LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
ndio maana putin kaweka sheria ya miaka 15 jela kusambaza taarifa kuhusu jeshi la urusi maana hizi picha za casualities zinasikitisha na kuiabisha nchi kwakweli, ndio maana wakalazimika kutoka na namba za wanajeshi wao waliouawa ukraine kitu amacho kimeshangaza maana putin alipitisha sheria huko nyuma kuwa takwimu za wartime casualities ni classified, hii vita huenda ikawa na matokeo yasiyotarajiwa kwa future ya urusi yenyew, kwann casualities ni kubwa ndani ya muda mfupi tena dhidi ya adui dhaifu!!!
 
Umeongea vizuri. Opinions zangu zimehishimiwe kama ambavyo tuliheshimu opinions za waliosema Urusi itaitwaa Ukraine ndani ya siku tatu, zikapita ikaja report wanadai ya siri ilisema serikali ya Urusi inataka hii operation iishe kabla ya tarehe 2 mwezi huu nayo imeisha.

Si vizuri tukaheshimu tu, tukubali au tupinge kwa hoja
Haaaaa wengi humu huwa wana ongelea mambo ya kitaalam kwa Utashi wao na mizaha mingi.
Usiyachukulie maanani.

Katika dunia ya sasa hakuna taifa unalo weza kulishinda kwa siku mbili hata jeshi letu huwezi kulishinda kwa siku mbili.

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
Bwana Omary Unajitahidi sana katika hii vita ya nani zaidi katika huu Mgogoro.

Lakini nikuambie tu kuwa kwenye vita hayo hayaepukiki hata kama una nguvu kiasi gani.
Hivi unajua hata taifa kubwa kama Marekani likiamua kuivamia nchi ndogo kama Tz ni lazima itapoteza tu Askari wake iwapo kaingiza majeshi yake ndani na akute wananchi wote wamesimama na Jeshi na Rais wao. Yaani hata kwa Mishale atapigwa tu. Pia
Ukiona wanapata muda wa kujadiliana eti ceasefire na kusema tupishe watu watoke kwanza basi jua hiyo sio convational warfare 100%

Hata hivyo bila ushabiki ninaamini Russia itashindwa tu katika huu mgogoro. Maana hata uwe na nguvu kiasi gani MAADAM WANANCHI WA UKRAINE WOTE HAWAMTAKI NA WAMESHAMCHUKIA SANA RUSSIA BASI ITAFELI TU
 
Erdogan and Putin began telephone conversations, the situation in Ukraine is being discussed, according to the Turkish TV channel TRT.
SmartSelect_20220301-220358_Gallery.jpg
 
Kuniambia Marubani wa Russia hawana Uniform or hawavai Uniform za jeshi kwangu ni tatizo tayari hilo......
Mie wote niliowaona wanavaa nguo za blue, sijui hao wasio na Uniform.
Nimekumbuka kuwa marubani wa Marekani huwa na sare na nguo nyingine wakidondoshwa huwa wanavua magwanda wanabaki na emergency radio, vyakula na short gun. Itakuwa hawa Warusi washatoka crash site ndio wanakuwa kiraia
 
"Hello, mom. It's me. I'm alive, everything is fine."

The Ministry of Defense showed a video with captured servicemen of the Armed Forces of Ukraine. They were all allowed to call their families.

The department noted that prisoners of war in the republics of Donbass are treated humanely and respectfully, despite the fact that the Armed Forces of Ukraine treat those captured in a completely different way.

 
ndio maana putin kaweka sheria ya miaka 15 jela kusambaza taarifa kuhusu jeshi la urusi maana hizi picha za casualities zinasikitisha na kuiabisha nchi kwakweli, ndio maana wakalazimika kutoka na namba za wanajeshi wao waliouawa ukraine kitu amacho kimeshangaza maana putin alipitisha sheria huko nyuma kuwa takwimu za wartime casualities ni classified, hii vita huenda ikawa na matokeo yasiyotarajiwa kwa future ya urusi yenyew, kwann casualities ni kubwa ndani ya muda mfupi tena dhidi ya adui dhaifu!!!
propaganda ni sehemu ya vita kumbuka urusi inapigana na ulimwengu ukiangalia hizo picha unaweza sema urusi haiteka hata kijiji lakin mbona warusi hapig picha wanajeshi wa ukraine walio uwawa mbona madhara ya vita yanatolewa na waukraine hapa wanataka attension ya raia wa urusi waandamane kumpoa putin. Ndo maana putin kacheza game la hio sheria huyu mwamba ni zaid ya genius
 
