Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
SLAVA UKRAIN
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SLAVA UKRAIN
Aisee alafq wanaelewana lugha kabisa ,Putin anapigana na ndg zake kabisa huyu jamaa ni dictator wa kwelikweli.Aisee watasema na hii ni propaganda
Hapo Kuna mtu ame load bunduki yake huyo jamaa wa Urusi akaanza kulia kama mtoto... Aisee vita zingekuwa zinapiganwa na Wanasiasaput
Aisee alafq wanaelewana lugha kabisa ,Putin anapigana na ndg zake kabisa huyu jamaa ni dictator wa kwelikweli.Aisee watasema na hii ni propaganda
Kuna majamaa wanadai urusi anaenjoy show , but in reality ni disaster , tatzo ni kuwa urusi ni Taifa maskini tuu tofaut na tunavyoaminishwa humu ....!!! Ukraine ni underdog Sana , but resistance Yao dhidi ya taifa linalodai ni la Kwanza in term of millitary , ni surprise
mbona Su 35 zipo
sasa kama wanakufa hiv mbona urusi ndio inazidi kuteka hapo hakuna maiti hao ni waukrain waleta maigizo ha ha ha ha ha ha ha wadanganye watoto zako nyumbani
SLAVA UKRAINView attachment 2140787
View attachment 2140788View attachment 2140789
View attachment 2140790
View attachment 2140791
View attachment 2140792
View attachment 2140793
View attachment 2140794
View attachment 2140795
View attachment 2140796
View attachment 2140797
View attachment 2140798
Nyie mmekataza hata raia wenu wasitoe report ...komaeni na aljazeer wanaoonyesha urusi ikiua raia
Sio yule Colonel huyu alikuwa Surgent tu.. Ngoja nione namna na kuweka screenshot zake hapa..Hahahahhahah huyo Veteran si yule wa Marekani?😅 Yule mwamba amekuwa muwazi tu kuwa sio marekani wala Nato ambao wanaweza simamisha battle na mrusi maana watapotea.
Yeye ni mstaafu na amekiri hilo, sasa humu wapuuzi wanavyoona Russia sijua anapondwa mara jeshi lake limefurumushwa wakati wameshakamata vinu vya Nyuklia viwili hapo Ukraine bado kimoja sijui story za mrusi kuzidiwa wanazito wapi!
Mkuu urusi hajaamua kumpiga Ukraine, anachofanya anamlazimisha rais wa ukrane akubali, ndo maana hujaona modern weapons zikifanya kazi.Kuna majamaa wanadai urusi anaenjoy show , but in reality ni disaster , tatzo ni kuwa urusi ni Taifa maskini tuu tofaut na tunavyoaminishwa humu ....!!! Ukraine ni underdog Sana , but resistance Yao dhidi ya taifa linalodai ni la Kwanza in term of millitary , ni surprise