LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
“I was in another room, lying. I just lay there."

A resident of the city of Kirovskoye miraculously survived as a result of the morning shelling of the Armed Forces of Ukraine. She was saved by the fact that the shell flew into the next room.

Due to the attack of the Ukrainian military, a gas pipeline was also damaged in the city, Luganskinformtsentr reports.
View attachment 2140761
Bibi kavaa mtaji kwenye meno yote full gold😅
 
Ukraine hakuna usalama kuna vita. Wanajeshi na raia walio tayari kupigana wanajitahidi kuhakikisha kuwa nchi yao haiangukii mikononi mwa Urusi na mpaka sasa wamejitahidi sana. Baadhi ya watu kuwapa hongera kwa kuwazuia warusi mpaka sasa ndiko kunakokufanya uone watu wana ushabiki wa kindezi.
watu wanakimbia hao sio raia hao ni wanajeshi wanaovaa kiraia kupa huruma ya warusi
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Instagram zipo clip za kutosha za hao marubani wanakamatwa kama kondoo,tena wengine walikuwa kwa ile operation ya Syria,Ukraine wanakuonyesha clip ya rubani na wanaambatanisha na picha yake akiwa Syria na kina Assad,wale wa kusema ni propaganda za Ukraine wamebaki kimyaa,maana wanawekewa na proof hapo hapo za hao Marubani wa Russia.
Na wao watuwekee zao wamekomaa na kituo kimoja cha waarabu wahanga wa vichapo vya US , wanasema tunadanganywa basi wao watuambie ukweli with vivid evidence kama wanavyofanya ukraine
 
Aliyekuambiwa Ukraine kuna vita nani, Ukraine kuna operation tu ya kijeshi tu, naweza kusema ni operation ndogo sana. Ulishawahi kuona vitani pande zote wanaomba kusimamisha mapigano kwa ajili ya jambo jingine?
haya kasome hiyo
 
The Ukrainian authorities of Mariupol announced the evacuation from the city along the humanitarian corridor a day after the deadline agreed with Russia, the evacuation will take place from three places by buses, you can also leave the city by private transport, RIA Novosti reports.View attachment 2140766
ha ha nawajeshi hujichanya humo na kusepa
 
Ukraine hakuna usalama kuna vita. Wanajeshi na raia walio tayari kupigana wanajitahidi kuhakikisha kuwa nchi yao haiangukii mikononi mwa Urusi na mpaka sasa wamejitahidi sana. Baadhi ya watu kuwapa hongera kwa kuwazuia warusi mpaka sasa ndiko kunakokufanya uone watu wana ushabiki wa kindezi.
Volodymir asubiri mpaka nchi yote imegeuka magofu. Aondoke TU kwa maslahi makubwa ya Nchi na watu wake. Kwavyovyote vile Ukraine itashindwa TU, kwanini usubiri hadi nchi yote imekufa
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Spy katiwa korokoloni

View attachment 2140753
img_1_1646551487170.jpg
watu wanateka inchi wewe unakamata jasusi
 
watu wanakimbia hao sio raia hao ni wanajeshi wanaovaa kiraia kupa huruma ya warusi
Sawa. Inawezekana kabisa na lilitegemewa, unapoingia nchini kwa watu na mabomu na silaha nzito ambazo wao hawana wavamiwaji wanapozidiwa inawezekana mbinu za namna hiyo kutumika.
Hata wakifanikiwa wakachukua nchi uwezekano ni mkubwa sana uasi utakuwepo na warusi wakauwawa huko mtaani. Kumbuka, kuna raia pia hawataki warusi nchini kwao.
 
Putin aliidharau Ukraine Sasa anaona madhara yake!
Hii ni hasara kubwa.Russia ingekuwa nchi ya kidemokrasia angeng'olewa!
Screenshot_20220306-112110.png
 
Sawa. Inawezekana kabisa na lilitegemewa, unapoingia nchini kwa watu na mabomu na silaha nzito ambazo wao hawana wavamiwaji wanapozidiwa inawezekana mbinu za namna hiyo kutumika.
Hata wakifanikiwa wakachukua nchi uwezekano ni mkubwa sana uasi utakuwepo na warusi wakauwawa huko mtaani. Kumbuka, kuna raia pia hawataki warusi nchini kwao.
silaha ni za kawaida mig 21 su 25 su 24 bm 21 kornet ant tank warusi wanatumia silaha za kawaida kabisa
 