Umeongea vizuri. Opinions zangu zimehishimiwe kama ambavyo tuliheshimu opinions za waliosema Urusi itaitwaa Ukraine ndani ya siku tatu, zikapita ikaja report wanadai ya siri ilisema serikali ya Urusi inataka hii operation iishe kabla ya tarehe 2 mwezi huu nayo imeisha.

Si vizuri tukaheshimu tu, tukubali au tupinge kwa hoja
Haaaaa mkuu umesahau ya kwamba watu wengi humu jf huwa wanaongelea mambo ya kitaalamu kama wanaongelea mambo ya mademu?
Husikiagi wana sema Marekani inaweza kuipiga Iran ndani ya masaa 24 utadhani vita ni kwenda kucheza ngoma.

Katika dunia ya sasa hakuna taifa lolote ambalo una weza kulishinda ndani ya siku 2 labda utumie silaha za maangamizi.

Hata jeshi letu huwezi kulishinda kwa siku mbili narudi hauwezi.


Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
The Armed Forces of Ukraine keep children in a boarding house in Slavyanogorsk.

This was told to RT by a resident of the Donbass village of Nikolaevka. According to her, there are about 27 people.

A similar situation developed earlier in Volnovakha - the children were taken from there to Kramatorsk.
 
All Sber cards will continue to work in Russia, despite the decision of Visa and Mastercard to suspend operations.

“This is possible because all payments on the territory of the country go through the domestic NSPK system,” explained Polina Trizonova, head of the press service of Sberbank.

The restrictions will affect payments abroad and in foreign online stores when paying with cards issued in Russia.

Russians abroad were advised to withdraw cash in advance and were reminded that some countries accept Russian MIR cards.

In addition, Sber is currently working on the possibility of quickly issuing a MIR card - UnionPay.
SmartSelect_20220301-220358_Gallery.jpg
 
Wewe mduanzi kuungana kwa NATO ni kuzuia athari za vita zisiwe kubwa Kwa nchi washirika.
Unapoingia vitani mwenyewe hata kama ukishinda Lakini lazima uathirike sana.
KUzuia Hilo ndio maana NATO wapo Hapo!

Kuzuia athari za vita? Embu nikuulize ni wapi NATO wamezuia athari za vita? Kule israel na Palestine wamezuia nn? Kule iran, libya, afghanistan, saud arabia, syria, cuba walizuia sindo walioanzisha vita?

Hao NATO ndo chanzo au kiini cha upotevu wa amani duniani, dunia kwa sasa inataka kuona taifa litakalozuia huu uonevu unaofanywa na NATO wakiwa na US. Kwa hili la ukraine tushukuru Russia ameonesha dunia kuwa NATO ni watu gani hii itasaidia sana hata mataifa mengine kiufupi tumeona unafiki wa NATO mataifa mengi yamejifunza. Tunataka dunia yenye equal balance of power kwa sasa, so mtu anajiamulia anachotaka
 
Ukraine sio mwanachama wa NATO usijiulize maswali ya wazi na majibu makubwa yapo. Ukisikia nchi imewekewa No Fly Zone maana yake aliyeweka hiyo anakuja kuhakikisha kama imetekelezwa. NATO hapo atatakiwa arushe ndege zake angani kushambulia ndege za Russia na ikibidi ashambulie airbases zinazotumika kurusha ndege hizo.

Achana na kumsikiliza Zelenskiy anayejiliza na mwenye deko sana, hili deko sijui kwa kuwa Myahudi anapenda kulazimisha mambo yaliyopo. Ukraine kila siku anapewa 'non-lethal weapons' kwa sababu hawataki ugomvi uamie kwingine
Ila mkuu bado hujajibu swali langu je unadhani kweli mpaka sasa Ukraine imesha zitungua ndege 88 za Urusi? Au ni propaganda.

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom