Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

UJUE RUSSIA ANAWAFINYA KIMYA KIMYA. View attachment 2387706
[emoji845]Elon Musk said that Russia is trying to "kill" the Starlink satellite Internet system in Ukraine, it may stop working, despite the resources invested in its protection.
Anasema is trying to destroy, bado hajafanikiwa kudesrtoy.

Pili it may stop working, bado haijastop.

Sasa hichokifinyo kikowapi?. Au lugha ngumu kuelewa?
 
Acha story za vijiweni..mfano: leo hii Tz iki pigana na Malawi ww uka kimbilia Kenya, hivi, Tz ita kosa watu (wanajeshi) wa kupigana? Au unadhani kuwa na uume tu ni Sifa ya kupigana vita?[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Kule linaenda kutokea balaa.
Iran Ni nchi yenye watu wa ajabu. Iran hii kabla ya mwaka 2011 haikua na chochote kuhusu Mambo ya drone Vita.
Walipoishusha advanced drone ya Kimarekani ikiwa nzima wakaifanyia uchunguzi was kina Sana.
Leo hii Iran inasimama kibabe na mataifa wajuzi wa Drone uturuki, Israel, China na hata US.
Kiukweli kwenye drone technologies Russia iko nyuma Sana.
Kwa mfano ishu ya kemikaze drone Ni changamoto kwao.
Kwa the most sanctioned country in the world yaani Iran uvumbuzi wao Ni Jambo la kufurahisha

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Sasa kama Urusi ni dhaifu kwann wakimbilie kujiunga na Nato ili kupata ulinzi dhidi ya Urusi?

Vita sio kitu rahisi kama unavyo fikiri.

Ukraine bila ya misaada inayo pata kutoka Nato Ukraine ingeshindwa vita ndani ya mwezi mmoja tu.

Ukraine kabla ya vita alikuwa na jeshi la watu karibia 250,000 hilo ndio unaliita jeshi dhaifu?
 

Si rahis, kufundisha rubani kijeshi full kwenye basic mpaka miez 6, kuhamisha kutoka kwenye ndege za ki soviet kwenda european standard ni almost 3 month.
Hata wakipewa hizo ndege mafunzo intesive yatahitajika..
Hizo percent za ardhi ambayo imechukuliwa for now zimepungua kutokana na counter offencive iliyopo. Tatizo la russia liko hapa, on the papers wanachukua maeneo but they cant hold them back
 

Inategemeana na hiyo nchi ndogo ina nini. Russia hawez jump tu kuja kutetea nchi fulani out of no where bila interest
 
Iran wana drone tangu miaka ya Iran-Iraq war ile 1980s
 
Kama wapiga dili wa kichina wameshaambiwa waondoke ukraine, wewe pro shoga wasubiria muujiza gani, kunja virago vyako uondoke kiev ya buza

Kabla ya operesheni putin alizungumza na uncle XI.

kabla ya kumega majimbo putin alikutana tena na uncle Xi

Alerts 3 raia wa china wameshaambiwa waondoke.

Mkutano wa CP nafikiri unaanza leo huko china, upo uwezekano uncle Xi akatawaza kuwa mtawala wa milele nchini China.

Tokea hii operesheni ianze vladimir amelitamka mara nyingi sana neno multipolar kuliko neno operesheni inakwenda kama ilivyopangwa, kwa maana hili si pambano la kumbomoa ukraine bali ni kuubomoa mfumo wa kishenzi ulioota mizizi ndani ya dunia

Wanajeshi wa Russia wameingia belarua

Vikosi vya nuklea vimeanza mazoezi huku submarine zikifanya doria.

Sisi kajamba nani tusubirie khatma yetu itakavyoamuliwa na hao mabwana wakubwa

 
[emoji298]️Media: France to train up to 2,000 Ukrainian soldiers.

French President Emmanuel Macron has backed a proposal to train up to 2,000 Ukrainian soldiers in the country, French Defense Minister Sebastien Lecornu told Le Parisien newspaper on Oct. 15.

Ukrainian soldiers will be assigned to French units for several weeks, Le Parisien wrote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…