Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Wapuuz hawa watotoWalikuwa wanasema eti ulaya haiwezi ku-survive bila gesi ya urusi..Sasa mabomba ya ges ndo hayo yalibutuliwa, ngoja tuone kama ulaya watakufa kwa kukosa gesi ya urusi..,
Naona Sasa wanaanza kuamisha magori kwenye ngano[emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ngano na nafaka zenyewe anazowauzia turkey na nchi nyingine ni za wizi ,kaiba kwenye maghala ya nafaka pale donbas , supapawa anaiba washing machines na nguo za ndani akauze mitumba , supapawa WA warusi WA buza huyoWalikuwa wanasema eti ulaya haiwezi ku-survive bila gesi ya urusi..Sasa mabomba ya ges ndo hayo yalibutuliwa, ngoja tuone kama ulaya watakufa kwa kukosa gesi ya urusi..,
Naona Sasa wanaanza kuamisha magori kwenye ngano[emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Arestovich said today that the AFU anti-aircraft systems shot down 18 Kalibr cruise missiles out of 12 (!).[emoji1255]Recently, a "golden rain of weapons" has poured into Ukraine, Arestovich said.
"We never dreamed of such a thing," the adviser to the President of Ukraine added.
Kiev has received a large number of Western weapons in recent days, mainly air defense systems.
By the way, on the topic of air defense of Ukraine.
Arestovich said today that the AFU anti-aircraft systems shot down 18 Kalibr cruise missiles out of 12 (!).
This is also a statement by Presidential adviser Zelensky.
Subscribe to @Sputnik
Wana akili ya kujenga hoja sasa ?Mbona Urusi fans ni low IQ kiasi hiki, arguments za kijinga, nawaacha kuwajibu. Hivi kwenye huu uzi hapakuwepo warusi weusi wanaoandika vitu vyenye mashiko hata kama ni uongo, lakini angalau ujengaji wa hoja ?
DiaperedWana akili ya kujenga hoja sasa ?
Hii sheria inazibana nchi za Afrika kwenye mafuta na kuipatia uhuru cbina na India kununua inavyopenda?Hujui vita...better keep quiet. Hujui sheria za kivita za kimataifa. Usifikiri hii Dunia you can do what you want just because u have power ama una makombora ya masafa marefu.
Unafikiri kwa nini Africa hainunui mafuta toka Urusi directly huku mrusi kashusha balaa?
Muulize M7 kwa nini hajakubali meli ishushe kwake ?
Ni kweli MUNGU pekee ndie amekua akituokoa na mipango mingi miovu inayoendelea duniani na mpaka sasa anazidi kutupigania ila binadamu wengi hilo hawalijui.tupo kwenye uwanda siri sirini, wakutuokoa ni M/Mungu pekee
Huna akiili....kwa nini babako Putin alikuwa analialia kura zisipigwe pale UN
He knows the impact afu wewe mrusi wa Buza hujui lolote..
Hii inaonyesha ulivyo mweupe, huna akili ndugu ..unaaibisha JF.
Wameanza KULIALIA [emoji2307][emoji2307][emoji2307][emoji28][emoji482][emoji28]
Hii kauli ni baada ya kuona maji yameanza kuzidi unga na hayo majimbo mapya aliyoyatwaa hayakaliki tena.Raisi Putin pia amesisitiza nia ya Russia kufanya mazungumzo ya kumaliza vita hivyo ilimradi kuwepo na vyombo vya kimataifa na endapo Ukraine ipo tayari kushiriki.
Ok.Hii kauli ni baada ya kuona maji yameanza kuzidi unga na hayo majimbo mapya aliyoyatwaa hayakaliki tena.