Volodymir asubiri mpaka nchi yote imegeuka magofu. Aondoke TU kwa maslahi makubwa ya Nchi na watu wake. Kwavyovyote vile Ukraine itashindwa TU, kwanini usubiri hadi nchi yote imekufa
Kuna hadithi ya zamani, generali mmoja wa vita aliingia nchini kwa watu kuteka nchi, alipofanikiwa kuingia akachoma meli kisha akawaambia kikosi chake, tuna option tatu tu.... Kushinda hii vita au kufa au kuwa watumwa. Kutoroka si option.

Huenda Ukrain imeamua kuwa option ni mbili tu, Tusiwepo tena au Urusi watuachie nchi yetu, Kuwa hai na kutawaliwa si option.
 
Hizi S-300 hata Russia wanazo na zimekamatwa na kuharibiwa na Majeshi ya Ukraine.

Kumbuka Ukraine ilikuwa mnunuzi mkubwa wa vifaa ya Kijeshi vya Russia.

So far kwenye huu mgogoro umeonesha kuwa Ndege za na vifaa vingi vya Russia si vizuri kwenye vita kama vinavyosemwa.

hadi sasa Licha ya Ukraine kuwa na Jeshi dhaifu kulinganisha na la Urusi ila limeweza kuangusha Karibu ndege za Russia zaidi ya 10.

Imagine Ufaransa, UK, Marekani wote walete ndege zao.

So far Mtu aliyepata soko kwenye Hii vita ni Uturuki na zile Drone zake na yale makombora ya marekani ya kutungulia Vifaru
Kwanini hii isiwe jibu kuwa Urusi ana technolojia nzuri ndio maana ameangushwa
 
K

Kama tunadanganywa , basi nyie ndo mtuambie ukweli, kama Russia amepiga ban maraia wake waitoe ukweli kuhusu what is going on behind the enemy line , nini anataka kukificha ....!! YouTube imejamaa ndege zinazotunguliwa na vifaru vilivyoharibiwa , captured russian pilot and so on ...!! Huyo veteran ni Nani ? Ukraine ni nchi dhaifu Sana ukilinganisha na Urusi , hata hvyo wanadefend fiercely na kila mmoja anashangaa , dhidi ya taifa linalotuaminisha kuwa lipo vizuri upande wa millitary..!!
Kila mara mambo yanapokuwa magumu Kwa urusi tunaambiwa mara ooh urusi katuma mgambo tu na sio experienced fighter , mara ooh anafanya operations ndogo , mara ooh anatumia silaha za kizaman , mara hataki kutumia silaha nzito na blah blah kibao ...

Vyovyote itakavyokuwa ni mpuuzi tuu anayeweza kuamini jeshi la Urusi linaweza kustand against US in a full firefight ..!!

Urusi hawez kushawishi hata nchi moja ikatoa vikwazo Kwa US , Ila US ana uwezo huo , ndo utajua Nani mkubwa na nani ni Bwana mdogo .... Kifo cha Putin kinakuja taratibu
Naona huko hapa kwa ajili ya ubishi tu na sio kujadiliana.
Haya naomba utwambie kwann Marekani na washirika wake walitumia muda wa miezi miwili kuiteka Iraq badara ya siku 10 kama unavyo taka Urusi afanye kwa Ukraine.
Naomba jibu.

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
silaha ni za kawaida mig 21 su 25 su 24 bm 21 kornet ant tank warusi wanatumia silaha za kawaida kabisa
Huenda ameamua au kalazimika kutumia hizo. Urusi ina silaha ambazo akitaka kuifuta Ukraine anaifuta. Ila akishaifuta then what? Anakuwa ameshinda vita? Dunia nzima itamuacha na kumsifia kama anavyosifiwa humu? Lengo la urusi ni kuifuta serikali si Ukraine na mpaka sasa hajafanikiwa.
 
The Ministry of Defense showed how the Su-34 of the Russian Aerospace Forces, during a special operation, struck at the military infrastructure of the nationalists.

Russian aviation won air supremacy over Ukraine on February 28.
 
Back
Top Bottom