalia mtume. Njia zote za usafiri, majengo ya serikali vituo vya Police ni kulipuliwa tu. Wakimaliza hapo jeshi la ardhini linaenda kumaliza kazi na kisafisha, Col. Mstaafu anasema wanajeshi wa Ukraine watauwawa Sana kama hawatakimbia, wakati huo makombora ya masafa marefu yanakuwa yanazidi kuzoofisha silaha toka nje kuja mstari wa mbele upande wa Ukraine. Ndani ya mwezi huu vita itaisha na zelesiki atakimbia nchi au kuuwawa. Maana Makamu wa raisi wa Russia anasema wanataka kubadili raisi mwingine wa Ukraine.
Putin anakunyoosha wewe pimbiHasira za chokoraa wa Kibera hizi.
Ila Putin anawanyoosha
Tafuta Hela,ukiwa nazo hizo takwimu Wala hata hazitakuhusu!Utaishi maisha mazuri kuliko hao unaowaabudu!Hata huko pia Kuna ombaomba na wanaishi maisha magumu sana!Unaelewa nini kuhusu third world countries living conditions ? au ndio kuandika kimihemko , kujifariji na kujaza servers Tu humu ?
Wewe unaishi nchi hizi za Subsahara au unaishi Antarctica ?
Hao wenye uwezo WA kuwa na atleast 1 Million USD nchi hii unajua ni asilimia ngapi Kati ya raia wote ?
Upward social mobility index unajua ni ngapi Kwa nchi hizi za KiAfrica kama Tz ?
Unajua hata average annual income ya mwananchi wa kawaida ni ngapi mfano nchi hii ?
Unajua purchasing power index ya mwananchi wa kawaida ni ngapi huku Africa ?
Wewe unafikiri mnapoitwa nyie ni nchi masikini unafikiri wanawaonea sio ?