LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Jf ya siku hizi kuna watu vilaza sana..umeandika utumbo wa akilini mwako

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unaelewa kiingereza vizuri,ukisoma hapa ndio utaelewa ninachomaanisha!
Screenshot_20220306-121131.png
 
Kwa wanaosema vikwazo havina madhara,na kushabikia vita.Naamini hawa mabillionaire SI wamoja wenu kwenye kushangilia vita,ingawa ni inner circle wa Putin!
Screenshot_20220306-121605.png
 
🇬🇧 Russian gymnast Ivan Kulyak entered the awards ceremony of the Artistic Gymnastics World Cup stage with the letter Z on his uniform instead of a flag.

The 20-year-old athlete took third place in the parallel bars competition. The victory in this form was won by the Ukrainian Ilya Kovtun.

⛔️ The Doha World Cup was the last international tournament for domestic athletes for an indefinite period. The International Gymnastics Federation imposed sanctions on athletes from Russia and Belarus in connection with the events in Ukraine. They come into effect March 7th.
IMG_20220306_122918_637.jpg
 
K

Kama tunadanganywa , basi nyie ndo mtuambie ukweli, kama Russia amepiga ban maraia wake waitoe ukweli kuhusu what is going on behind the enemy line , nini anataka kukificha ....!! YouTube imejamaa ndege zinazotunguliwa na vifaru vilivyoharibiwa , captured russian pilot and so on ...!! Huyo veteran ni Nani ? Ukraine ni nchi dhaifu Sana ukilinganisha na Urusi , hata hvyo wanadefend fiercely na kila mmoja anashangaa , dhidi ya taifa linalotuaminisha kuwa lipo vizuri upande wa millitary..!!
Kila mara mambo yanapokuwa magumu Kwa urusi tunaambiwa mara ooh urusi katuma mgambo tu na sio experienced fighter , mara ooh anafanya operations ndogo , mara ooh anatumia silaha za kizaman , mara hataki kutumia silaha nzito na blah blah kibao ...

Vyovyote itakavyokuwa ni mpuuzi tuu anayeweza kuamini jeshi la Urusi linaweza kustand against US in a full firefight ..!!

Urusi hawez kushawishi hata nchi moja ikatoa vikwazo Kwa US , Ila US ana uwezo huo , ndo utajua Nani mkubwa na nani ni Bwana mdogo .... Kifo cha Putin kinakuja taratibu
marekani hii hii iliyotumia miezi kadhaa kumng'oa gaddafi? marekani hii iliyotumia mwezii kufia baghdad?
 
Despite the provocations of Ukrainian nationalists, the DPR evacuated more than 300 people from Mariupol and its suburbs along the humanitarian corridor, the Headquarters of the territorial defense of the republic reports.
SmartSelect_20220301-220358_Gallery.jpg
 
urusi yataka hakikisho kuwa marekani vikwazo kuhusu ukraine havitazuia biashara kati ya urusi na iran bila hakikisho hilo haitasapoti new iran nuclear deal, iran haion sababu ya urusi kuhusisha mamb hayo mawili
Mzee sasa hivi anabwekea kila mtu hata wasiohusika
 
Hizi S-300 hata Russia wanazo na zimekamatwa na kuharibiwa na Majeshi ya Ukraine.

Kumbuka Ukraine ilikuwa mnunuzi mkubwa wa vifaa ya Kijeshi vya Russia.

So far kwenye huu mgogoro umeonesha kuwa Ndege za na vifaa vingi vya Russia si vizuri kwenye vita kama vinavyosemwa.

hadi sasa Licha ya Ukraine kuwa na Jeshi dhaifu kulinganisha na la Urusi ila limeweza kuangusha Karibu ndege za Russia zaidi ya 10.

Imagine Ufaransa, UK, Marekani wote walete ndege zao.

So far Mtu aliyepata soko kwenye Hii vita ni Uturuki na zile Drone zake na yale makombora ya marekani ya kutungulia Vifaru
Denge za Russia zimekuwa kama Vibajaji 🤣
 
Back
Top Bottom