Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji298]️BREAKING NEWS[emoji298]️

US wants the West to jointly create an integrated air defense system for Ukraine and transfer missile systems of various ranges to Kiev - Pentagon.

That's good. At least Russians can test them and find weakness.
Urusi miamba sana.
Huu ni ushahidi mwingine Tena kua,hii miamba ya Moscow inapigana na west nzima kwa wakati mmoja.
 
Una hoja nzuri na inayofikirisha kwa nini Africa baada ya mika zaidi ya 50 tangu uhuru tuendelee kulalamika kuwa tulitawaliwa. tena Afrika kama Tanzania tulitawaliwa kwa miaka kama 100 tu wakati India ilitawaliwa kwa miaka 600.
Nenda kasome kitabu kinaitwa Why Afrika is Marginalized in the Globalization world
 
Si ndio hapo ngozi nyeusi Sisi na excuses za kijinga kutafuta sympathy na visingizio aisee .India imetawaliwa kikoloni Kwa miaka zaidi ya Mia nne akianza mreno ,mdutch ,mwingereza ,Afrika mkoloni kwanza ingia kwenye miaka 1900's ,sasa eti mpaka sasa Sisi ndio tunatumia kama excuse ya kuwa hivi tulivyo ,na ni progress gani iliyopo sasa baada ya kupata huo Uhuru ? , Ukimuuliza mtu anatoa macho Tu na bullshit zisizo na mbele wala nyuma .
Guys [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mi huwa kuna vitu vinanichekesha Sana humu jf
Ukijiuliza Hilo swali na hujui majibu inaonyesha wewe ni mjinga wa mwisho
 
Unachoshindwa kuelewa ni kwamba kinachopigana vita ya kisasa SI damu na nyama,Bali ni teknolojia..., Russia ata akileta jenelali mwenye ukatili zaidi ya Hitler bado mambo yatakuwa machungu sana kwake ,, kutokana na ukweli kwamba urusi ana upungufu mkubwa sana wa precision missiles kufuatia vikwazo vya west..., fikiria urusi anaenda kuomba silaha Iran na north Korea

Marekani Haina history ya kuwa na watu makatili kama Putin na mafashist wenzake lakini jeshi lake linatisha na linabaki kuwa namba Moja dunian..,utafanyaje mashambulizi ya kikatili bila kuwa na precision missiles za kutosha??..,au unafikiri huyo jenelali atakuja na silaha zake binafsi [emoji12][emoji12]

Huko Syria kama alifanya ukatili wa kutisha hatukatai maana urusi ilikuwa na nguvu kubwa kuliko Sasa.., hivyo vitendea kazi vilikuwepo vya kutosha,


Urusi ya Sasa ni mdebwedo..,yaani ni wepesi kama pamba..,hata wakileta jenelali aliyetumwa kutoka kuzimu kwa Lucifer bado kutoboa ni ngumu,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo alivyopigwa kule Afghanistan ni kwa sababu ya nini?

Alivyopigwa hapo Syria?

Huyu jamaa sijui hata skauti aliatendi [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
... watu wa ajabu wale Mkuu! Swali rahisi tu; ni kwanini wanashabikia Urusi kuivamia Ukraine, kuua wasio na hatia? Hawana majibu. Sana sana atajitokeza mmoja atakuuliza mbona Israel inavamia Palestina?
hao ni wale mazombie tulikuwa tunawaona kwenye movies , sijui vizaz vyao vitakuwa vya namna gan
 
Kwenye mitandao utamwona Putin kichaa,ukiangalia nyuma ya panzia utashangaa.Putin tupo pamoja.
MALCOM LUMUMBA njoo huku.

Sent using Jamii Forums mobile app
Malcom Lumumba alikuwa anaunganisha watu na sio kurudisha ukoloni km Putin jifunzen kuheshimu wana harakati wetu sio kufananisha na wamwagaj dam hao akina Putin , unaua raia baada ya kufeli kulenga kamb za jeshi
 
Urusi ni miamba aisee.
Hakuna silaha west hawajapeleka.
Hakuna nchi kubwa ya west ambayo haijapeleka silaha.
Miamba inacheza nazo.
Ukweli Urusi sio nchi ndogo.



View attachment 2385224View attachment 2385223
 
Tuliza mshono . Katika counteroffensive Ukraine imepoteza more than 10000.

RUssia alinyakua 126000 Km KATI ya 600000 Km square za Ukraine kisha Ukraine karudisha 6000 km sq kwa maiti 10000 kisha mtu anapiga vipicha vya maiti kumi au ishirini anajichekesha. Casualty level ktk jeshi la Ukraine haizungumziki
kwahiyo alirudisha maeneo bila warusi kuuawa ? Ushabiki unaeza kukufanya kichaa
 
From Khokhols

[emoji23][emoji23][emoji23]

Massive missile attack on Ukraine.
According to preliminary data, about 4-6 launches.
Already flew low through the Odessa region, already seen in Vinnitsa.

There is an assumption that they continue to "disconnect" Ukraine from the "breaker".

Air defense is once again silent and does not detect missiles.
We are waiting for high-profile reports from the Office of the President that dozens of missiles were shot down, somewhere in the sea and in the forests.

[emoji188][emoji188][emoji188]

Inaonekana wanajua taarifa zao kutoka viongozi wao zinapikwa sana!
 
Leo Mzee wa mobilization anashambuliwa balaa targets zote zinakaangwa tazama video niliwaambia jumatatu mnacheka ila kuanzia jumanne ni kulia tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Na bado ataendelea kutembezewa kichapo kwa sana tu.., mpaka ajue ilivyo ghalama kuvamia nchi ya watu,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Proved ona hii.
Kisha mwalike na mchambuzi huru.


Sikiliza huyo Col. Mstaafu wa jeshi la Marekani anasema toka mwaka 2014 USA na washirika wake walijiandaa kuivamia Russia, USA alipeleka silaha nyingi na mafunzo lukuki kwa wanajeshi wa Ukraine, Russia alikuwa anawachora tu. Sasa hivi Russia kabadili gear angani kwa kumweka kamanda katiri sana ambaye hana chembe ya huruma, anataka kumaliza mchezo. Hao wanajeshi wa kigeni toka Poland, ufaransa, UK na USA wanauwawa kila siku. Sasa hivi njia zote na kambi zote za jeshi la Ukraine ni mwendo wa kapeti bombing tu hakuna Cha msalia mtume. Njia zote za usafiri, majengo ya serikali vituo vya Police ni kulipuliwa tu. Wakimaliza hapo jeshi la ardhini linaenda kumaliza kazi na kisafisha, Col. Mstaafu anasema wanajeshi wa Ukraine watauwawa Sana kama hawatakimbia, wakati huo makombora ya masafa marefu yanakuwa yanazidi kuzoofisha silaha toka nje kuja mstari wa mbele upande wa Ukraine. Ndani ya mwezi huu vita itaisha na zelesiki atakimbia nchi au kuuwawa. Maana Makamu wa raisi wa Russia anasema wanataka kubadili raisi mwingine wa Ukraine.
1. According to Col. Mubobezi na deputy secretary of defense of USA, 80% of Ukraine air defense system is down
2. USA HIMASA equipment is not working enough due to it's complexity, Russia is destroying more.
3. 90% of Best Ukraine soldiers are already dead or eliminated
4. 100,000+ Ukraine soldiers arleady dead
5. 400,000+ wounded
6. Only poorly training and foreign fighter from Poland, USA, UK, France are in front line.


Sasa kilichobaki hapo ni nini kama siyo zelesiki kukimbia nchi.
 
Back
Top Bottom