Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Ni lini EU walisema wameishiwa silaha halafu mnajichanganya Sana kuna nchi zimo EU lakini hazipo kwenye NATO muwe clear na mnachoandika , you guys are too vague
Labda kuna hizo shule watoto wake,rafiki au wa ndugu zake wapo huko maana hiyo taarifa unaifahamuje kama hujaona walimu na wanafunzi?Jombaa unajiaibisha Sana unasema wanafundisha mashuleni ushoga , we jamaa ni pimbi ,ni akina Nani hao ambao wanawafundisha vijana wenu ushoga mashuleni ?
Kuna mtu amekufata au kamfata mtoto wako akamlala nyuma Kwa lazima ?
Yaani unaandika nonsensical garbage tu , dude grow up !
WANAANZA KUJITOA MMOJA MMOJA
[emoji3518][emoji632][emoji1255] Macron: France will not use nuclear weapons if Russia strikes Ukraine with them
"Our doctrine is based on the fundamental interests of the nation. They are clearly defined and will not be directly involved if, for example, a ballistic nuclear attack occurs [in Ukraine],"
[emoji116][emoji116][emoji116]
Basically France doctrine is defensive and it will use nuclear weapons if some army without permission enters France or invade it,but this rhetoric is scary....
Crimea tangia 2014 ipo chini ya Russia lakini haitsmbuliki na UN wala zaidi Russia mwenyewe ndo anaitambua ila mpk leo hakuna mlichoweza kumfanya sasa sembuse hayo majimbo mengineUmoja wa mataifa kwa kauli moja wasema " Kura za Urusi ni fekiii "
Kura alizopiga Mrusi hivi majuzi kuyanyakua majimbo ya Ukraine sasa ni rasmi kwamba hayatambuliki kisheria... hayo si yangu bali ni maamuzi ya Umoja wa Mataifa.
View attachment 2385512
The United Nations General Assembly has voted to condemn Russia’s “attempted illegal annexation” of four partially occupied regions in Ukraine and urged countries not to recognise the move.
In Wednesday’s vote, three-quarters of the 193-member General Assembly — 143 countries — backed a resolution that also reaffirmed the sovereignty, independence, unity and territorial integrity of Ukraine within its internationally recognised borders.
Hii taharifa inewauna kweli pro Putin.., vumilieni tu wakuu, mambo ndivyo yalivyo, Putin anakataliwa kila Kona,Crimea tangia 2014 ipo chini ya Russia lakini haitsmbuliki na UN wala zaidi Russia mwenyewe ndo anaitambua ila mpk leo hakuna mlichoweza kumfanya sasa sembuse hayo majimbo mengine
UNGA votes hazina nguvu za kufanyiwa implementation. Hapo inabidi waipeleke UNSC ndio ipate nguvu.Umoja wa mataifa kwa kauli moja wasema " Kura za Urusi ni fekiii "
Kura alizopiga Mrusi hivi majuzi kuyanyakua majimbo ya Ukraine sasa ni rasmi kwamba hayatambuliki kisheria... hayo si yangu bali ni maamuzi ya Umoja wa Mataifa.
View attachment 2385512
The United Nations General Assembly has voted to condemn Russia’s “attempted illegal annexation” of four partially occupied regions in Ukraine and urged countries not to recognise the move.
In Wednesday’s vote, three-quarters of the 193-member General Assembly — 143 countries — backed a resolution that also reaffirmed the sovereignty, independence, unity and territorial integrity of Ukraine within its internationally recognised borders.
Huko watakutana na mwamba Russia atapiga veto. And will be useless.UNGA votes hazina nguvu za kufanyiwa implementation. Hapo inabidi waipeleke UNSC ndio ipate nguvu.
Unauhakika Mungu ndie alisema hivyo? Au ni mtazamo tu?Hata yule wa Tz walisema hivi hivi, kwamba sushi na aendelee kutawala. Mungu akasema kea shida uliyowaletea ndugu zako hustahili. Nadhani historia inaanza kujirudia huko urusi. Eti "there is no replacement for putin". Hizi sifa za hovyo kabisa. Ngoja tuone anavyoendelea kuvimbishwa kichwa with no somebody to replacement him.
Sent from my TECNO BC1 using JamiiForums mobile app
Kumbe UN wakibisha ndo Russia wanaanza kuogopa?Umoja wa mataifa kwa kauli moja wasema " Kura za Urusi ni fekiii "
Kura alizopiga Mrusi hivi majuzi kuyanyakua majimbo ya Ukraine sasa ni rasmi kwamba hayatambuliki kisheria... hayo si yangu bali ni maamuzi ya Umoja wa Mataifa.
View attachment 2385512
The United Nations General Assembly has voted to condemn Russia’s “attempted illegal annexation” of four partially occupied regions in Ukraine and urged countries not to recognise the move.
In Wednesday’s vote, three-quarters of the 193-member General Assembly — 143 countries — backed a resolution that also reaffirmed the sovereignty, independence, unity and territorial integrity of Ukraine within its internationally recognised borders.
Hawa jamaa wakiishiwa hoja wanakimbilia ushoga tu .., utafikiri Kuna mgambo anawagongea mlango kila siku akiwalazimisha wawe shoga[emoji848]Jombaa unajiaibisha Sana unasema wanafundisha mashuleni ushoga , we jamaa ni pimbi ,ni akina Nani hao ambao wanawafundisha vijana wenu ushoga mashuleni ?
Kuna mtu amekufata au kamfata mtoto wako akamlala nyuma Kwa lazima ?
Yaani unaandika nonsensical garbage tu , dude grow up !