Galip Veryl
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 2,147
- 13,463
Noma sana mwamba, mie huwa nawaza kama lile Nagasaki lilifanya maafa yale yote. Na unaambiwa la sasa ni karibu mara 3000+ zaidi.Mimi nimekuelewa. Nimecheck kwenye Nukemap mzee ni hatari. Usiombe ukutwe na 100 megaton.
Jana Huko ufaransa wameiona Submarine ya Russia, nasikia Macron ameanza kubadili maelezo. Russia anafanya kweli. Likipigwa Rwanda yote inapotea.
Check hapa:-
View attachment 2388287
Ajabu sana hiki ulichoandika kwa kweli.Wanunue na wenyewe si Wana za mturuki mbona Russia na Edorgan washkaji tu
Kaja kuliona lina wiki nzima limemtazama hajui. Niliwahi kuwaambia KILA launcher ama facility ina target yake tayari. Kwamba Amri ikitoka KILA mtu anajua pa kupigaMimi nimekuelewa. Nimecheck kwenye Nukemap mzee ni hatari. Usiombe ukutwe na 100 megaton.
Jana Huko ufaransa wameiona Submarine ya Russia, nasikia Macron ameanza kubadili maelezo. Russia anafanya kweli. Likipigwa Rwanda yote inapotea.
Check hapa:-
View attachment 2388287
Hua tumevuta bange za Kubinka Air Base na mnyamwezi Presdaa Putin [emoji23]Kwani wewe na wale wehu wenzako mnavyotupostia matakataka yenu ya telegram hayo ,huko na sometimes mamistari marefu ya empty words bila sources huwa mnakuwa mmevuta bangi za wapi ? Au huko telegram wanaipost sio watu
"Hiii oyomba kenehe bageshi,"alisikika msukuma mmoja anayeishi TibetNoma sana mwamba, mie huwa nawaza kama lile Nagasaki lilifanya maafa yale yote. Na unaambiwa la sasa ni karibu mara 3000+ zaidi.
Zikitua kama 50 hivi inakuaje 😂, Musk kusema kua Russia ana uwezo wa kuiangamiza US na Europe chini ya Half an hour anajua kile anachokizungumza sasa kama wenzetu wanafikiri Musk analipwa na Putin kueneza propaganda za Kremlin.
Ndoho taabu lolo wasukum wanasema 🖐️.
Macron kwa sasa anahaha, nakuhakikishia muda unahesabika huo muungano wao wa NATO wataukimbia. Kila mmoja ataanza kujitetea kivyake. Naona Ufaransa wanaanza kujiondoa kiaina.Kaja kuliona lina wiki nzima limemtazama hajui. Niliwahi kuwaambia KILA launcher ama facility ina target yake tayari. Kwamba Amri ikitoka KILA mtu anajua pa kupiga
Russia hajapuuza drone hata.Hivi ana drones ? Niliwahi sikia mwanzo Russia km alipuuza drones na ndio kajifunza umuhimu wake SASA .
Hahaaa hana ubavu hata huo WA kumvimbia Uncle Sam ,anajipenda au ? ,Kwanza kikampuni chake cha Tesla hicho kisingekuwepo kama si support ya pesa na punguzo la kodi toka federal government ya USA , unamjua Uncle Sam unamsikia .Hahahaha nahisi jamaa kashalipwa chake na uncle Sam [emoji1258][emoji631][emoji1258]
#BREAKING In reversal, Musk says will continue funding Starlink in Ukraine
AmekudanganyaKuna mtu yuko Russia, ananiambia maisha yamekuwa magumu sana huko.. anasema wanaume wengi sana wanaikimbia nchi.. itafikia muda Russia atasurrender mana atakosa wapambanaji... Watu wanajificha, chakula ni cha kutafuta kimyakimya, hali tete.
Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
Hii ni sawa na ile utotoni kusema kama we mbabe vuka hapa huku unawaza huyu mwamba akivuka hapa meno sina maana unaujua uzito wa ngumi zake. Kiufupi nato wanaogopaKwa hiyo NATO wanasubiri Hadi Urusi arushe nyukilia ndio waingie?
Hizi sio akili Bali ni tope kabisa kwao.
Ilitakiwa wampige Putin mapema kabla hajarusha nuke.
Itakua sio mara ya Kwanza na wala haitokua ajabu. Mwaka 1966 Ufaransa ulijiodoa NATO na baadae ikarejea. Kwanza Ufaransa ina silaha za nyuklia ina uwezo ya kujitetea yenyewe hata bila ya NATO endapo Russia ikaipiga Kwa Nuclear.Macron kwa sasa anahaha, nakuhakikishia muda unahesabika huo muungano wao wa NATO wataukimbia. Kila mmoja ataanza kujitetea kivyake. Naona Ufaransa wanaanza kujiondoa kiaina.
Hizo simu zinauzwa laki mbili na ushee. Na unaweza ukapata mpaka za laki na kumi.Kuna mtu yuko Russia, ananiambia maisha yamekuwa magumu sana huko.. anasema wanaume wengi sana wanaikimbia nchi.. itafikia muda Russia atasurrender mana atakosa wapambanaji... Watu wanajificha, chakula ni cha kutafuta kimyakimya, hali tete.
Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
Pro nato ni shidaTatizo mzee unaruka ruka hakuna rare earth metals Taiwan. Bali Taiwan wana vinu vya kutengeneza semiconductors. Go back to school