K
Kama tunadanganywa , basi nyie ndo mtuambie ukweli, kama Russia amepiga ban maraia wake waitoe ukweli kuhusu what is going on behind the enemy line , nini anataka kukificha ....!! YouTube imejamaa ndege zinazotunguliwa na vifaru vilivyoharibiwa , captured russian pilot and so on ...!! Huyo veteran ni Nani ? Ukraine ni nchi dhaifu Sana ukilinganisha na Urusi , hata hvyo wanadefend fiercely na kila mmoja anashangaa , dhidi ya taifa linalotuaminisha kuwa lipo vizuri upande wa millitary..!!
Kila mara mambo yanapokuwa magumu Kwa urusi tunaambiwa mara ooh urusi katuma mgambo tu na sio experienced fighter , mara ooh anafanya operations ndogo , mara ooh anatumia silaha za kizaman , mara hataki kutumia silaha nzito na blah blah kibao ...
Vyovyote itakavyokuwa ni mpuuzi tuu anayeweza kuamini jeshi la Urusi linaweza kustand against US in a full firefight ..!!
Urusi hawez kushawishi hata nchi moja ikatoa vikwazo Kwa US , Ila US ana uwezo huo , ndo utajua Nani mkubwa na nani ni Bwana mdogo .... Kifo cha Putin kinakuja taratibu