Tafakari yetu
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 1,505
- 4,427
Nawaona huruma wananchi wa Ukraine, naiona Ukraine ikiteketea kila pembeHapo ndipo watakapo juta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawaona huruma wananchi wa Ukraine, naiona Ukraine ikiteketea kila pembeHapo ndipo watakapo juta
Kama unaelewa kiingereza vizuri,ukisoma hapa ndio utaelewa ninachomaanisha!Jf ya siku hizi kuna watu vilaza sana..umeandika utumbo wa akilini mwako
Sent using Jamii Forums mobile app
marekani hii hii iliyotumia miezi kadhaa kumng'oa gaddafi? marekani hii iliyotumia mwezii kufia baghdad?K
Kama tunadanganywa , basi nyie ndo mtuambie ukweli, kama Russia amepiga ban maraia wake waitoe ukweli kuhusu what is going on behind the enemy line , nini anataka kukificha ....!! YouTube imejamaa ndege zinazotunguliwa na vifaru vilivyoharibiwa , captured russian pilot and so on ...!! Huyo veteran ni Nani ? Ukraine ni nchi dhaifu Sana ukilinganisha na Urusi , hata hvyo wanadefend fiercely na kila mmoja anashangaa , dhidi ya taifa linalotuaminisha kuwa lipo vizuri upande wa millitary..!!
Kila mara mambo yanapokuwa magumu Kwa urusi tunaambiwa mara ooh urusi katuma mgambo tu na sio experienced fighter , mara ooh anafanya operations ndogo , mara ooh anatumia silaha za kizaman , mara hataki kutumia silaha nzito na blah blah kibao ...
Vyovyote itakavyokuwa ni mpuuzi tuu anayeweza kuamini jeshi la Urusi linaweza kustand against US in a full firefight ..!!
Urusi hawez kushawishi hata nchi moja ikatoa vikwazo Kwa US , Ila US ana uwezo huo , ndo utajua Nani mkubwa na nani ni Bwana mdogo .... Kifo cha Putin kinakuja taratibu
Kumbe anaujua utamu wa $$$ hadi anawazuia raia wasizihamishe,nilidhani hana habari nazo kwakuwa ana pesa yake,wale wa vikwazo havina madhara kwa Russia mnasemaje hapa?The Central Bank will limit transfers abroad by resident individuals to the amount of $5,000 per month, the regulator said.View attachment 2140718
According to pro Putin wanasema Russia hadi sasa hatumii technology ya kisasa.Kwanini hii isiwe jibu kuwa Urusi ana technolojia nzuri ndio maana ameangushwa
Kumbe wanamwaga soda tu, Waambieni wazichane au wachome moto $$$ kabisa kuonyesha hasira zao kwa US kama wana jeuri hiyo.Muda wowote kuanzia sasa urusi inaweza kuuteka mji 4 kwa ukubwa wakati huo huo baada ya coca cola kusema hawafanyi biashara warusi wameanza kumwaga soda hizo chooniView attachment 2140724
Mzee sasa hivi anabwekea kila mtu hata wasiohusikaurusi yataka hakikisho kuwa marekani vikwazo kuhusu ukraine havitazuia biashara kati ya urusi na iran bila hakikisho hilo haitasapoti new iran nuclear deal, iran haion sababu ya urusi kuhusisha mamb hayo mawili
![]()
Russia's demand for US guarantees may hit nuclear talks, Iran official says
The demand that sanctions on Moscow would not harm Russian cooperation with Iran is "not constructive" for talks between Tehran and global powers to revive the deal, a senior Iranian official said.www.reuters.com
Kama Vp ayanywe hayo mafuta na gesi yake au vpRussia ni ya 2 usambazaji wa mafuta na ya 1 kwa gesi sasa Russia anateseka vipi wakati gesi na mafuta ni vyake
Denge za Russia zimekuwa kama Vibajaji 🤣Hizi S-300 hata Russia wanazo na zimekamatwa na kuharibiwa na Majeshi ya Ukraine.
Kumbuka Ukraine ilikuwa mnunuzi mkubwa wa vifaa ya Kijeshi vya Russia.
So far kwenye huu mgogoro umeonesha kuwa Ndege za na vifaa vingi vya Russia si vizuri kwenye vita kama vinavyosemwa.
hadi sasa Licha ya Ukraine kuwa na Jeshi dhaifu kulinganisha na la Urusi ila limeweza kuangusha Karibu ndege za Russia zaidi ya 10.
Imagine Ufaransa, UK, Marekani wote walete ndege zao.
So far Mtu aliyepata soko kwenye Hii vita ni Uturuki na zile Drone zake na yale makombora ya marekani ya kutungulia Vifaru
Eti...etiii...😅Eti leo waziri wa ulinzi wa Ukraine anasema eti wamesha tungua ndege 88 za Urusi .
Kweli hii vita imejaa propaganda.
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Ooh my God. Hivi hizi maiti wanakumbuka kuzihifadhi au ndo imeisha hapo
Ukraine iliomba shirika la msaada mwekundu liwasaidie Russia kukusanya hizo maiti kwa sababu ni nyingi sanaOoh my God. Hivi hizi maiti wanakumbuka kuzihifadhi au ndo imeisha hapo