ndio maana putin kaweka sheria ya miaka 15 jela kusambaza taarifa kuhusu jeshi la urusi maana hizi picha za casualities zinasikitisha na kuiabisha nchi kwakweli, ndio maana wakalazimika kutoka na namba za wanajeshi wao waliouawa ukraine kitu amacho kimeshangaza maana putin alipitisha sheria huko nyuma kuwa takwimu za wartime casualities ni classified, hii vita huenda ikawa na matokeo yasiyotarajiwa kwa future ya urusi yenyew, kwann casualities ni kubwa ndani ya muda mfupi tena dhidi ya adui dhaifu!!!