Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji298]️BREAKING NEWS[emoji298]️

The head of the Ukrainian Foreign Ministry admitted that the official Kyiv authorities were behind the attacks on the Crimea and the Belgorod region.

Russian pranksters Vladimir Kuznetsov (Vovan) and Alexei Stolyarov (Lexus) published a telephone conversation with Ukrainian Foreign Minister Dmitry Kuleba, which they conducted on behalf of former US Ambassador to Russia Michael McFaul.

A number of issues were touched upon in the conversation, but the main thing that the head of the Ukrainian Foreign Ministry said was that both terrorist attacks and shelling were sanctioned by official Kyiv.

In the light of today's rocket hit on a residential building in Belgorod, this information takes on a special color. In addition, Kuleba noted that it is necessary to strengthen Ukraine through the supply of Western weapons and the expansion of sanctions. Without them, there will be nothing to fire at.
 
Hii nani kaisema?
 
Hizi habari zingine kuziamini labda uwe unausunbufu kichwani
 
Umezidi matusi leta hoja, nasi tujibu
Bila hivyo watu watajua ni hayawani USIYE na mbele ama nyuma
 
From Khokhols

[emoji23][emoji23][emoji23]

Our source at the OP said that Iranian drones are causing significant damage to infrastructure, and air defense is not effective against them at the moment. The Armed Forces of Ukraine manage to destroy up to 40% of the martyrs, while most of them achieve their goals in the depths of Ukraine.
 
Ulisikia lini King of England kaziacha kama nchi huru?
Canada na Australia head of state ni King of England

Lakini pia tofautisha Kati ya maeneo ambayo waliyachagua kuweka Settlement Yao na kufanya Ethnic cleansing na maeneo waliyoyanyonya tu kama Afrika.

Hata Afrika huwezi linganisha South Africa, Zimbabwe na Kenya na maeneo mengine kwa sababu maeneo tajwa walikaa settlers wao kwa wingi hivyo kupelekea msaada wa kimaendeleo.

Ni punguani pekee ndio atashindwa kutofautisha ukoloni wa Afrika, sehemu za Asia na Kanada & Australia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…