kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
[emoji16][emoji16][emoji16]Be like... [emoji117] Okay Russia. Come out with your hands up. The free world has you surrounded. Come out or we shoot. Pew pew pew pew! [emoji23][emoji23][emoji23]
TejaaaaKuna mtu atajikuta kizimbani soon..,ni suala la muda tu [emoji848]View attachment 2385712
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Lugha ya kidiplomasia na ameeleweka.KAMA WANAWATUMA MAMLUKI WAO KUJA KUPIGANA NCHINI UKRAINE BASI WATABAKIA HUMU MILELE
Mkitaka msusie na World Cup basi susieni tu
Mataifa yote hayo yatafutwa in less than 13 minutes...
Hali tete kwa puttin sasa ni dunia inataka kumtandika
Watch
•••
[IMG alt="mtarimbo"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/304/304018.jpg?1515288018[/IMG]
mtarimbo
JF-Expert Member
Zaidi ya mataifa 50 ya ulaya yamekutana nchini ujerumani kujadili namna ya kuipa silaha na kuhakikisha ukraine anashinda kwenye uvamizi wa dictetor putin.wote wameanzimia kutoa michango ya silaha ,fedha,mafunzo,madawa,silaha za kujilinda na makombora.
Hii ni baada ya dicteta putin kushambulia miji yenye makazi ya watu na kifanya mauwaji.
Putin akitoboa mwaka huu mtanambia
Aljazeera leo:
More than 50 Western countries have met in Brussels to pledge more weapons for Ukraine, especially air defence systems, after Russia launched its most intense missile barrage since the war began.
At Wednesday’s meeting of the Ukraine Defense Contact Group, US Secretary of Defense Lloyd Austin said Russia’s latest attacks had laid bare its “malice and cruelty” since invading Ukraine on February 24.
Quote Reply
Report Edit
BoldItalicMore options…
Insert linkInsert imageMore options…
UndoMore options…
Preview
Font sizeText colorFont familyListAlignment
Paragraph formatStrike-throughUnderlineInline spoilerInline code
- Align left
- Align center
- Align right
- Justify text
SmiliesQuoteInsert videoMediaInsert tableInsert horizontal lineSpoilerCodeSubscriptSuperscript
RedoToggle BB codeRemove formattingDrafts
Write your reply...
Post reply
Attach files
Similar Discussions
Share
- [IMG alt="Bams"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/s/28/28702.jpg?1421497843[/IMG]
Warusi wazidi kumpinga Putin. Marekani watoa onyo kali kwa UrusiInternational Forum
- Started by Bams
- Sep 26, 2022
- Replies: 31
- [IMG alt="JanguKamaJangu"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/s/661/661059.jpg?1644571463[/IMG]
Marekani: Urusi ikitumia Nyuklia tutaingilia kati moja kwa mojaInternational Forum
- Started by JanguKamaJangu
- Sep 25, 2022
- Replies: 44
- [IMG alt="TODAYS"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/s/224/224207.jpg?1398976843[/IMG]
Zelensky aonya kuwa Dunia inapaswa kuwa tayari kwa uwezekano wa Urusi kutumika silaha za nyukliaInternational Forum
- Started by TODAYS
- Apr 18, 2022
- Replies: 48
- [IMG alt="MK254"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/s/142/142457.jpg?1593673825[/IMG]
Kiongozi wa Chechnya aponda na kukosoa majeshi ya Urusi kwa wao kukimbia uwanja wa mapambanoInternational Forum
- Started by MK254
- Sep 12, 2022
- Replies: 35
- [IMG alt="Nkobe"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/s/126/126268.jpg?1412884911[/IMG]
Kuuawa kwa majenerali wa Urusi na vita kuchukua muda mrefu ni ishara kuwa jeshi hilo halina uwezo unaosemwaInternational Forum
- Started by Nkobe
- Mar 22, 2022
- Replies: 204
0 Reactions
Reply
View attachment 2385382
Tatizo kuna nchi uchumi wao unategemea uuzaji wa silaha. Ndiyo maana mara zote wanasababisha vita dunia ili wauze silaha zao. Kwa hiyo, kuleta amani duniani ni kuhatarisha uchumi wa nchi yao!vita iishe
You wish!Kuna mtu atajikuta kizimbani soon..,ni suala la muda tu [emoji848]View attachment 2385712
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Basi Ukraine na dada zake wamalize vita, wawarudishe urusi nyumbani kwao...Hahaaaaaa,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we jamaa Unawazimu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji189] kwamba Russia anaenda kumaliza vita au sio ?
Anyway , Hiyo ni opinion yake si kosa na wewe kuibeba na kuiamini ,ngoja tuone
Ni rahisi kuamini kuamini kuwa inaweza kuwa ni bioweapon hasa ukizingatia these westerners are mass murderers since the inceptionWewe ni mjinga Sana Ebola imekuwapo hapo Uganda Kwa sababu iko karibu na Congo na milipuko ya Ebola Uganda ni kitu cha kawaida unless wewe ni mjinga usiyejua vitu unaandika conspiracy theories zisizo na kichwa wala miguu .sasa unataka kusema Ebola imetengenezwa au ni lab made si ndio ? , Unajua hata Maana ya biological warfare wewe mwehu ? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ila nyie jamaa mnajidhalilisha Sana humu ,yaani mtu unaandika pumba mpaka aibu Anaona msomaji wtf