Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

We ndiye mwenye akili siyo ,
 
Cheap propaganda..
 
Mkuu je inawezakana hakuna anayehofia jeshi la Urusi (baada ya kuona jinsi lilivyo) lakini wanaogopa mabomu ya nyuklia na hali ya akili ya Putin?
Baba jeshi la Urusi ni moja ya majeshi makali sana hata bila nyukilia.

Mnachokiona ukraine Iko hivi;

Urusi inapeleka askari Wachache sana mfano tufanye imepeleka askari 150000 wanapambana na askari wa nchi nzima ya Ukraine,Tena waliofunzwa na NATO kwa miaka zaidi ya minane.
Tufanye Ukraine Ina askari zaidi ya 300000 yaani ni marabili ya askari wa Urusi walioko kwenye op hii.

Ukraine ilikua na silaha nyingi sana za kwake na inazipewa na NATO.

Urusi ulikua inapigana kistaarabu na kiungwana sana yaani haikutumia uwezo wake wote.


Hadi Sasa hivi Ukraine haina silaha zake za zamani,zote zililiwa na Urusi.

Upinzani anaoupata Urusi ni Halili na WA kawaida kwa sababu Ukraine wanapigana wakiwa kwao kujihami na kile wao wanakiita uvamizi kwa hiyo wanapigana kufa na kupona.

Urusi wanafanya op maalum kuondoka kitisho Cha silaha na uwezekano wa kuja kuvamiwa baadae na NATO.hivyo spirit walionayo Ukraine sio walionayo Urusi.
Lkni ikatokea nchi yoyote kuivamia Urusi katika ardhi yake ndo utajua kama Urusi ni Urusi ama ni Urusi ya kinondoni Moscow.

Upinzani anaoutoa Ukraine kwa Urusi ni mkubwa kwa kweli kama nilivyosema ,wao wanapigania nchi yao.Lakini huo uwezo unaouona wa Ukraine ni uwezo wa NATO na nchi zote za west.
Tumeshuhudia michango ya silaha ya kujirudia,hizo silaha walizokua wakipewa mwanzo zinzenda wapi?zinaliwa na moto wa Urusi.
Ukraine wanapewa taarifa zote muhimu za kiintelijensia ya kijeshi na kiraia kutoka nchi zenye uwezo mkubwa mno katika nyanja hizo.
USA,UK,Fr, German,Poland,Canada,Estonia,Lithuania,Italy,Sweden,Denmark,Finland,Turkey,burgaria, Australia,Austria etc.
Taarifa za Kijasusi kijeshi ni muhimu mno,ndio zinaonesha adui Yuko wapi,ana silaha kiasi Gani,umballi Gani,idadi ya askari na hata ushauri I silaha Gani itumike kumpiga.

Ukraine inapewa vifaa vya mawasilia I na njia za kudukua mawasiliano.
Inapewa misaada ya fedha kula kukicha.

Kwa uchache ni hayo.

Sasa.
Hebu fikiria hayo yoote yanafanyika Urusi Iko peke yake inapigana vita peke yake.

Urusi Ina wanajeshi karibu 900,000.
Wengi hawajaingia vitani,wanasubiri kama vita itakua kubwa ama NATO wataingiza majeshi ndio na wao wataingiza.
Kumbuka kwa akili ndogo TU ya kawaida huwezi kupeleka askari wote hodari na muhimu katika vita,unaanza naseto kwanza ,mambo yakizidi kua magumu nawe unaongeza dozi.

Hapa Urusi hawezi kupeleka askari wake wote vitani wala silaha zake zote muhimu vitani kwa kuangalia NATO watafanya Nini.
Ikiwa NATO wataingiza Mazuma nae Urusi ataingiza mazima maana hatutegemei kua na vita zaidi ya NATO na Urusi.
Huwezi kuweka mayai yote mazuri kwenye kapu moja.

Urusi sio nchi nyepesi Braza.
 
UJUE RUSSIA ANAWAFINYA KIMYA KIMYA. View attachment 2387706
[emoji845]Elon Musk said that Russia is trying to "kill" the Starlink satellite Internet system in Ukraine, it may stop working, despite the resources invested in its protection.
Elon Musk ameshaona hatari ya satellites zake kuharibiwa.

Anachotaka kufanya Sasa hivi ni kuwe na uwezekano wa yeye kuwa compensated pindi hizo satellites zitakapokuwa destroyed.

Ndio maana ana tafuta hiyo assurance kutoka kwa US Government.
 
Nimekupa za USO mpaka kimbelembele kimeisha naona umeanza kuleta kiherehere tena sio ?
Unataka ubatizo WA Moto tena a

Nimekupa za USO mpaka kimbelembele kimeisha naona umeanza kuleta kiherehere tena sio ?
Unataka ubatizo WA Moto tena au ,?
Wewe ni mgonjwa afya ya akili nikidili na wewe ntakua nakunyanyasa kama mlemavu na kawaida ya walemavu hua hamtaki kushindwa
 
Russia Destroys over 100 US-Made HIMARS Rockets In Ukraine – Defense Ministry

Russian forces have targeted an ammunition depot in Ukraine’s Dnepropetrovsk Region, destroying over 100 US-made HIMARS rockets, according to an update from Russia’s Defense Ministry on Wednesday.

The strike follows a Monday report that Moscow had targeted and destroyed US-supplied weapons, including heavy artillery in western Ukraine, using “sea-based high-precision long-range weapons.”

The US, which is Kiev’s biggest backer in its conflict with Moscow, had supplied Ukraine with 16 HIMARS systems as of July 22 while the UK has provided another three launchers capable of firing the same munitions.

Subscribe to RT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…