Bibi kavaa mtaji kwenye meno yote full gold😅“I was in another room, lying. I just lay there."
A resident of the city of Kirovskoye miraculously survived as a result of the morning shelling of the Armed Forces of Ukraine. She was saved by the fact that the shell flew into the next room.
Due to the attack of the Ukrainian military, a gas pipeline was also damaged in the city, Luganskinformtsentr reports.
View attachment 2140761
watu wanakimbia hao sio raia hao ni wanajeshi wanaovaa kiraia kupa huruma ya warusiUkraine hakuna usalama kuna vita. Wanajeshi na raia walio tayari kupigana wanajitahidi kuhakikisha kuwa nchi yao haiangukii mikononi mwa Urusi na mpaka sasa wamejitahidi sana. Baadhi ya watu kuwapa hongera kwa kuwazuia warusi mpaka sasa ndiko kunakokufanya uone watu wana ushabiki wa kindezi.
Na wao watuwekee zao wamekomaa na kituo kimoja cha waarabu wahanga wa vichapo vya US , wanasema tunadanganywa basi wao watuambie ukweli with vivid evidence kama wanavyofanya ukraineInstagram zipo clip za kutosha za hao marubani wanakamatwa kama kondoo,tena wengine walikuwa kwa ile operation ya Syria,Ukraine wanakuonyesha clip ya rubani na wanaambatanisha na picha yake akiwa Syria na kina Assad,wale wa kusema ni propaganda za Ukraine wamebaki kimyaa,maana wanawekewa na proof hapo hapo za hao Marubani wa Russia.
haya kasome hiyoAliyekuambiwa Ukraine kuna vita nani, Ukraine kuna operation tu ya kijeshi tu, naweza kusema ni operation ndogo sana. Ulishawahi kuona vitani pande zote wanaomba kusimamisha mapigano kwa ajili ya jambo jingine?
ha ha nawajeshi hujichanya humo na kusepaThe Ukrainian authorities of Mariupol announced the evacuation from the city along the humanitarian corridor a day after the deadline agreed with Russia, the evacuation will take place from three places by buses, you can also leave the city by private transport, RIA Novosti reports.View attachment 2140766
Na wao watuwekee zao wamekomaa na kituo kimoja cha waarabu wahanga wa vichapo vya US , wanasema tunadanganywa basi wao watuambie ukweli with vivid evidence kama wanavyofanya ukraine
Volodymir asubiri mpaka nchi yote imegeuka magofu. Aondoke TU kwa maslahi makubwa ya Nchi na watu wake. Kwavyovyote vile Ukraine itashindwa TU, kwanini usubiri hadi nchi yote imekufaUkraine hakuna usalama kuna vita. Wanajeshi na raia walio tayari kupigana wanajitahidi kuhakikisha kuwa nchi yao haiangukii mikononi mwa Urusi na mpaka sasa wamejitahidi sana. Baadhi ya watu kuwapa hongera kwa kuwazuia warusi mpaka sasa ndiko kunakokufanya uone watu wana ushabiki wa kindezi.
watu wanateka inchi wewe unakamata jasusi
Sawa. Inawezekana kabisa na lilitegemewa, unapoingia nchini kwa watu na mabomu na silaha nzito ambazo wao hawana wavamiwaji wanapozidiwa inawezekana mbinu za namna hiyo kutumika.watu wanakimbia hao sio raia hao ni wanajeshi wanaovaa kiraia kupa huruma ya warusi
silaha ni za kawaida mig 21 su 25 su 24 bm 21 kornet ant tank warusi wanatumia silaha za kawaida kabisaSawa. Inawezekana kabisa na lilitegemewa, unapoingia nchini kwa watu na mabomu na silaha nzito ambazo wao hawana wavamiwaji wanapozidiwa inawezekana mbinu za namna hiyo kutumika.
