Jesus Mlokozi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 2,690
- 21,122
NATO ni nini!?EU, UK, Japan na US ndio wameweka vikwazo vya kiuchumi kwa Urusi sio NATO.
Mwanzoni walisema Urusi ikiivamia Ukraine,haitavumikiwa, sasa hivi wamehamisha magoli.🚮Russia's army would be "annihilated" by the West's military response if Vladimir Putin uses nuclear weapons against Ukraine, EU foreign policy chief Josep Borrell has warned.
"Putin is saying he is not bluffing. Well, he cannot afford bluffing, and it has to be clear that the people supporting Ukraine and the European Union and the member states, and the United States and Nato are not bluffing either," Borrell said in Brussels.
"Any nuclear attack against Ukraine will create an answer, not a nuclear answer but such a powerful answer from the military side that the Russian army will be annihilated." -- Russia Invades UKraine - Page 15
FUSO HIMARS himaars
Mjulishe huyo jamaa.. hata silaha zinatoka nchi hizo na zinakuwa declared.EU, UK, Japan na US ndio wameweka vikwazo vya kiuchumi kwa Urusi sio NATO.
Urusi anarusha makombora ya masafa marefu,Ila Ukraine hairushi,kwani hiyo sheria Urusi inampa haki Urusi tu alafu Ukraine ina mnyima? Sheria gani ya vita unayyongelea ww?Mjulishe huyo jamaa.. hata silaha zinatoka nchi hizo na zinakuwa declared.
Na kama hajui Ukraine tangu vita ianze inajihami tu ndani ya mipaka yake....ila uwezo wa kurusha kitu kirefu hadi Urusi wanao.
Vita ina sheria zake..
Hajui anachokitafuta...kama ni NATO kuwa karibu na mipaka yake si hoja, na yeye basi aanzishe umoja wake wa kujihami ili aende karibu na watesi wake.Unaposema Putin ameyakanyaga,unajua Kwanini Urusi ikiingia vitani? Nimeishakuuliza hili swali Ila hujibu mkuu.
Kirahisi tu kama unanyoongea?Russia fanboys, mtajionea wenyewe kuwa Putin hana zaidi ya miaka 2 pale Moscow, anaenda kuondolewa madarakani.
A long waited defense systems; IRIS-Ts, NASAMS, Patriot, and decisive weapons such as HIMARS, Leorpard, ATACMS, and possibly Iron domes are being delivered to UKraine.
"A new era of air defence has begun in. IRIS-Ts from are already here ..." -- Russia Invades UKraine - Page 15
Hujui vita...better keep quiet. Hujui sheria za kivita za kimataifa. Usifikiri hii Dunia you can do what you want just because u have power ama una makombora ya masafa marefu.Urusi anarusha makombora ya masafa marefu,Ila Ukraine hairushi,kwani hiyo sheria Urusi inampa haki Urusi tu alafu Ukraine ina mnyima? Sheria gani ya vita unayyongelea ww?
Kama wangekuwa wanaweza kuishi bila gas/oil from Russia basi haya maandamano yanayoendelea kwa Sasa across Europe yasingekuwepo.Ulaya inaweza ku exist bila gasi na mafuta ya urusi kama ulikuwa hujui. Hapa ndipo mnapojidanganya.
Kifupi Putin ajiandae kupigana vita ndefu, vita hii si ya leo wala kesho.
Hakuna msaada hapo bali kinacho endelea hapo ni biashara alafu kingine Urusi na Iran ni washirika wakubwa hata Marekani ni mnunuzi mkubwa wa mifumo ya ulinzi ya Israel lakini Wakati huo ndio mdhamini na mlinzi mkuu wa Israel.Ni aibu na fedheha kwa Supa-pawa kupewa msaada wa silaha na nchi ya Iran inayougulia maumivu ya vikwazo vya kiuchumi.
Hii inaonyesha ubabe wa Urusi ni wa kipropaganda zaidi kuliko uhalisia, hiyo ni Ukraine tu imemchosha kiasi hicho, je ingekua nchi kubwa kama UK, Germany au US ?
Kukwama kwenye Jambo gani?Supa-pawa anakwama wapi ?
Mwanzoni walisema Urusi ikiivamia Ukraine,haitavumikiwa, sasa hivi wamehamisha magoli.
Mimi nakuuliza kuhusu vita,ww unaleta habari za biashara,ww ni mweupe kichwani aise,nimekugundua,sina mda na ww tenaHujui vita...better keep quiet. Hujui sheria za kivita za kimataifa. Usifikiri hii Dunia you can do what you want just because u have power ama una makombora ya masafa marefu.
Unafikiri kwa nini Africa hainunui mafuta toka Urusi directly huku mrusi kashusha balaa?
Muulize M7 kwa nini hajakubali meli ishushe kwake ?
Time !!Kama wangekuwa wanaweza kuishi bila gas/oil from Russia basi haya maandamano yanayoendelea kwa Sasa across Europe yasingekuwepo.
tupo kwenye uwanda siri sirini, wakutuokoa ni M/Mungu pekeeTatizo ma elites wanataka new world order, na hili suala kutokea lazma kuwepo na depopulation kutoka kwenye hiyo bilion 7 na ushee mpaka million 500, je kufanikisha hilo nikwanjia gani! Maana magonjwa feki kama ukimwi,ebola,covid,ushoga,vita na machafuko mbalimbali kila kona ya dunia bado hayaharakishi matokeo chanya wanayotaka ni kazi kwelikweli.
Inashangaza sana hajuiNATO ni nini!?
Yeah, anaihitjai hapohapo anamtuma Rais wa Uturuki kutaka mazungumzo ya amani, anaishiwa silaha na kwenda kuokoteza NK na Iran, wanajeshi wake wanauawa, silaha zake zinatekwa, budget yake ya vita siku moja ni mabilioni wakati uchumi wake kwa sasa wa Spain ni mkubwa, anafanya mobilization vijana waende vitani badala yake wanakimbia nchi!RUSSIA anaihitaji zaidi hii vita dhidi ya ukraine iendelee kuliko NATO wanavyoihitaji.
Putin ameshasema kuanzia sasa ukraine watashambuliwa kwa maguruneti ya kuulia mbwa mwitu badala ya iskander.
Russia ni wahuni sana, yaani wanakuchagulia aina ya kipigo kwa mujibu wa matendo yako.
Kwa hiyo Nato ingekuwa haitumi silaha kwa Ukraine ingekuwa inapambana kwa kutumia mikuki sio?NATO hajatia mguu wowote kwa vita hii...ila wameuambia Umoja wa Mataifa juzi kwamba endapo Putin atathubutu kurusha nuclear yoyte basi wataingia full mziki.
Zile kura za UN za kutoyatambua majimbo aliyopora imempunguzia mzuka.
Kwa threat IPI kutoka kwa Ukraine imfanye Russia atumie nuclear, hayo mambo ya nuclear mnaya promote nyie NATO.Afisa wa ngazi ya juu wa NATO amesema Jumatano kwamba endapo rais wa Russia itatumia silaha za nuclear, basi “atajibiwa kwa nguvu zinazostahili” kutoka kwa washirika wa Ukraine na ikiwezekana, muungano wa NATO.