Hata wakifanikiwa wakachukua nchi uwezekano ni mkubwa sana uasi utakuwepo na warusi wakauwawa huko mtaani. Kumbuka, kuna raia pia hawataki warusi nchini kwao.
mbona Su 35 ziposilaha ni za kawaida mig 21 su 25 su 24 bm 21 kornet ant tank warusi wanatumia silaha za kawaida kabisa
Kuna hadithi ya zamani, generali mmoja wa vita aliingia nchini kwa watu kuteka nchi, alipofanikiwa kuingia akachoma meli kisha akawaambia kikosi chake, tuna option tatu tu.... Kushinda hii vita au kufa au kuwa watumwa. Kutoroka si option.Volodymir asubiri mpaka nchi yote imegeuka magofu. Aondoke TU kwa maslahi makubwa ya Nchi na watu wake. Kwavyovyote vile Ukraine itashindwa TU, kwanini usubiri hadi nchi yote imekufa
Kwanini hii isiwe jibu kuwa Urusi ana technolojia nzuri ndio maana ameangushwaHizi S-300 hata Russia wanazo na zimekamatwa na kuharibiwa na Majeshi ya Ukraine.
Kumbuka Ukraine ilikuwa mnunuzi mkubwa wa vifaa ya Kijeshi vya Russia.
So far kwenye huu mgogoro umeonesha kuwa Ndege za na vifaa vingi vya Russia si vizuri kwenye vita kama vinavyosemwa.
hadi sasa Licha ya Ukraine kuwa na Jeshi dhaifu kulinganisha na la Urusi ila limeweza kuangusha Karibu ndege za Russia zaidi ya 10.
Imagine Ufaransa, UK, Marekani wote walete ndege zao.
So far Mtu aliyepata soko kwenye Hii vita ni Uturuki na zile Drone zake na yale makombora ya marekani ya kutungulia Vifaru
Naona huko hapa kwa ajili ya ubishi tu na sio kujadiliana.K
Kama tunadanganywa , basi nyie ndo mtuambie ukweli, kama Russia amepiga ban maraia wake waitoe ukweli kuhusu what is going on behind the enemy line , nini anataka kukificha ....!! YouTube imejamaa ndege zinazotunguliwa na vifaru vilivyoharibiwa , captured russian pilot and so on ...!! Huyo veteran ni Nani ? Ukraine ni nchi dhaifu Sana ukilinganisha na Urusi , hata hvyo wanadefend fiercely na kila mmoja anashangaa , dhidi ya taifa linalotuaminisha kuwa lipo vizuri upande wa millitary..!!
Kila mara mambo yanapokuwa magumu Kwa urusi tunaambiwa mara ooh urusi katuma mgambo tu na sio experienced fighter , mara ooh anafanya operations ndogo , mara ooh anatumia silaha za kizaman , mara hataki kutumia silaha nzito na blah blah kibao ...
Vyovyote itakavyokuwa ni mpuuzi tuu anayeweza kuamini jeshi la Urusi linaweza kustand against US in a full firefight ..!!
Urusi hawez kushawishi hata nchi moja ikatoa vikwazo Kwa US , Ila US ana uwezo huo , ndo utajua Nani mkubwa na nani ni Bwana mdogo .... Kifo cha Putin kinakuja taratibu
Na nyie wekeni zenu bhana
Huenda ameamua au kalazimika kutumia hizo. Urusi ina silaha ambazo akitaka kuifuta Ukraine anaifuta. Ila akishaifuta then what? Anakuwa ameshinda vita? Dunia nzima itamuacha na kumsifia kama anavyosifiwa humu? Lengo la urusi ni kuifuta serikali si Ukraine na mpaka sasa hajafanikiwa.silaha ni za kawaida mig 21 su 25 su 24 bm 21 kornet ant tank warusi wanatumia silaha za kawaida kabisa
kuna jamaa huyu yuko Twitter ana viclip flan hiviView attachment 2140787
View attachment 2140788View attachment 2140789
View attachment 2140790
View attachment 2140791
View attachment 2140792
View attachment 2140793
View attachment 2140794
View attachment 2140795
View attachment 2140796
View attachment 2140797
View attachment 2140798
Nyie mmekataza hata raia wenu wasitoe report ...komaeni na aljazeer wanaoonyesha urusi ikiua raia